Fake P
JF-Expert Member
- Jan 3, 2017
- 3,952
- 11,919
Serious nimemsaidia hiyo shule ni kweli na boys wanaruhusiwa kuachia vi mzuzu ndevu🤣🤣. Kama Kuna mtu anaona nadanganya aendeBut why🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Serious nimemsaidia hiyo shule ni kweli na boys wanaruhusiwa kuachia vi mzuzu ndevu🤣🤣. Kama Kuna mtu anaona nadanganya aendeBut why🤣
Humu wasiokua na akili ni wengi saana, wanataka wanafanyiwa kila kitu perfomance ya mtoto angalia akija likizo anaweza hata kufanya kazi mwenyew bila kusimamiwa , ukiangalia ufalu ndo wanaleta wajinga maoficine kujisifia degree tuKwanini tunapenda kufuatilia ufaulu na sio ufundishaji au uzuri wa shule, sababu ufaulu does not necessarily mean ufundishaji....
Sababu watu wanaweza wakawa wanalenga paper na kukariri lakini sio kufundisha uelewa....
Nimecheka sana😄Serious nimemsaidia hiyo shule ni kweli na boys wanaruhusiwa kuachia vi mzuzu ndevu🤣🤣. Kama Kuna mtu anaona nadanganya aende
Hatuongei dini ya mmiliki bali itikadi ya shule. Feza inamilikiwa Waturuki lakini haiendekezi mambo ya madrasaMbona feza ni ya waislamu
Juzi tu hapa mlikua mnasema Feza inafundisha ugaidi (sababu inafundisha uisilamu) ila zikija mada nyengine mnakataa sio ya kiisilamu,Hatuongei dini ya mmiliki bali itikadi ya shule. Feza inamilikiwa Waturuki lakini haiendekezi mambo ya madrasa
Kwa hiyo ni kweli wanafundisha ugaidi?Juzi tu hapa mlikua mnasema Feza inafundisha ugaidi (sababu inafundisha uisilamu) ila zikija mada nyengine mnakataa sio ya kiisilamu,
Feza ina mrengo wa kiislamu, pro Ottoman, Taasisi yake ni ya kiisilamu, Shule zao zina maadili unataka nini tena?
Huu ndio uhusiano wa mtandao wa shule za Feza, Uislamu, Ugaidi na Mapinduzi ya Uturuki
Shule za Feza zimetapakaa nchi zaidi ya 16O duniani na zinamilikiwa na mtandao unaoitwa Hizmet Movement. Hawa Hizmet Movement ni wafuasi wa Imamu wa Kituruki aishiye Marekani anyefahamika kwa jina la Fethullah Gulen. Walimu wengi wa shule hizi wametoka kwenye mtandao wa Gulen japokuwa Gulen...www.jamiiforums.com
Ingia huo uzi kuna maelezo ya kutosha tu kuhusu Feza, maybe hufahamu.
Soma uzi, sio heading.Kwa hiyo ni kweli wanafundisha ugaidi?
Mpeleke Pemba Fidel CastroNaomba ufafanuzi ni shule gani yenye ufaulu mzuri kwa ngazi ya O level naweza mpeleka mwanangu?
Nisaidieni hapa wadau
Hili suala la kusema shule. Za kiislam zinafundisha ugaidi wakati anaewatia pesa magaidi wanamjua under USAid na sisi tuanze kusema shule za makanisa zinafundisha ushoga but waislam ni watu walio na subra na ustaarabu saanaJuzi tu hapa mlikua mnasema Feza inafundisha ugaidi (sababu inafundisha uisilamu) ila zikija mada nyengine mnakataa sio ya kiisilamu,
Feza ina mrengo wa kiislamu, pro Ottoman, Taasisi yake ni ya kiisilamu, Shule zao zina maadili unataka nini tena?
Huu ndio uhusiano wa mtandao wa shule za Feza, Uislamu, Ugaidi na Mapinduzi ya Uturuki
Shule za Feza zimetapakaa nchi zaidi ya 16O duniani na zinamilikiwa na mtandao unaoitwa Hizmet Movement. Hawa Hizmet Movement ni wafuasi wa Imamu wa Kituruki aishiye Marekani anyefahamika kwa jina la Fethullah Gulen. Walimu wengi wa shule hizi wametoka kwenye mtandao wa Gulen japokuwa Gulen...www.jamiiforums.com
Ingia huo uzi kuna maelezo ya kutosha tu kuhusu Feza, maybe hufahamu.
Istiqama tatizo lao kubwa ni ubaguz na baadh ya wanafunzi wao hubebwa sana kisa mtoto wa fulan sasa mwenzangu na mimi pangu patupu hujulikan wewe nani mkazi wa tandale au mwakidila mtoto kama si bandidu atasoma kwa tabu sanaKwa sasa waislam hawana shida saana,
Shule nyingi ni zenye ufaulu wa Kati ila mtoto anapata maadili mazuri,
Shule zifuatazo ndiyo shule 5 Bora na zinazizingatia maadili ya kiisalam
1. Istiqaama Tanga
2. Shamsiye Boys
3. Rehema Wakfu
4. Al-hikma Girls
5. Ibun Jazaar
Hizi zinaproven track record za kufanya vzr. Hizo shule 20-40% wanapata single digit, 15% wanapata division two na the rest wanapata division one.
The upcoming ni Raudhwa Islamic iko Kagera.
Wenzetu wasichojua kuwa elimu ya dini ni muhimu Sana, na most important kufeli au kutokufanya vzr pia ni matokeo.
Mtoto akisoma shule hizi anajifunza mengi, the best one ni kuapprecaite success na failure.
Kuna shule moja ipo Iringa km unaelekea kuhesa baada ya ile milima nayo simbaya inaufau mzuriNaomba ufafanuzi ni shule gani yenye ufaulu mzuri kwa ngazi ya O level naweza mpeleka mwanangu?
Nisaidieni hapa wadau
Mwanangu acha ujahidina na uvivu. Kwani, elimu haina dini. Akina Prof Lipumba, Malima, na wasomi wengine wa dini yako walisoma shule za misheni na walifanya vizuri. Tatizo hapa ni ujinga na woga tu. Tafuta shule unayoona inafaa. Kwani, akimaliza atafanya kazi kwenye misikiti?Naomba ufafanuzi ni shule gani yenye ufaulu mzuri kwa ngazi ya O level naweza mpeleka mwanangu?
Nisaidieni hapa wadau
Kinondoni Muslims
Kufundisha elimu ya kufuga majini, sidhani na sijawahi kusikia kitu kama hiki.na shule za kikristo pia hazina haya mambo?