Shule gani nzuri ya kiislamu? nataka kumpeleka mwanangu

Shule gani nzuri ya kiislamu? nataka kumpeleka mwanangu

Naomba ufafanuzi ni shule gani yenye ufaulu mzuri kwa ngazi ya O level naweza mpeleka mwanangu?

Nisaidieni hapa wadau
Hakuna shule za kiislamu ya kumpeleka mtoto ambaye unataka akasome afike mbali.

Waislamu walio serious wanalijuwa hilo na wanapeleka watoto wao kwenye shule zinazo perform. Ila kama unataka akawe shehe, subiri watakuja humu watakujulisha
 
Naomba ufafanuzi ni shule gani yenye ufaulu mzuri kwa ngazi ya O level naweza mpeleka mwanangu?

Nisaidieni hapa wadau
mpeleke rehema wakf ni shule nzuri na ufaulu wao ni mzuri.
Screenshot_20250213_144609_Chrome.jpg
 
Mailover km sio mayliver iko gusero km sijakosea ila sio ya kiislam, acha udini elimu ni popote ilimlad ni elimu bora

Ukitaka shule ya kiislam mpeleke madrasa ila km unataka elimu dunia bas elimu ni popote ata chini ya mti wa muembe
 
Back
Top Bottom