Me and me
JF-Expert Member
- Nov 13, 2023
- 226
- 496
Mkuu hapo umeshanganya Vitu viwili…(1)Shule nzuri na (2) Uislam….inabidi uchague kimoja ambacho ni muhimu kwako.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu hapo umeshanganya Vitu viwili…(1)Shule nzuri na (2) Uislam….inabidi uchague kimoja ambacho ni muhimu kwako.
Feza, agakhan, sio shule za kiislam. Hazifati sheria yoyote ya kiislamuFeza , Aga Khan, Al Muntazir, burhani, istiqama etc.
Kama una hela sana feza, kwa hela ya kawaida Burhani.
Bakwata washaiuaa hiiKinondoni Muslims
Hakuna shule za kiislamu ya kumpeleka mtoto ambaye unataka akasome afike mbali.
Waislamu walio serious wanalijuwa hilo na wanapeleka watoto wao kwenye shule zinazo perform. Ila kama unataka akawe shehe, subiri watakuja humu watakujulisha
Angalia nectaMkeka wa Necta umeuona
Sidhani kama hilo ndilo lilikuwa hitajio lake.Kumbe...basi sawa nilidhani anataka zile top 10
Hakuna shule nzuri ya KiislamuNaomba ufafanuzi ni shule gani yenye ufaulu mzuri kwa ngazi ya O level naweza mpeleka mwanangu?
Nisaidieni hapa wadau
hiyo shule haina madrasa?Mwanao jinsia gani?
Kama wa kike mpeleke Dar Islamic.
hiyo shule haina madrasa?Mwanao jinsia gani?
Kama wa kike mpeleke Dar Islamic.
Hawa wanajitahidi
Ada yake ipoje Hii SHULE..?mpeleke rehema wakf ni shule nzuri na ufaulu wao ni mzuri.View attachment 3235401
1.Al hikmaNaomba ufafanuzi ni shule gani yenye ufaulu mzuri kwa ngazi ya O level naweza mpeleka mwanangu?
Nisaidieni hapa wadau