ujoka
JF-Expert Member
- Nov 27, 2014
- 4,792
- 11,295
kasema yule teacher mwizi alikua anatoa risitiViambata hgani wakati ada anatuma kwa M-Pesa ya single maza mwenzake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kasema yule teacher mwizi alikua anatoa risitiViambata hgani wakati ada anatuma kwa M-Pesa ya single maza mwenzake.
hatakiwi kuzunguka Mbuyu ataka watoto wake wasome. Anatakiwa kulipa deni la ada ya shule ili watoto wake wahame. then, akachukue RB POLISI, amkamate huyo mwl.kasema yule teacher mwizi alikua anatoa risiti
Soma tena comment niliyo quote na hicho ulichojibu hapa ndio utajua mm na ww nani anaumwa.We unamwa kweli, Sijasema kila mwenye mume mzee, Nimemlenga yeye kutokana story yake inaonesha anapitia hizo changamoto kwa sababu ameamua kuwa singlemaza.
Hapo Kuna zaidi ya hiyo million 1 uliyoiona ww, naona unamchukulia mkuu wa wilaya kama nani sijui.Kesi ya milioni moja kupelekana kwa mkuu wa wilaya ni upotevu wa muda tu hata Mkuu wa wilaya hatokubali kuhangaika na ujinga wa hivo, yeye akubali kala hasara amtafute huyo mwalimu haata kwa kumtrack kama mwizi wa simu japo kuwa nako ataliwa hela na polisi ila akimpata atamkanda vizuri mtuhumiwa wake
Hili nao neno.Tatizo la msingi hapa ni usingo maza. Angekuwa na mwanaume wa kumuongoza asingefanya jambo la kitoto kama hilo la kumuamini mtu kiajabuajabu. Atafute mume kwanza.
Unahisi baba atafanya nini, wakati kinachotakiwa ni deni kulipwa?Kwamba baba atatumia nguvu? Au mfano wako una maanisha nini?
Wewe Lipa deni watoto wapewe PREM namba wahamishwe kwenye mfumo acha janja janjaMimi ni single mother umri wangu ni miaka 34. Kwa ufupi Nina watoto wawili wa kiume wa kwanza ana miaka tisa wa pili ana miaka saba. Huyu kwanza yupo darasa la 4 na wa pili yupo darasa la 3. Kilicho nifanya nilete ujumbe huu hapa Jamii Forums ni kitendo cha dhulma kinacho taka kufanywa na shule ya English Medium dhidi ya watoto wangu.
Ni hivi baada ya kuachana na baba wa watoto wangu niliwapeleka wanangu kwa bibi yao Mwanza.
Wakati nawapeleka Mwanza mkubwa alikuwa kafikisha umri wa kuingia darasa la kwanza na mdogo alikuwa na umri wa kuingia chekechea.
Walipo fika mwanza nikawapeleka kwenye shule moja ya English Medium. Mwalimu wa shule hiyo ambae alikuwa jirani yangu ndio alie nishawishi niwapeleke watoto wangu kwenye shule hiyo kwa sababu alisema walikuwa na utaratibu mzuri wa malipo na walikuwa wanachukua hata shilingi elfu hamsini kwa mwezi au themanini.
Niliona inanifaa kwa sababu iliendana na kipato changu. Baba wa watoto pia alikuwa ana toa sapoti ya ada. Kweli nilienda nikalipa hela watoto wakasajiliwa wanapewa na prem number wakaanza kusoma. Pesa nililipa kwa huyu mwalimu kwa sababu aliniambia pesa niwe nalipa kwake yeye anaziwasilisha kwa uongozi kwa sababu walikuwa wanapewa commission na shule kwa kila mwanafunzi watakae mpeleka shuleni. Sikuwa Mimi tu pia kuna baadhi ya wazazi walikuwa wanalipa kwa utaratibu huo. Niliwaacha watoto kwa bibi yao nikarudi zangu Dar kuendelea na shughuli zangu. Nikiwa naendelea na utaratibu huo huo wa kulipa kupitia kwa huyo mwalimu ambae alikuwa anawaandikia watoto risiti wanaziwasilisha kwa bibi yao. Wakati mwingine anasema alikuwa anawaandikia maelezo ya kawaida kwamba wamelipa ada na kwamba ataziwasilisha hela kwa uongozi kisha atapewa risiti na shule atawapatia watoto wazipeleke kwa bibi yao.
Fast forward mwaka jana mwezi wa saba wakati wa likizo nilipiga simu kwa huyo madam kwamba ninataka kuwahamisha watoto wangu kuwaleta Dar anisaidie kuongea na uongozi tupate prem numbers za watoto. Madam akaniambia analishughulikia but akaniambia kwa wakati huo wa likizo watoto wanatakiwa kuwa shuleni hivyo ninatakiwa kulipa shilingi elfu themanini ambayo kama ilivyo kuwa siku zote alitaka niilipe kupitia simu yake. Lakini Mimi nilimwambia Nina wachukua watoto waje Dar ili niwe nao kwa ukaribu zaidi. Akasema sawa atashughulikia suala la uhamisho. Siku iliyo fuata nikampigia sikumpata nikaona nimtume mdogo wangu aende kuchukua namba za mwalimu mkuu wa shule.
Nilipo ongea na mwalimu mkuu wa shule cha kushangaza akasema huyo madam sio mwalimu wa hapo kwa zaidi ya miezi miwili na kwamba amewaliza wazazi wengi ambao walikuwa wanampa pesa yeye. Nikauliza sasa kuhusu haki za watoto wangu vipi kwa sababu ninataka kuwahamisha ma huyo mwalimu alikuwa mwajiriwa wao wanatusaidia vipi sisi wazazi tulio muamini na kumlipa pesa zetu?
Pili nikamwambia atazame kama watoto wamesajiliwa kwa sababu nilimpa shilingi laki moja na elfu sitini kama gharama za usajili kwa kila mtoto.
Niliogopa sana nilihisi huenda hata hiyo shule yenyewe haina usajili.
Mkuu akasema wacha atazame kuhusu status ya wanafunzi hao pamoja na rekodi zao za ada.
Kuhusu status ya usajili akasema watoto wote wana prem numbers ingawa gharama za kuwasajili pia nilipigwa.
Kuhusu ada nikaambiwa nadaiwa shilingi milioni moja na laki 2 kwa sababu tangu watoto waanze kusoma kwenye shule hiyo hawajawahi lipa hata senti tano.
Nikajiuliza how comes mnasema watoto hawajawahi lipa hata senfi wakati hadi matokeo ya watoto yapo nyumbani.
Walifanya vipi mitihani bila kulipa hata senti 5?
Walipata vipi prem numbers kama hawajawahi kulipa hata senti tano?
Nilifadhaika sana na nilianza kukosa imani na hiyo shule kabisa.
Niliwaagiza watoto wangu Dar then nika watafutia shule ya kawaida ya kiswahili. Nili ichagua shule hii kwa sababu ipo karibu na mahali ninapo ishi lakini pili sina uwezo wa kulipa kwenye shule za English Medium kwa sababu ya kupanda kwa gharama za maisha na uwezo wangu kifedha kushuka na sapoti ya baba watoto imekuwa ndogo.
Kingine nilikosa kabisa imani na shule za English Mediums hasa hizi zinazo Anza Anza zenye wanafunzi wachache. Bado nilikuwa na kidonda kibichi kutoka kwa shule hiyo waliyo soma watoto wangu.
Nilipata nafasi kwenye shule ya kiswahili huku nikipambana kuomba shule waliyo kuwa wanasoma wawahamishe wanangu kwenye mfumo wawatoe kwenye shule yao wawahamishie kwenye shule hii mpya. Lakini cha ajabu muda wote wamekuwa wakinipiga danadana wanadai niwalipe pesa ambayo kiufupi hawanidai.
Sasa hivi darasa la nne wapo kwenye usajili wa mitihani ya taifa huyu mwanangu jina lake bado linasoma kwenye shule aliyo toka.
Walimu wanasema asipo hamishwa ndani ya deadline maana yake ni kwamba atatakiwa kwenda kufanya mtihani kwenye shule ile ile ambayo ni ya kiingereza au atatakiwa kurudia shule na kama akirudia basi prem number yake itaendelea kusoma juu yani itaonekana yupo darasa la 5 wakati yupo darasa la 4 yani kiufupi ndoto za mwanangu kitaaluma ndio zinakuwa zimeishia hapo. Sasa Mimi naomba msaada wa mamlaka zinazo husika zinisaidie ili mtoto wangu apewe haki yake ya kufanya mtihani wake wa darasa la 4 ambayo inataka kupokwa na wamiliki wa shule aliyo toka bila justification yoyote. Sheria na taratibu za elimu ya Tanzania zina kataza mtoto kunyimwa haki ya kufanya mtihani kwa sababu yoyote ile inayo husiana na fedha. Uongozi wa hiyo shule ya English Medium unataka kuvunja sheria hii kwa kumkosesha mwanangu haki yake ya kufanya mitihani ya darasa la nne kwa sababu ya deni hewa. Mtoto wangu ameshinda analia siku nzima ya leo anauliza sasa mama itakuwaje..
Naomba msaada tafadhali. Namba za huyo mwalimu alie kuwa anachukua ada zipo namba za mkurugenzi wa shule zipo namba za mkuu wa shule zipo na risiti zote ambazo zilikuwa zinaandikwa kwamba mwanangu amelipa ada pia zipo kwa bibi wa watoto. Nipo tayari kuziwasilisha risiti hizo mbele ya uongozi wa shule kama zikihitajika ila kwa sasa ninacho hitaji ni mtoto wangu apewe haki yake ya kufanya mtihani wake wa darasa la nne.
Uwepo wa namba za huyo mwalimu alie kuwa anachukua hela zangu pamoja na as wazazi wengine utarahisisha kukamatwa kwa huyo mwalimu ili alipe hizo pesa alizo Chukua. Niliwaambia uongozi wa shule wanisaidie huyo mwalimu akamatwe lakini wamekuwa wanapiga danadana kana kwamba wana mkingia kifua au wana ogopa kuchafua taswira ya shule yao.
Naomba msaada pia huyu madamu akamatwealipe hizo hela alizo Kula lakini wakati zoezi la kumtafuta na kumuweka ndani huyu madamu linaendelea naomba watoto wangu wapewe haki yao ya uhamisho.
Serikali waki hitaji ni disclose taarifa za hiyo shule pamoja na majina ya huyo madam wanae sema amekimbia na hela pamoja na majina ya uongozi nipo tayari kufanya hivyo.
Yericko Nyerere
Mh.
Dkt. Gwajima D
Baba angeweza kulimaliza hilo tatizo aidha kwa kuzungumza nao kwa kina au kutafuta njia nyingine.Unahisi baba atafanya nini, wakati kinachotakiwa ni deni kulipwa?
Risiti fakekasema yule teacher mwizi alikua anatoa risiti
Kwa hiyo Baba angewashawishi shule wafute deni?Baba angeweza kulimaliza hilo tatizo aidha kwa kuzungumza nao kwa kina au kutafuta njia nyingine.
Kwa maelezo ya huyu mama na uzoefu wangu katika malezi, hili jambo linatatulika.
Huyu mwanamke kashindwa kuzungumza na hao wenye shule ili kupata muafaka na matokeo yake kaja kulalamika mitandaoni.
Achana na kushawishi; kwanza hilo deni lisingekuwepo kabisa.Kwa hiyo Baba angewashawishi shule wafute deni?
Tatizo la huyo dada has nothing to do with u-single mother!!! Yeye ni mzembe na sijui hata nimuweke kundi gani!!! Wewe miaka hii kweli unalipa ada kwa kumtumia mtu pesa!!! Huo ni ujinga sijui upumbavu hata sijui niiteje!!! Ma-single mother wako wengi tu na wanatunza familia zao na hawafanyi upuuzi kama huo.Achana na kushawishi; kwanza hilo deni lisingekuwepo kabisa.
Ni baba gani angelipa ada ya shule kwa mwalimu wa somo badala ya kwenda ofisini?
Na hata kama angelipa ageenda kuulizia kama imefika.
Tazama hapa mwalimu aliacha kazi miezi 2 na bado huyu mama hana taarifa.
Maana yake baada ya kuachana na baba watoto ufuatiliaji wa watoto ulikuwa finyu kiasi kwamba bibi ndiye aliyeachiwa jukumu na ndiyo maana risiti zikapelekwa bibi.
Tatizo la huyo dada has nothing to do with u-single mother!!! Yeye ni mzembe na sijui hata nimuweke kundi gani!!! Wewe miaka hii kweli unalipa ada kwa kumtumia mtu pesa!!! Huo ni ujinga sijui upumbavu hata sijui niiteje!!! Ma-single mother wako wengi tu na wanatunza familia zao na hawafanyi upuuzi kama huo.
Uliwaonya sana lakini hawakusikiaMsiwe mnapeleka watoto wenu kwenye shule hizo za English Mediums ni ubabaishaji mtupu
Naamini una akili timamu.Mimi ni single mother umri wangu ni miaka 34. Kwa ufupi Nina watoto wawili wa kiume wa kwanza ana miaka tisa wa pili ana miaka saba. Huyu kwanza yupo darasa la 4 na wa pili yupo darasa la 3. Kilicho nifanya nilete ujumbe huu hapa Jamii Forums ni kitendo cha dhulma kinacho taka kufanywa na shule ya English Medium dhidi ya watoto wangu.
Ni hivi baada ya kuachana na baba wa watoto wangu niliwapeleka wanangu kwa bibi yao Mwanza.
Wakati nawapeleka Mwanza mkubwa alikuwa kafikisha umri wa kuingia darasa la kwanza na mdogo alikuwa na umri wa kuingia chekechea.
Walipo fika mwanza nikawapeleka kwenye shule moja ya English Medium. Mwalimu wa shule hiyo ambae alikuwa jirani yangu ndio alie nishawishi niwapeleke watoto wangu kwenye shule hiyo kwa sababu alisema walikuwa na utaratibu mzuri wa malipo na walikuwa wanachukua hata shilingi elfu hamsini kwa mwezi au themanini.
Niliona inanifaa kwa sababu iliendana na kipato changu. Baba wa watoto pia alikuwa ana toa sapoti ya ada. Kweli nilienda nikalipa hela watoto wakasajiliwa wanapewa na prem number wakaanza kusoma. Pesa nililipa kwa huyu mwalimu kwa sababu aliniambia pesa niwe nalipa kwake yeye anaziwasilisha kwa uongozi kwa sababu walikuwa wanapewa commission na shule kwa kila mwanafunzi watakae mpeleka shuleni. Sikuwa Mimi tu pia kuna baadhi ya wazazi walikuwa wanalipa kwa utaratibu huo. Niliwaacha watoto kwa bibi yao nikarudi zangu Dar kuendelea na shughuli zangu. Nikiwa naendelea na utaratibu huo huo wa kulipa kupitia kwa huyo mwalimu ambae alikuwa anawaandikia watoto risiti wanaziwasilisha kwa bibi yao. Wakati mwingine anasema alikuwa anawaandikia maelezo ya kawaida kwamba wamelipa ada na kwamba ataziwasilisha hela kwa uongozi kisha atapewa risiti na shule atawapatia watoto wazipeleke kwa bibi yao.
Fast forward mwaka jana mwezi wa saba wakati wa likizo nilipiga simu kwa huyo madam kwamba ninataka kuwahamisha watoto wangu kuwaleta Dar anisaidie kuongea na uongozi tupate prem numbers za watoto. Madam akaniambia analishughulikia but akaniambia kwa wakati huo wa likizo watoto wanatakiwa kuwa shuleni hivyo ninatakiwa kulipa shilingi elfu themanini ambayo kama ilivyo kuwa siku zote alitaka niilipe kupitia simu yake. Lakini Mimi nilimwambia Nina wachukua watoto waje Dar ili niwe nao kwa ukaribu zaidi. Akasema sawa atashughulikia suala la uhamisho. Siku iliyo fuata nikampigia sikumpata nikaona nimtume mdogo wangu aende kuchukua namba za mwalimu mkuu wa shule.
Nilipo ongea na mwalimu mkuu wa shule cha kushangaza akasema huyo madam sio mwalimu wa hapo kwa zaidi ya miezi miwili na kwamba amewaliza wazazi wengi ambao walikuwa wanampa pesa yeye. Nikauliza sasa kuhusu haki za watoto wangu vipi kwa sababu ninataka kuwahamisha ma huyo mwalimu alikuwa mwajiriwa wao wanatusaidia vipi sisi wazazi tulio muamini na kumlipa pesa zetu?
Pili nikamwambia atazame kama watoto wamesajiliwa kwa sababu nilimpa shilingi laki moja na elfu sitini kama gharama za usajili kwa kila mtoto.
Niliogopa sana nilihisi huenda hata hiyo shule yenyewe haina usajili.
Mkuu akasema wacha atazame kuhusu status ya wanafunzi hao pamoja na rekodi zao za ada.
Kuhusu status ya usajili akasema watoto wote wana prem numbers ingawa gharama za kuwasajili pia nilipigwa.
Kuhusu ada nikaambiwa nadaiwa shilingi milioni moja na laki 2 kwa sababu tangu watoto waanze kusoma kwenye shule hiyo hawajawahi lipa hata senti tano.
Nikajiuliza how comes mnasema watoto hawajawahi lipa hata senfi wakati hadi matokeo ya watoto yapo nyumbani.
Walifanya vipi mitihani bila kulipa hata senti 5?
Walipata vipi prem numbers kama hawajawahi kulipa hata senti tano?
Nilifadhaika sana na nilianza kukosa imani na hiyo shule kabisa.
Niliwaagiza watoto wangu Dar then nika watafutia shule ya kawaida ya kiswahili. Nili ichagua shule hii kwa sababu ipo karibu na mahali ninapo ishi lakini pili sina uwezo wa kulipa kwenye shule za English Medium kwa sababu ya kupanda kwa gharama za maisha na uwezo wangu kifedha kushuka na sapoti ya baba watoto imekuwa ndogo.
Kingine nilikosa kabisa imani na shule za English Mediums hasa hizi zinazo Anza Anza zenye wanafunzi wachache. Bado nilikuwa na kidonda kibichi kutoka kwa shule hiyo waliyo soma watoto wangu.
Nilipata nafasi kwenye shule ya kiswahili huku nikipambana kuomba shule waliyo kuwa wanasoma wawahamishe wanangu kwenye mfumo wawatoe kwenye shule yao wawahamishie kwenye shule hii mpya. Lakini cha ajabu muda wote wamekuwa wakinipiga danadana wanadai niwalipe pesa ambayo kiufupi hawanidai.
Sasa hivi darasa la nne wapo kwenye usajili wa mitihani ya taifa huyu mwanangu jina lake bado linasoma kwenye shule aliyo toka.
Walimu wanasema asipo hamishwa ndani ya deadline maana yake ni kwamba atatakiwa kwenda kufanya mtihani kwenye shule ile ile ambayo ni ya kiingereza au atatakiwa kurudia shule na kama akirudia basi prem number yake itaendelea kusoma juu yani itaonekana yupo darasa la 5 wakati yupo darasa la 4 yani kiufupi ndoto za mwanangu kitaaluma ndio zinakuwa zimeishia hapo. Sasa Mimi naomba msaada wa mamlaka zinazo husika zinisaidie ili mtoto wangu apewe haki yake ya kufanya mtihani wake wa darasa la 4 ambayo inataka kupokwa na wamiliki wa shule aliyo toka bila justification yoyote. Sheria na taratibu za elimu ya Tanzania zina kataza mtoto kunyimwa haki ya kufanya mtihani kwa sababu yoyote ile inayo husiana na fedha. Uongozi wa hiyo shule ya English Medium unataka kuvunja sheria hii kwa kumkosesha mwanangu haki yake ya kufanya mitihani ya darasa la nne kwa sababu ya deni hewa. Mtoto wangu ameshinda analia siku nzima ya leo anauliza sasa mama itakuwaje..
Naomba msaada tafadhali. Namba za huyo mwalimu alie kuwa anachukua ada zipo namba za mkurugenzi wa shule zipo namba za mkuu wa shule zipo na risiti zote ambazo zilikuwa zinaandikwa kwamba mwanangu amelipa ada pia zipo kwa bibi wa watoto. Nipo tayari kuziwasilisha risiti hizo mbele ya uongozi wa shule kama zikihitajika ila kwa sasa ninacho hitaji ni mtoto wangu apewe haki yake ya kufanya mtihani wake wa darasa la nne.
Uwepo wa namba za huyo mwalimu alie kuwa anachukua hela zangu pamoja na as wazazi wengine utarahisisha kukamatwa kwa huyo mwalimu ili alipe hizo pesa alizo Chukua. Niliwaambia uongozi wa shule wanisaidie huyo mwalimu akamatwe lakini wamekuwa wanapiga danadana kana kwamba wana mkingia kifua au wana ogopa kuchafua taswira ya shule yao.
Naomba msaada pia huyu madamu akamatwealipe hizo hela alizo Kula lakini wakati zoezi la kumtafuta na kumuweka ndani huyu madamu linaendelea naomba watoto wangu wapewe haki yao ya uhamisho.
Serikali waki hitaji ni disclose taarifa za hiyo shule pamoja na majina ya huyo madam wanae sema amekimbia na hela pamoja na majina ya uongozi nipo tayari kufanya hivyo.
Yericko Nyerere
Mh.
Dkt. Gwajima D
Hizi risiti hazina makosa. Ni za tuition. Ada hulipwa shuleni lakini hela ya tuition hulipwa kwa mwalimu husikaUmefanya mambo KIENYEJI SANA, kiuhalisia haikwepeki fanya ufuatiliaji wa kwenda kwa BIBI kusanya nyaraka zote za malipo ya ADA ziwasilishe shule uone kama WANAZITAMBUA.
Kama hawazitambui nenda Polisi kamfungulie mashtaka huyo madame uliyekuwa UNALIPA ADA Kupitia kwake kienyeji.
Hakikisha unaoushahidi wa kutosha kuwa ulikuwa unamtumia hizo fedha kama ADA.
BIBI naye athibitishe alikuwa analetewa hizo risiti za ADA na huyo madame.
Hakuna huruma hakuna msaada zaidi ya kulipa ada ili upate huo UHAMISHO , vinginevyo nenda kwa mkuu wa shule muombe kwa dhamana kuwa utalipa hizo fedha kwa mpango mtakao pangiana.
Nakuelewa sana mkuu.Ushauri kama wa mganga wa kienyeji huu. Amesha kwambia hana hiyo hela na mtoto wapo kwenye usajili wa watoto wa darasa la nne wewe unasema tena aende kulipa hela ambayo hana na ambayo anasema alishalipa hana deni? Huo muda wa kuhangaishana na polisi huoni kuwa deadline itapita na mtoto wake hatosajiliwa kufanya mtihani?
Wewe ni great thinker kweli?
Mtoa mada nakushauri fanya kama ifuatavyo.
1. Chukua RB nenda kamkamate huyo mwalimu ikiwezekana nenda kamtafutie hapo shuleni kwao na hao watu wa hapo shuleni wakuelekeze pa kumpata au kamata mwalimu mkuu weka ndani muunganishe na huyo madam.
2. Wakati hili linafanyika watwange barua ya kuwashitaki kwa kosa la kuzuia uhamisho wa mtoto wako kinyume na sheria ya ya Elimu ya Tanzania ambayo inasema mtoto asizuiwe kufanya mtihani kwa sababu yoyote ile inayo husiana na ada.
3. Wakati huo huo nenda mahakamani maombi hati ya dharula ( injunction order ) ambayo itawaamuru uongozi wa shule kumuhamisha mwanao wakati kesi ya Msingi inasubiri kusikilizwa.
4. At the same time shirikisha media kwa mfano jirekodi wewe pamoja na watoto wako ukielezea kuhusu suala lako huku mtoto akielezea namna anavyo athiriwa na suala lako. Utapata msaada wa haraka sana.
Usifadhaishwe na majibu ya hovyo ya baadhi ya wachangia mada humu. Hivyo ndivyo walivyo wasomi wa Tanzania. Wasomi wa Tanzania huwaga hawaandaliwi kusolve matatizo mapya huwa wanaandaliwa kukariri tu.
Risiti kama zinasomeka tofauti na Ada basi ADA ilipweHizi risiti hazina makosa. Ni za tuition. Ada hulipwa shuleni lakini hela ya tuition hulipwa kwa mwalimu husika