Shule na wanafunzi 10 bora mwaka 2021

Shule na wanafunzi 10 bora mwaka 2021

Pia kuna Shule za Zanzibar! Yaani kuzikuta mkiani kwenye matokeo ya mitihani ya Kitaifa, ni jambo la kawaida kabisa! Sijui kuna tatizo gani kule mahali! I wish wangejitenga tu na kuanzisha Baraza lao la Mitihani, ili na wenyewe waanze kuonekana kwenye 10 bora!

Na naamini huo wakati ukifika, tutashuhudia shule kama Mchamba wima, zikipambana na Kiembe samaki kuwania nafasi ya kwanza! Huku majina ya akina Ali Vuai, Mtumwa Said, Rahma Seif Jumbe, Ali Kombo, Ameir Makame, Pandu Ame Kificho, nk. Yakitamalaki kwenye 10 bora zao.
kubabako mkatoriki wa nazareti
 
Naona shule pamoja na wanafunzi wa kiislam kuna tatizo kwenye haya matokeo.

what's wrong??

Shule 10 bora form 4
1. Kemebos - Mkoa wa Kagera
2. St. Francis - Mbeya
3. Waja Boys - Geita
4. Bright Future Girls
5. Bethel Sabs Girls - Iringa
6. Maua Seminary - Kilimanjaro
7. Feza Boys - Dsm
8. Precious Blood - Arusha
9. Feza Girls - Dsm
10. Mzumbe Secondary - Morogoro.

wanafunzi 10 bora form 4
1. Consolata Prosper Luguva - St. Francis Mbeya
2. Butoi Ernest Kangaza - St. Francis
3. Wllhemia Steven - St. Francis
4. Cronel John - St Francis
5. Merry George Ngoso - St Francis
6. Holly Beda Lyimo - Bright Future Girls
7. Brandina - St. Francis
8. Imamu Suleiman - Feza Boys
9. Mfalme Hamis Madili - Ilboru
10. Clara Straton - St. Francis

Shule 10 bora form 2
1. St Francis Girls - Mkoa wa Mbeya
2. Kemebos - Kagera
3. Graiyaki - Mara
4. Canossa - Dar es salaam
5. Tengeru Boys - Arusha
6. St. Monica Moshono Girls - Arusha
7. St. Augustine Tagaste - Dar es salaam
8. Centennial Christian - Peani
9. Bethel sabs Girls - Iringa
10. Bright Future Girls

Wanafunzi 10 bora form 2
1. Geovin Macha - Shule ya Jude Arusha
2. Moses Masome - Heritage Pwani
3. Pius Tairo - Tengeru Arusha
4. Henry Shelembi -Jude Arusha
5. Shilanga Malegi - Heritage Pwani
6. Loi Kitundu - Feza Girls - DSM
7. Joshua Leo - Tengeru Boys Arusha
8. Brian Chille - Marian Mkoa wa Pwani
9. Cornel Karoli - Jude Arusha
10. Elizabeth Msengi - St. Monica Arusha.

shule 10 bora darasa la 4

1. Twibhoki - Mara
2. Graiyaki - Mara
3. St. Peter Claver - Kagera
4. Green Star - Shinyanga
5. Kwema Modern - Shinyanga
6. Kikodi - Ruvuma
7. Bohari - Kagera
8. Rocken Hill - Shinyanga
9. Musabe - Mwanza
10. Mtuki - Dar es salaam

wanafunzi 10 bora darasa la 4
1. Joel Leonard - Libermann
2. Falima Mwenura - Green Star Junior
3. Goodluck Mtaki - Green Star Junior
4. Careen Slaa - Sasa
5. Joyce Ndonde - Wonder Kids
6. Samirah Mnali - Wonder Kids
7. Jonathan Maziku - Green Star
8. Balkis Majowe - Wonder Kids
9. Christopher Kileo - Green Star
10. Doreen Sanare - St Francis De Sale

Nakumbuka enzi za shule sisi walikua wanalaumu kufelishwa sababu ya majina. Kwamba mwalimu akiona jina la kiislam anafelisha, lakini Muda sisi tuko physics lab wao wameitana kikao kudoscuss uniform ya shule iwe nusu kanzu kwa waislam [emoji23]

Afu mtihani ukatoka pale pale ambako hawakuwepo
 
Slaaah Kichwa haswa huwezi mfananisha na msoga hata mwenyewe analijua hilo
Nilidhani kichwani unakichwa kumbe karo la choo , kuanzia leo nimekudharau na nakudharau tena kwa kuwa comment zako zinaonyesha wazi unachuki kubwa dhidi dini ya uislamu na kupiga kila kitu pasipo na haki na pamoja na ukosoaji wa dhihaka pasipo na hoja za msingi
 
Pia kuna Shule za Zanzibar! Yaani kuzikuta mkiani kwenye matokeo ya mitihani ya Kitaifa, ni jambo la kawaida kabisa! Sijui kuna tatizo gani kule mahali! I wish wangejitenga tu na kuanzisha Baraza lao la Mitihani, ili na wenyewe waanze kuonekana kwenye 10 bora!

Na naamini huo wakati ukifika, tutashuhudia shule kama Mchamba wima, zikipambana na Kiembe samaki kuwania nafasi ya kwanza! Huku majina ya akina Ali Vuai, Mtumwa Said, Rahma Seif Jumbe, Ali Kombo, Ameir Makame, Pandu Ame Kificho, nk. Yakitamalaki kwenye 10 bora zao.
Pamoja na shule zao kua za mwisho,ila uchumi wa Zanzibar ni mara 100 ya uchumi wa Kagera au Kilimanjaro zinazoongoza kwenye elimu
Ni upumbavu kushindana kupiga one baada ya kushindana kuondoa umasikini na kushindana kuwekeza kwa mikataba yenye maslahi
 
Nilidhani kichwani unakichwa kumbe karo la choo , kuanzia leo nimekudharau na nakudharau tena kwa kuwa comment zako zinaonyesha wazi unachuki kubwa dhidi dini ya uislamu na kupiga kila kitu pasipo na haki na pamoja na ukosoaji wa dhihaka pasipo na hoja za msingi
Kilaza mkubwa wewe endeleza chuki zako mimi sio mwenzako
 
ukisoma mjadala na comment za watu utagundua kwanini Tanzania bado masikini, na utagundua kumbe hakuna haja yakuilaumu CCM.

watu wale wale wanaoishutuma CCM na mfumo duni wa elimu ndio watu walewale leo hii wanawatukana waislamu na kuwaona ni jamii pumbavu ambayo yenyewe ndio chanzo cha matatizo yao.... tukumbuke hawa waislam ni zaidi ya 40% ya population ya Tanzania... watu wale wale ndio wanashangilia watoto wao kupata Div one chini ya mfumo ule ule unaolalamikiwa...
Tanzania wapumbavu ni wengi sana mpaka inasikitisha , kila kukicha thread za kuponda mfumo mbovu wa elimu yetu kwamba ya kukariri , haina msaada kwa taifa , wasomi wengi mafisadi nk halafu hao hao ndio wanawaponda waislamu kwa kutumia elimu yetu hii hii ya makaratasi

Swali la kujiuliza wao na huo usomi wao na kushika kwao vyeo wameongeza nini Ktk taifa zaidi ya ufisadi wanaoulalamikia ?
 
Kilaza mkubwa wewe endeleza chuki zako mimi sio mwenzako
Sawa, kwa heshima kubwa ya akili ulizo nazo na usomi naomba jina lako niliandike Ktk kuta la karo la choo mitaani ili mchango wako kwa taifa ukumbukwe na vizazi vya baadae.
 
Uliona wapi wanaume wavaa vipendo na wanawake wavaa madera wakaingia 10 bora mzee baba??? Labda kumi bora ya kupiga dufu na kubugia pilau la mialiko ya 40
 
Msimamo wa uislamu Ktk elimu uko hivi ili ili mtu ahesabike kuwa msomi ni lazima matunda elimu yaonekane imuwezeshe awe tofauti kimaadili na tabia na kiakili kuliko wale ambao wako chini

Yaani haliwezekani mtu ajisifie usomi wkt mwizi , muovu, katili, fisadi, hafanyi haki kwa wengine nk hapo haiwezi kuwa Sawa.

Kwa hiyo kipimo chetu sisi tuna angalia zaidi kwenye matendo zaidi(utelekelezaji wa kile mtu alichokisoma) yaani athari ya elimu ionekane .
 
Kama hali iko hivyo kwa nini kwenye teuzi tunajihidi sana ku-balance udini, obviously mahesabu ya nusu kwa nusu yanagoma kama ilivyo kutaka ku-balance gender....
 
Msimamo wa uislamu Ktk elimu uko hivi ili ili mtu ahesabike kuwa msomi ni lazima matunda elimu yaonekane imuwezeshe awe tofauti kimaadili na tabia na kiakili kuliko wale ambao wako chini

Yaani haliwezekani mtu ajisifie usomi wkt mwizi , muovu, katili, fisadi, hafanyi haki kwa wengine nk hapo haiwezi kuwa Sawa.

Kwa hiyo kipimo chetu sisi tuna angalia zaidi kwenye matendo zaidi(utelekelezaji wa kile mtu alichokisoma) yaani athari ya elimu ionekane .
Endelea kujifariji..

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Endelea kujifariji..

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
Sio kujifariji hayo hivi ndivyo mafundisho yetu yanavyosema hata mtu awe amekariri na kujua Juzu zote 30 lakini akawa anaenda tofauti na yaliyomo na elimu yake kama vile uzinifu , kamari , pombe , wema nk basi usomi wake hautokuwa na faida mbele ya Mwenyezi Mungu na atakuwa na adhabu kali siku ya kiama ushahidi aya hiyo ;

"Na haimizi kumpa chakula masikini basi adhabu kali itawapata wenye kuswali ambao swala zao wanazipuuza" (107:3-5) hapo japo kuswali ni ibada lkn kama haina positive impacts Ktk Maisha yako(kitabia) inahesabika kama uovu hivyo hivyo hadi elimu na vinginevyo.
 
Ww ni kati ya wazee wa hovyo kabisa na wasio kuwa na faida yeyote kwenye nchi yetu.
Wewe kenge kipindi wazazi wako wanashhghulika kukupata wewe nilikuwa busy kulinda mipaka ya nchi ndio maana ukapatikana kilaza mmoja wewe usiye na faida
 
Wewe kenge kipindi wazazi wako wanashhghulika kukupata wewe nilikuwa busy kulinda mipaka ya nchi ndio maana ukapatikana kilaza mmoja wewe usiye na faida
Utakuwa ulifoji vyeti maana haukuwa na sifa ya kulinda hiyo mipaka.
Maana umejaa chuki za kifala dhidi ya watz wenzako kisa dini.
 
Back
Top Bottom