Shukuru Kawambwa kwenye mgogoro wa ardhi na diwani mstaafu, Hassani Usinga. Watishiana kufungana pingu

Issue sio udalali hapa. Malori ya mchanga yanaingia kwenye eneo lenye barabara ya kuingia kwake na pia kwenda shule ya sekondari na kufanya uharibifu wa barabara. Yeye Kawambwa na huyo mwingine aliyedhalilishwa DSO Mstaafu wa Kawe na Bagamoyo Madondola waliamua kuweka vigogo vya mnazi ili malori yasipite na kuharibu barabara ndipo walipokutwa na huyo Hassan Wembe Diwani mstaafu wa Kiromo na beki ya zamani ya timu ya Malindi Zanzibar. Wembe ni mmiliki wa mashimo ya mchanga huko Kiromo kwahiyo kuzibwa Kwa barabara kunazuia malori kuingia na hivyo kukosa fedha. Mhusika huyo wlWembe na washirika wenzie walikamatwa jana na wako lokapu hadi sasa. Nadhani jambo limekuwa kubwa kwani mmoja ya waliodhalilishwa ni DSO Mstaafu na DSO Bagamoyo kasimamia zoezi zima kuhakikisha wanakamatwa !
Ataipata june july sasa
 
mkuu, ukiwa huna hela, siku zote utaona waliofanikiwa ni mafisadi tu, utaona mawazili au wastaafu ni mafisadi tu, hata kama sio mafisadi. jua tu kuwa walikuwa mawazili kuwa kupambana wakapewa madaraka, na wewe pambana uwe waziri. maneno matupu ya lawama hayatakuletea ugali kwenye sahani.
Mkuu najua Kupata na kupoteza ni sehemu ya maisha na hiyo imetokea kwa huyu waziri mstaafu lakini humu watu wamesahau kwamba yule ni binadamu pia na inawezekana kabisa alikuwa muadilifu katika utumishi wake
Lakini jinsi watu wanavyoongea humu ni kama wanawapa watu alarm kwamba wajipange mwenzenu kakosea hakujiongeza

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Tulishakariri kuwa madalali ni watu masikini.
 
Dah
Wakuu hii inaudhunisha sana
Huyu Mwamba alikuwa Mhadhiri, Mbunge na Waziri.

Akiwa Waziri aliwahi kuja kutuliza mgomo UDSM. Kwa kipindi hicho, alionekana ni mtu asijitambua, hajui kujieleza na hana maono wala solution ya changamoto za wanafunzi. Aidha alikuwa anayumba sana Sana Bungeni. Kutokana na udhaifu huo wadau walihoji sana kuhusu alivyopata PhD, na aliwezaje kuwa mbunge na Waziri.

Ingawa sijajua backgraound ya huu mnyukano, naona fedhehe, huruma kwa mtu mwenye hadhi yake kuwa katika mazingira ya kurumbana na kuvunjiwa heshima na vijana uswekeni. Hii inafanya tuanze kuamini kuwa pengine wale waliokuwa wanahoji uwezo wake kiutendaji na kifikra, walikuwa sahihi.

Haiingii akilini kwa PhD, na mtu aliwahi kuwa Waziri wa Ujenzi/Mawasiliano, Waziri wa Elimu kufikia hali hii. Kutokana na elimu na Uzoefu wake, alipaswa kuwa mtu decent anayemudu maisha yake na anayekubalika katika jamii. Wengine tulitegemea awe katika majukwaa ya kimataifa akitoa uzoefu kwa new generation, au kuwa investors au mkulima mwenye mafanikio au kuwa sehemu akilea wajukuu huku akifurahia pension yake.

Hii inatoa picha kuwa siasa ndio ilikuwa biashara na kitu kilichokuwa kinampa heshima mjini. Nje ya siasa hana uwezo wa kumudu kuendesha maisha yake ipasavyo. Kwa maana nyingine tuliongozwa na kilaza. Kama yeye mwenyewe ameshindwa kumudu maisha licha ya kupata fursa adimu na kubwa aliwezaje kuwa kichwa cha wizara alizoziongoza.

Huyu ni mfano tu lakini wapo mawaziri na makatibu wakuu wastaafu wengi tu ambao maisha yao ni huzunin tupu baada ya kustaafu. Kuna kiongozi mmoja mzito wakati akiwa juu aliwahi piga deal la 20B, lakini hivi sasa hana kitu, anasumbua tu vijana walipo serikalini ili wampige tafu. Somo ni kuwa kujilimbikizia hela haramu siyo deal, deal ni akili na nidhamu ya maisha uku ukimtegemea mungu.

Mungu atusaidie tupate viongozi bora wenye uwezo kutuongoza
 
Kuna mdau Leo kanitonya kuwa afande 'kipigo Cha mbwa koko' Ni mlinzi Kama walinzi wengine wanaoshika rungu usiku wakati ndani mke na mume wanakulana.
Mtakumbuka alikua akitoa press conference nyuma yake alikuwepo ADC wa FFU aliyevalia uniform nadhifu na nyumbani kwake alikua na walinzi na Batman.
Kuna maisha baada ya hizi kazi.
 
Dah Noma sana! Pamoja na bega kuchafuka vile, akipita mji unatetemeka, ;leo Mzee kawa mlinzi?
 
Dah
Wakuu hii inaudhunisha sana
Huyu Mwamba alikuwa Mhadhiri, Mbunge na Waziri.

Akiwa Waziri aliwahi kuja kutuliza mgomo UDSM. Kwa kipindi hicho, alionekana ni mtu asijitambua, hajui kujieleza na hana maono wala solution ya changamoto za wanafunzi. Aidha alikuwa anayumba sana Sana Bungeni. Kutokana na udhaifu huo wadau walihoji sana kuhusu alivyopata PhD, na aliwezaje kuwa mbunge na Waziri.

Ingawa sijajua backgraound ya huu mnyukano, naona fedhehe, huruma kwa mtu mwenye hadhi yake kuwa katika mazingira ya kurumbana na kuvunjiwa heshima na vijana uswekeni. Hii inafanya tuanze kuamini kuwa pengine wale waliokuwa wanahoji uwezo wake kiutendaji na kifikra, walikuwa sahihi.

Haiingii akilini kwa PhD, na mtu aliwahi kuwa Waziri wa Ujenzi/Mawasiliano, Waziri wa Elimu kufikia hali hii. Kutokana na elimu na Uzoefu wake, alipaswa kuwa mtu decent anayemudu maisha yake na anayekubalika katika jamii. Wengine tulitegemea awe katika majukwaa ya kimataifa akitoa uzoefu kwa new generation, au kuwa investors au mkulima mwenye mafanikio au kuwa sehemu akilea wajukuu huku akifurahia pension yake.

Hii inatoa picha kuwa siasa ndio ilikuwa biashara na kitu kilichokuwa kinampa heshima mjini. Nje ya siasa hana uwezo wa kumudu kuendesha maisha yake ipasavyo. Kwa maana nyingine tuliongozwa na kilaza. Kama yeye mwenyewe ameshindwa kumudu maisha licha ya kupata fursa adimu na kubwa aliwezaje kuwa kichwa cha wizara alizoziongoza.

Huyu ni mfano tu lakini wapo mawaziri na makatibu wakuu wastaafu wengi tu ambao maisha yao ni huzunin tupu baada ya kustaafu. Kuna kiongozi mmoja mzito wakati akiwa juu aliwahi piga deal la 20B, lakini hivi sasa hana kitu, anasumbua tu vijana walipo serikalini ili wampige tafu. Somo ni kuwa kujilimbikizia hela haramu siyo deal, deal ni akili na nidhamu ya maisha uku ukimtegemea mungu.

Mungu atusaidie tupate viongozi bora wenye uwezo kutuongoza
Umeongea kweli mpaka JPM alivyokuja Raisi, na kwenda Chalinze, na Mbunge WA Chalinze Rizwani, alipomuomba awapatie maji, Marehemu -Hayati alimwambia Raisi alikuwa Baba yako na waziri wa Maji alikuwa Kwamba na hela ilitoka na mradi ukaliwa Fedha. Na hiyo Barabara ya toka Bunju kwenda Bagamoyo ndio ikajengwa chini ya kiwango
 
Uzuri wa Tanzania ukiwaondoka kwenye mfumo, na umwinyi unaishia hapo, unakuwa kama RAIA wa kawaida
 
Back
Top Bottom