Shule gani nzuri ya kiislamu? nataka kumpeleka mwanangu

Kwanini tunapenda kufuatilia ufaulu na sio ufundishaji au uzuri wa shule, sababu ufaulu does not necessarily mean ufundishaji....

Sababu watu wanaweza wakawa wanalenga paper na kukariri lakini sio kufundisha uelewa....
 
Kwanini tunapenda kufuatilia ufaulu na sio ufundishaji au uzuri wa shule, sababu ufaulu does not necessarily mean ufundishaji....

Sababu watu wanaweza wakawa wanalenga paper na kukariri lakini sio kufundisha uelewa....
Humu wasiokua na akili ni wengi saana, wanataka wanafanyiwa kila kitu perfomance ya mtoto angalia akija likizo anaweza hata kufanya kazi mwenyew bila kusimamiwa , ukiangalia ufalu ndo wanaleta wajinga maoficine kujisifia degree tu
 
Hatuongei dini ya mmiliki bali itikadi ya shule. Feza inamilikiwa Waturuki lakini haiendekezi mambo ya madrasa
Juzi tu hapa mlikua mnasema Feza inafundisha ugaidi (sababu inafundisha uisilamu) ila zikija mada nyengine mnakataa sio ya kiisilamu,

Feza ina mrengo wa kiislamu, pro Ottoman, Taasisi yake ni ya kiisilamu, Shule zao zina maadili unataka nini tena?


Ingia huo uzi kuna maelezo ya kutosha tu kuhusu Feza, maybe hufahamu.
 
Kwa hiyo ni kweli wanafundisha ugaidi?
 
Naomba ufafanuzi ni shule gani yenye ufaulu mzuri kwa ngazi ya O level naweza mpeleka mwanangu?

Nisaidieni hapa wadau
Mpeleke Pemba Fidel Castro
 

Attachments

  • Screenshot_20250214_172839_Samsung Internet.jpg
    457.9 KB · Views: 1
Hili suala la kusema shule. Za kiislam zinafundisha ugaidi wakati anaewatia pesa magaidi wanamjua under USAid na sisi tuanze kusema shule za makanisa zinafundisha ushoga but waislam ni watu walio na subra na ustaarabu saana
 
Istiqama tatizo lao kubwa ni ubaguz na baadh ya wanafunzi wao hubebwa sana kisa mtoto wa fulan sasa mwenzangu na mimi pangu patupu hujulikan wewe nani mkazi wa tandale au mwakidila mtoto kama si bandidu atasoma kwa tabu sana
 
Naomba ufafanuzi ni shule gani yenye ufaulu mzuri kwa ngazi ya O level naweza mpeleka mwanangu?

Nisaidieni hapa wadau
Kuna shule moja ipo Iringa km unaelekea kuhesa baada ya ile milima nayo simbaya inaufau mzuri
 
Naomba ufafanuzi ni shule gani yenye ufaulu mzuri kwa ngazi ya O level naweza mpeleka mwanangu?

Nisaidieni hapa wadau
Mwanangu acha ujahidina na uvivu. Kwani, elimu haina dini. Akina Prof Lipumba, Malima, na wasomi wengine wa dini yako walisoma shule za misheni na walifanya vizuri. Tatizo hapa ni ujinga na woga tu. Tafuta shule unayoona inafaa. Kwani, akimaliza atafanya kazi kwenye misikiti?
 
Kwa usalama zaidi na uangalizi wa mwanao nakushauri mpeleke mwanao shule za kutwa za kulipia zilizopo karibu au shule za bweni ambazo kuna mtu unamfahamu huko hii itakuwa ni vizuri zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…