Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuachana na mambo ya shule….. kwa nini wanapenda kuusema vibaya uislamu na waislamu, yaan kitu kdg tu mara waislam hawana akili mara sjui nini,,Ila ndugu zetu wakristo hivi waislamu tumewakoseaga nini mbona mnatuchukia hivyo?
Hizo shule zenu zinafanya vizuri kweli lakini kwa kiasi kikubwa wanapewaga mitihani.
Kuna binti mmoja alifukuzwa kutoka katika shule ya kikristo inayoongozaga kitaifa alikuwa form four baba yake akawashitaki ile shule yule binti alifunguka mengi akasema wanapewaga mitihani na wanaambiwa wasiseme! Ilikuwa aibu kubwa shule wakaona isiwe shida wakamrudisha binti manake babake alitaka kwenda kwenye vyombo vya habari na alipanga kupambana nao
Hapa umetupiga kamba shekhIla ndugu zetu wakristo hivi waislamu tumewakoseaga nini mbona mnatuchukia hivyo?
Hizo shule zenu zinafanya vizuri kweli lakini kwa kiasi kikubwa wanapewaga mitihani.
Kuna binti mmoja alifukuzwa kutoka katika shule ya kikristo inayoongozaga kitaifa alikuwa form four baba yake akawashitaki ile shule yule binti alifunguka mengi akasema wanapewaga mitihani na wanaambiwa wasiseme! Ilikuwa aibu kubwa shule wakaona isiwe shida wakamrudisha binti manake babake alitaka kwenda kwenye vyombo vya habari na alipanga kupambana nao
Acha uongo mzeeIla ndugu zetu wakristo hivi waislamu tumewakoseaga nini mbona mnatuchukia hivyo?
Hizo shule zenu zinafanya vizuri kweli lakini kwa kiasi kikubwa wanapewaga mitihani.
Kuna binti mmoja alifukuzwa kutoka katika shule ya kikristo inayoongozaga kitaifa alikuwa form four baba yake akawashitaki ile shule yule binti alifunguka mengi akasema wanapewaga mitihani na wanaambiwa wasiseme! Ilikuwa aibu kubwa shule wakaona isiwe shida wakamrudisha binti manake babake alitaka kwenda kwenye vyombo vya habari na alipanga kupambana nao
But why🤣Kirinjiko mpeleke wanasoma na vibagarashia kichwani wote
Ila ndugu zetu wakristo hivi waislamu tumewakoseaga nini mbona mnatuchukia hivyo?
Hizo shule zenu zinafanya vizuri kweli lakini kwa kiasi kikubwa wanapewaga mitihani.
Kuna binti mmoja alifukuzwa kutoka katika shule ya kikristo inayoongozaga kitaifa alikuwa form four baba yake akawashitaki ile shule yule binti alifunguka mengi akasema wanapewaga mitihani na wanaambiwa wasiseme! Ilikuwa aibu kubwa shule wakaona isiwe shida wakamrudisha binti manake babake alitaka kwenda kwenye vyombo vya habari na alipanga kupambana nao
Aga Khan - Ismailia - wanaruhusu hivyo according to version yao ya uisilamu, pia hawakulimit unavyo taka mwanao awe.Feza, agakhan, sio shule za kiislam. Hazifati sheria yoyote ya kiislamu
Umeona wapi shule ya kiislam inaruhusu mtoto wa kiume kusuka nywele?
Umeona wapi shule ya kiislam inaruhusu mtoto wa kike kuvaa kimini na kutembea kichwa wazi?
😆😆😆 ni ngumu sana, mfanoNaomba ufafanuzi ni shule gani yenye ufaulu mzuri kwa ngazi ya O level naweza mpeleka mwanangu?
Nisaidieni hapa wadau
Mpeleke chuo Cha Mdrassa utakuja kunishukuruNaomba ufafanuzi ni shule gani yenye ufaulu mzuri kwa ngazi ya O level naweza mpeleka mwanangu?
Nisaidieni hapa wadau
Mkuu usifike huko waislamu nao wanahitaji rehabilitation kwenye mambo ya elimu na sayansiUko serious na mwanao kusoma kweli au unataka aanze kufuga majini na kuwa mchawi ukubwani?
na shule za kikristo pia hazina haya mambo?Mpeleke shule ya maana, shule za dini hizi unampeleka kwenda kukariri upuuzi tu usiyemsaidia maishani. Kuna faida gani kumpeleka mwanao shule ya Kiislam mwisho wa siku anaishia kufuga majini tu?
Sio mbaya.Mwanao jinsia gani?
Kama wa kike mpeleke Dar Islamic.
Duu! hapo hamna kitu.Kinondoni Muslims
Mbona feza ni ya waislamuHakuna shule za kiislamu ya kumpeleka mtoto ambaye unataka akasome afike mbali.
Waislamu walio serious wanalijuwa hilo na wanapeleka watoto wao kwenye shule zinazo perform. Ila kama unataka akawe shehe, subiri watakuja humu watakujulisha
📌📌📌Mkuu hapo umeshanganya Vitu viwili…(1)Shule nzuri na (2) Uislam….inabidi uchague kimoja ambacho ni muhimu kwako.