Shule na wanafunzi 10 bora mwaka 2021

Mda huo mtaani kwako Kuna watu wanakuona hauna akili tena, hii dunia bhana[emoji28]
Mkuu ulinganishe IQ ya watoto wa kikristo na WA kiislamu kweli? Are you serious?
 
Nikirudi kwako tukiamua kufanya sampling ya watu 100 utakutana na muislamu mwerevu 1 wengine wote waliobaki ni kawaida kabisa.
Ata uko duniani nchi nyingi zilizoendelea/dunia ya kwanza ni za wakristo.

Ata Saud Arabia wanayojivunia imejengwa na inajengwa na wakristo.

Kuna haja ya kufanya tafiti juu ya utamaduni wa kiislam na mchango wao kwa dunia...je una hasara zaidi ya faida?
 
90% ni hasara boss..
Cheers…
Nchi kubwa za dunia ya kwanza ni Mfumo Kristo hadi sasa sijajua why tunapokezana vijiti vya uongozi na hawa wavaa kobazi..
 
Waislamu wangapi walikuomba jicho mkuu, ili tupate proof ya research yako[emoji23][emoji23]
Yaan mademu wengi wanaovaa ijab wanalika jicho,waarabu ndo kabisa hawataki kuguswa bikra ni jicho tu...nenda Zenj ukatafiti
 
Maneno ya kujifariji..pole sana.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Akili za maisha ata mbuzi na mbwa wanazo,bila ya sisi hizo ajira Zanzibar wanapata wapi?

Kutumia watu wa div 4 sisi bara tulishatoka uko kitambo,div 4 kwenye ajira hapa bara tuliwatumia miaka ya 60 na 70
 
Waamin katika vipaj(mpira,uigizaj,mzik) na sio makaratas yanafundsha watoto kuwa wezi kama ccm
Baada ya kushindwa option ya shule..wengi wao walitamani kusoma sema walifeli au mazingira hayakuruhusu..usiwadanganye..hata huko kwenye uigizaji wamefanya nini cha maana..mziki yao imejaa matusi kila siku wanagombana na tcra kwa maudhui mabovu.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Akili za maisha ata mbuzi na mbwa wanazo,bila ya sisi hizo ajira Zanzibar wanapata wapi?

Kutumia watu wa div 4 sisi bara tulishatoka uko kitambo,div 4 kwenye ajira hapa bara tuliwatumia miaka ya 60 na 70

Akili za wa zanzibar ni kubwa kuliko wa Tanganyika. Ndio maana wanakula keki ya taifa sana kuliko wa Tanganyika.

Kama wa Tanganyika wangekuwa na akili wangeitawala Zanzibar. Mzanzibar anamiliki kiwanja Tanganyika ila mtanganyika haruhusiwi zanzibar. Kwenye ajira ndio usiseme kila nafasi 100 TRA ama BOT zanzibar wana nafasi 21. Huku wazanzibar hawafiki hata 2m. Na kuwaachia Watanganyika milio 58 mgombanie nafasi 79 katika 100.

Urais pia wao wanatawala tanganyika wanavyotaka. Ila mtanganyika hawezi tawala znz
 
Kwani wewe hujui mwanamke sharti ahongwe na kubembelezwa?
 
Ww mzee nilikuwa nakuona kama mtu mwenye akili kumbe umejaa uharo kichwani?
Yaan Mwinyi aliye kutoa kwenye ufukara wa kutisha wa kuvaa viraka na kununu chumvi kwa foreni una mfananisha na Mkapa aliye kuja kutaifisha madini yetu na kumpa mzungu?
Ni baada ya kuzikubali sera za western world wazee wa democracy ndipo akapata ahueni...tofauti na hapo asingetoboa.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyee nyeee nyeee, ukimpeleka binti yako St. Francis atalishwa nguruwe,
Nyeee nyeee nyeee kampuni Fulani mameneja wote dini Fulani,
Nyeee nyeee nyeee kwenye teuzi tumeonewa.
Kama mtoto alikua shule wanayovaa Madera na kuandika na mkono wa kushoto unategemea nini?
 
Cheki huyu anajifariji..hajui kua viongozi wake lazima wathibitishwe dodoma kuja kuwatawala huko zenji...endeleeni kukaa kwa kutulia nyumba ndogo yetu.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha upumbavu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…