Andrew Tate
JF-Expert Member
- Jun 28, 2020
- 4,503
- 6,861
Akili yenu?Mshukuruni Mkapa (mkristo) kwa kuwazawadia yale majengo maana akili yenu uwezo wake ni kujenga madrasa kisha mnajidanganya mnaita eti vyuo
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Wewe ni mmarekani au muosha vyombo tanzania?
Kama Tanganyika kungekuwa na yoyote mwenye akili basi nyie msingekuwa wakristo.
Unajua jinsi gani dini iliingia Tanzania?
Kama ukiweza kujibu hilo swali basi nitajua kama kweli wewe ni mtu mzima au ni mjinga kama wajinga wengine.