Ok nitakujibu,Saudia inategemea almost kila kitu kwa mzungu kwa 90%
...Uchimbaji mafuta kuanzia tech. na ulinzi ni US.
...Saudia hawana tech.yao wala viwanda kamili...ni black market kwa wazungu kudamp reject products.
...Ujenzi wa majengo 70% yamejengwa na yanamilikiwa na wazungu ama kwa shareholding au umiliki kamili,kuna usemi kuwa Saudia ni ardhi ya US.
...ulinzi wa viongozi wa Saudia(falme za kiarabu) unatoka USA.
...Kwa ufupi Saudia ni koloni la kisasa la marekani kiuchumi.
NDIO MAANA SAUDIA HAIKO KWENYE G8 OR G12 MAANA INAMILIKIWA NA ''WATHUNGU''