sawa na Tanga. Mzazi atampiga karibu na kumuua mtoto asipokwenda CHUO lakini shule za kawaida nobody cares,,... aende asiende shauri yake. Lakini CHUO, "anauawa" kwa fimbo!'Mimi nimeishi Zanzibar miaka 7 nilicho kiona kule Zanzibar kuhusu Elimu cha kwanza hawajali Elimu Dunia wao Wana penda madrasa tu na jingine kwa upande wa watoto wakike % 90 Wana penda kuolewa kuliko kusoma mpaka Karne hii bado wanaozesha watoto wadogo kwa kutumia kigezo cha dini