luambo makiadi
JF-Expert Member
- Nov 28, 2017
- 10,602
- 8,798
Wapo na ilimu akhera
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu ulinganishe IQ ya watoto wa kikristo na WA kiislamu kweli? Are you serious?
Ata uko duniani nchi nyingi zilizoendelea/dunia ya kwanza ni za wakristo.Nikirudi kwako tukiamua kufanya sampling ya watu 100 utakutana na muislamu mwerevu 1 wengine wote waliobaki ni kawaida kabisa.
90% ni hasara boss..Ata uko duniani nchi nyingi zilizoendelea/dunia ya kwanza ni za wakristo.
Ata Saud Arabia wanayojivunia imejengwa na inajengwa na wakristo.
Kuna haja ya kufanya tafiti juu ya utamaduni wa kiislam na mchango wao kwa dunia...je una hasara zaidi ya faida?
Kula na kuliwa jicho kunaondoa sana akili,Pwani na muslim communities zinaongoza sana kwa tabia hizi
Yaan mademu wengi wanaovaa ijab wanalika jicho,waarabu ndo kabisa hawataki kuguswa bikra ni jicho tu...nenda Zenj ukatafitiWaislamu wangapi walikuomba jicho mkuu, ili tupate proof ya research yako[emoji23][emoji23]
Maneno ya kujifariji..pole sana.Zanzibar hawahitaji hata kujitenga maana akili za maisha wanazo. Walishajipendelea kwenye muungano na katiba ya Tanzania. Akili za necta wamewaachia wapuuzi wapenda ma vyeti wa bara. Div 1 unayo ila ajira hupati
Zanzibar sio wenzako. Kwenye ajira hao waliopata division 1 hawataweza kushindana na wa zanzibar waliopata div 4.
Hata mama samia alipata div 4 tu. Ila ameshika vyeo vya juu kibao kuliko wanawake wote Tanzania
Akili za maisha ata mbuzi na mbwa wanazo,bila ya sisi hizo ajira Zanzibar wanapata wapi?Zanzibar hawahitaji hata kujitenga maana akili za maisha wanazo. Walishajipendelea kwenye muungano na katiba ya Tanzania. Akili za necta wamewaachia wapuuzi wapenda ma vyeti wa bara. Div 1 unayo ila ajira hupati
Zanzibar sio wenzako. Kwenye ajira hao waliopata division 1 hawataweza kushindana na wa zanzibar waliopata div 4.
Hata mama samia alipata div 4 tu. Ila ameshika vyeo vya juu kibao kuliko wanawake wote Tanzania
Baada ya kushindwa option ya shule..wengi wao walitamani kusoma sema walifeli au mazingira hayakuruhusu..usiwadanganye..hata huko kwenye uigizaji wamefanya nini cha maana..mziki yao imejaa matusi kila siku wanagombana na tcra kwa maudhui mabovu.Waamin katika vipaj(mpira,uigizaj,mzik) na sio makaratas yanafundsha watoto kuwa wezi kama ccm
Huyo ndo muhanga wa matokeo mkuu,utasumbukaUnajua kitu kinaitwa sampling?
1 kati ya 100..wapo kama pambo tu..nchi inawenyewe hii..wametulia tu wanawacheki wamalize muda waondoke salama.Kumbukeni wanatuongoza saivi, kuanzia msoga, raisi, waziri mkuu, jaji mkuu...nk!!
Mko wangapi mlio ajiri?Someni tu sisi tunajiandaa kuwa maboss wenu, tutasoma kidogo tu, tutaingia kwenye biashara na kuwaajiri nyinyi wasomi.
Sisi tuache tusome mas'haf kwa sana kwetu inatosha.
Akili za maisha ata mbuzi na mbwa wanazo,bila ya sisi hizo ajira Zanzibar wanapata wapi?
Kutumia watu wa div 4 sisi bara tulishatoka uko kitambo,div 4 kwenye ajira hapa bara tuliwatumia miaka ya 60 na 70
Kwani wewe hujui mwanamke sharti ahongwe na kubembelezwa?Akili za wa zanzibar ni kubwa kuliko wa Tanganyika. Ndio maana wanakula keki ya taifa sana kuliko wa Tanganyika.
Kama wa Tanganyika wangekuwa na akili wangeitawala Zanzibar. Mzanzibar anamiliki kiwanja Tanganyika ila mtanganyika haruhusiwi zanzibar. Kwenye ajira ndio usiseme kila nafasi 100 TRA ama BOT zanzibar wana nafasi 21. Huku wazanzibar hawafiki hata 2m. Na kuwaachia Watanganyika milio 58 mgombanie nafasi 79 katika 100.
Urais pia wao wanatawala tanganyika wanavyotaka. Ila mtanganyika hawezi tawala znz
Ni baada ya kuzikubali sera za western world wazee wa democracy ndipo akapata ahueni...tofauti na hapo asingetoboa.Ww mzee nilikuwa nakuona kama mtu mwenye akili kumbe umejaa uharo kichwani?
Yaan Mwinyi aliye kutoa kwenye ufukara wa kutisha wa kuvaa viraka na kununu chumvi kwa foreni una mfananisha na Mkapa aliye kuja kutaifisha madini yetu na kumpa mzungu?
Sijaona orodha ya shule zilizofanya vibaya au haijatolewa??
Cheki huyu anajifariji..hajui kua viongozi wake lazima wathibitishwe dodoma kuja kuwatawala huko zenji...endeleeni kukaa kwa kutulia nyumba ndogo yetu.Akili za wa zanzibar ni kubwa kuliko wa Tanganyika. Ndio maana wanakula keki ya taifa sana kuliko wa Tanganyika.
Kama wa Tanganyika wangekuwa na akili wangeitawala Zanzibar. Mzanzibar anamiliki kiwanja Tanganyika ila mtanganyika haruhusiwi zanzibar. Kwenye ajira ndio usiseme kila nafasi 100 TRA ama BOT zanzibar wana nafasi 21. Huku wazanzibar hawafiki hata 2m. Na kuwaachia Watanganyika milio 58 mgombanie nafasi 79 katika 100.
Urais pia wao wanatawala tanganyika wanavyotaka. Ila mtanganyika hawezi tawala znz
Acha upumbavutunashangilia sana uwingi wa hizi shule za kidini na kusahau kuboresha shule za kawaida za serikali kwa ajili ya Watanzania wote...
tukiendelea kuyaacha haya huko mbele kuna hatari sasa kila dini ikawa na shule zake na matokeo yake ni jamii kutengeneza matabaka ya kidini ambayo huko mbele yataleta matatizo kwenye uongozi...
ni wakati wa Serikali kupiga marufuku shule zote za kidini au matabaka fulani na watu wote wachangamane..Muda wa masomo ulegezwe labda mpaka saa nane mchana...baada ya hapo kila mtu akasome dini yake aipendayo....lakini pia weekend jmosi na jpili kila mtu aisome dini yake...
tunatengeneza bomu kimyakimya... Public schools ziboreshwe, private school ziwe za watu wote na sio mrengo wa dini fulani....
Tunapaswa kubaki na mfumo wa shule za private kama zile za zamani... Makongo, Airwing, Mbezi beach, nk tuachane na huu mfumo wa shule za makanisa na misikiti....