Shukuru Kawambwa kwenye mgogoro wa ardhi na diwani mstaafu, Hassani Usinga. Watishiana kufungana pingu

Huyo jamaa hapo alipewa kibali kuchimba mchanga na Halmashauri, Machimbo ambayo yamesababisha hilo eneo kujaa maji na kuleta mafuriko! Kawambwa ameenda hapo baada ya wanachi kumuomba akawaidie! Huyo jamaa mpaka muda huu yupo ndani.
Nilitaka nishangae waziri mstaafu unawezaje kumfanyia uhuni wa namna hio kisha ubakie salama?!
 
Raia yeyote ana haki ya kumkamata mtu na kukfikisha kwenye vyombo vya dola na ikibidi nguvu kidogo itumike. Hapo kwenye kupima nguvu kidogo ndo shida tu basi
Yaani mtu umkute shambani kwake analima unaanza kumfunga kamba eti unampeleka polisi kivipi? Alikuwa na arrest warranty? Mie sio polisi wangekuja kuchukua miili yao,
 
Hivi mimi na akili zangu timamu nikamsumbue mtu kama Mizengo Pinda kwa sababu zisizoeleweka nitakuwa natafuta nini haswa 😁
 
Kwani Msoga ni kina nani hasa kuna watu wana mahakama zao za duniani za kulilia kama mnategemea cjui msoga sijui polisi watu tuna mahakama zetu za duniani mengine hatumwachii Mungu anakazi nyingi za kufanya tunashughulika na MHUSIKA usijidanganye
Aah kwahio unadhani ya kamati unayajua wewe tu?! Watoto wa Pwani wako njema sana kwenye hilo kama hujui😂
 
Yule jamaa ni mpuz sana

Ova
Nahisi atakuwa katokea uswekeni ndio kaja kapatia maisha hapo Bagamoyo tena awamu ya Magu. Hajui lolote kuhusu mzee Kawambwa.

Kwa watu tuliokuwa timamu na kujua watu wana nyadhifa kiasi gani. Huwezi kucheza na waziri mstaafu 😁 huyo jamaa ni sehemu ya mfumo mpaka siku ambayo atazikwa kwa heshima.
 
Sahv ndiyo atawajua hao wazee
Ni kina nani

Ova
 
Hili issue imeandikwa kishabiki, huyu mzee sio dalali kama mtoa mada anavyosema, issue iko hivi huyo kijana alikuwa Diwani kata ya KIROMO binafsi nilishawahi kwazuruza naye, ana maeneo ya uchimbaji (Dalali) mchanga/kifusi maeneo ya kitopeni, toka amepewa kibali cha uchimbaji huo kumekuwa na uharibifu mkubwa sana wa barabara inayoelekea kwenye machimbo hayo, ili hali waathirika wa hiyo barabara ukiacha wananchi wa kawaida ni pamoja na Mzee Kawambwa na huyo mzee mrefu hapo anaitwa Madondola mstaafu wa Idara ya Usalama (DSO Bagamoyo, Chato amestaafia Kawe 2021).

Hata hivi tunavyoongea huyo kijana na wenzake wapo lockup toka jana wanasubiri kufikishwa mahakamani.
 
Upo sahihi kabisa na kwa nafasi alizowahi kuhudumu awezi kufulia kiasi cha kuwa dalali.
Huyo jamaa ana mitonyo😁 uwe waziri wa ardhi utakosaje offer za million 200-500 hizo ili watu wafanye yao?!

Kwa Term mbili za Jakaya na watu walivyokuwa wanapiga hela unadhani anakosaje B hata 10 bank?

Bado ana pension na mgao wa mshahara kila mwezi😁 tena wenzetu hawakuwa subjected kwenye kikokotoo kwa maana alilamba 100% ya mpunga wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…