I believe in God,am not atheist
Oyaa! ndio jibu gani hili? mimi sijauliza swali kama hilo.
Kumbe unashindwa hata kuelewa nilichokiandika na nilichokuuliza unakuja tu kujibu nonsense alafu unajiita una akili, WTF?
Na ndio maana hako kajamaa kako kamekwambia uache kuargue against me sababu you don't have the steel balls to do that.
Bila shaka katakuwa ka Id kako kengine.
Naona kiingereza hakipandi na ni ajabu kwa mtu aliyespend 4, 6 au 9 years kuanzia secondary level mpaka university kushindwa kuelewa lugha rahisi duniani kama kiingereza.
hii ina maana gani?
Hii ina maana wewe hujamaliza shule na ni kilaza au umemaliza shule lakini ni kilaza wa mwisho.
Mimi sijakuuliza kwamba wewe ni atheist au sio atheist au kwamba unaamini mungu au lah.
Bali mimi nimekuuliza: unatambua kwamba asilimia 100% ya wanasayansi na wavumbuzi wakubwa wote ni atheists?
Na wewe ukaja mbio na kujibu "I believe in god,am not atheist"..
Na hapo'hapo bado umechapia chapia means hujui hata kuandika kiufasaha.
Mpaka hapo nimeshaprove kwamba wewe ni wa kupuuzwa tu.
Kama unataka kuendelea then here I'm.
Do you understand that 100% of scientists and invention bearers were and are atheists?