Shule gani nzuri ya kiislamu? nataka kumpeleka mwanangu

Kuachana na mambo ya shule….. kwa nini wanapenda kuusema vibaya uislamu na waislamu, yaan kitu kdg tu mara waislam hawana akili mara sjui nini,,
Yaan mtu yupo busy kuandaa uzi kwa ajili tu ya kuwashambulia waislamu hahhhaha.
Anyways kila mtu na Maisha yake.
 
Mpeleke ALHIKMA narudia tena mpeleke ALHIKMA ukiweza nifate private mimi wafoto.wangu wapo ALHIKMA na maendeleo nayaona darul arkam utakuja kujuta tena sana algebra ndio balaa allahumma ghirllahuu warhamahuu wathkanahu fill janna ni balaa la moto pia
 
Hapa umetupiga kamba shekh

Yaan masista wakutimue alafu ueende ukawashitaki ivi unawajua kweli wewe wale watu

Juzi wamemtimua mtoto wa waziri hapo st Joseph,
 
Acha uongo mzee
 
Hiyo ni kweli mie
 
Feza, agakhan, sio shule za kiislam. Hazifati sheria yoyote ya kiislamu

Umeona wapi shule ya kiislam inaruhusu mtoto wa kiume kusuka nywele?

Umeona wapi shule ya kiislam inaruhusu mtoto wa kike kuvaa kimini na kutembea kichwa wazi?
Aga Khan - Ismailia - wanaruhusu hivyo according to version yao ya uisilamu, pia hawakulimit unavyo taka mwanao awe.

Feza - shule zao zina maadili nazifahamu kiasi na waisilamu wengi wenye pesa wanaopeleka watoto wao huko kwa ajili ya maadili.
 
Naomba ufafanuzi ni shule gani yenye ufaulu mzuri kwa ngazi ya O level naweza mpeleka mwanangu?

Nisaidieni hapa wadau
😆😆😆 ni ngumu sana, mfano

Geography: kuzama kwa jua ni matokeo ya dunia kujizungusha kwenye muhimili wake
🏴‍☠️ : Jua linazama kwenye matope
 
Kwa sasa waislam hawana shida saana,

Shule nyingi ni zenye ufaulu wa Kati ila mtoto anapata maadili mazuri,

Shule zifuatazo ndiyo shule 5 Bora na zinazizingatia maadili ya kiisalam

1. Istiqaama Tanga
2. Shamsiye Boys
3. Rehema Wakfu
4. Al-hikma Girls
5. Ibun Jazaar

Hizi zinaproven track record za kufanya vzr. Hizo shule 20-40% wanapata single digit, 15% wanapata division two na the rest wanapata division one.

The upcoming ni Raudhwa Islamic iko Kagera.

Wenzetu wasichojua kuwa elimu ya dini ni muhimu Sana, na most important kufeli au kutokufanya vzr pia ni matokeo.

Mtoto akisoma shule hizi anajifunza mengi, the best one ni kuapprecaite success na failure.
 
Mpeleke shule ya maana, shule za dini hizi unampeleka kwenda kukariri upuuzi tu usiyemsaidia maishani. Kuna faida gani kumpeleka mwanao shule ya Kiislam mwisho wa siku anaishia kufuga majini tu?
na shule za kikristo pia hazina haya mambo?
 
Hakuna shule za kiislamu ya kumpeleka mtoto ambaye unataka akasome afike mbali.

Waislamu walio serious wanalijuwa hilo na wanapeleka watoto wao kwenye shule zinazo perform. Ila kama unataka akawe shehe, subiri watakuja humu watakujulisha
Mbona feza ni ya waislamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…