Ukiwa unaenda kwa mkapa tokea keko,mkabala na duce,pale waislam walitaka kujenga chuo kikuu kabla ya mwaka 1968,nyerere akakamata viongozi wa eamws,na akina titi Mohammed wakawekwa ndani,taasisi akaivunja,akaunda bakwata,akataifisha shule kwa kisingizio Cha kutia fursa ya elimu kwa wote,akamteua padri chiwanga kuwa Waziri wa elimu,wizara na Baraza la elimu likawa kigango Cha kanisa,so usiseme watu hawapendi elimu ilhali Pana dalili za wazi za kuwahujumu,juzi ndalichako akaigawa kwa 3 paper ya Islamic knowledge ili isilete mwonekano wa ufaulu mkubwa wa shule za kiislam,hatujali kupata hizo one,sisi tutapata 3 na tutasonga mbele,yakitokea makubwa zaidi ya mkiru huko mbele msitaharuki