Shule gani nzuri ya kiislamu? nataka kumpeleka mwanangu

Feza , Aga Khan, Al Muntazir, burhani, istiqama etc.

Kama una hela sana feza, kwa hela ya kawaida Burhani.
Feza, agakhan, sio shule za kiislam. Hazifati sheria yoyote ya kiislamu

Umeona wapi shule ya kiislam inaruhusu mtoto wa kiume kusuka nywele?

Umeona wapi shule ya kiislam inaruhusu mtoto wa kike kuvaa kimini na kutembea kichwa wazi?
 
Ila ndugu zetu wakristo hivi waislamu tumewakoseaga nini mbona mnatuchukia hivyo?
Hizo shule zenu zinafanya vizuri kweli lakini kwa kiasi kikubwa wanapewaga mitihani.
Kuna binti mmoja alifukuzwa kutoka katika shule ya kikristo inayoongozaga kitaifa alikuwa form four baba yake akawashitaki ile shule yule binti alifunguka mengi akasema wanapewaga mitihani na wanaambiwa wasiseme! Ilikuwa aibu kubwa shule wakaona isiwe shida wakamrudisha binti manake babake alitaka kwenda kwenye vyombo vya habari na alipanga kupambana nao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…