Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Sasa kama hana hela si aombe msaada serikalini au kwingineko sio kulaumu shule haijapokea mwanae, shule ina haki ya kutopokea mwanafunzi ambaye hajakidhi vigezoNyie UVCCM ungeserema mwingi sana.
Unahisi watu wote wanafanana kipato au Kila siku inakuwa kama Jana?
Acheni ujuaji mwingi nyie watoto.
Kwanini kukawepo Kaya zinazohudumiwa na miradi ya TASAF?
Unafikiri huko serikalini wangewaza kama ninyi mifuko hiyo ingekuwepo?
Zamani walikuwepo wanaolipiwa na halmashauri pia sababu walijua changamoto kama hizi.
Wewe umasikini wako unaihusu vipi utaratibu wa shule? Sort kwanza tatizo la hiyo michango ndio umpeleke shuleNadhani kinacholeta mtanziko hapa ni serikali kuhubiri elimu bure mpaka form 6 halafu pia jamani kuna watanzania bado ni maskini lazima hii hoja ya mkuu ipewe mashiko
Miaka tunasoma unapokwenda likizo utaandikiwa mahitaji unayotakiwa kuja nayo...mfano matibabu kila mtu 10000,ukirudi shule bila hiyo elfu 10,hata kama kwenu umbali ni km 1400,utarudishwa ulete hiyo pesa,hata kama umelipa ada...huyu mzazi alipata Joining letter ambayo imeorozeshwa kila hitaji...mtoto unampeleka hujakamilisha unataka huruma humu,...yunatengeneza kizazi kizembe kisichopenda kuwajibika...na ndio maana tunasema Elimu shule za serikali ni duni kwa sababu wazazi hawataki kuwajibika,unataka serikali ikufanyie kila kitu...tumepita kwenye michakato ya Elimu na tunajua kama unataka kupata kilicho bora lazima mzazi+mwanafunzi mpambane...nina mifano mingi ya vijana leo wako kwenye position kubwa,lkn wametoka kwenye hali duni mno,...wazazi na wanafunzi walipambana....huyu mzazi aache kulia lia,somesha mwanao aje akushukuru baadae.Uongozi wa shule umeshindwa kuweka utaratibu wa malipo kufanyika kwa awamu? Kwa nini wanakataa kumpokea mwanafunzi?
Huko wananchi wake wanafanya kazi na kulipa kodi, Tz hata kodi hawataki kulipa wanadai ni wanyongeUnajua nchi zilizoendelea na zenye elimu bora inayoendesha hii dunia, wanafunzi hawafuti hata vumbi katika viti vyako, wachilia kuleta fagio? Elimu (rahisi sana) ni nini kwa mtazamo wako?
Umeongea mkuu, Waafrika hasa Watanzania,tunapenda vitu vizuri bila gharama kitu ambacho hakiwezekani.Huko wananchi wake wanafanya kazi na kulipa kodi, Tz hata kodi hawataki kulipa wanadai ni wanyonge
Sasa si umalize tu michango .....?Habari Watanzania,
Nawasalimu kwa jina la muungano..
Nina kero yangu haswa kwa shule za advance wanaopokea kidato cha tano Walimu wakuu wanachukua maamuzi ya kukataa kumpokea Mtoto ikiwa tu hajamaliza michango na vifaa vingine kama vile vya usafi ukiangalia umbali uliotoka na Mtoto ni mbali sana.
Mfano mimi mwanangu kapangiwa Kibaigwa Girls iliyopo Dodoma, Mwalimu mkuu na makamo Mkuu wa shule wamenigomea kumpokea Mtoto kisa nimelipia nusu ya pesa za michango na sijakamilisha vifaa vya usafi ukizingatia nimetokea mkoa wa Mtwara
Sijui cha kufanya, naomba waziri husika kufuatilia hili jambo, wazazi tunashindwa kuwapeleka shule mapema watoto kutokana na hizi changamoti.
Naomba kuwasilisha
🤝
Umeelewa hata nilichoandika?Na muda unamsubiri yeye tu au huoni changamoto licha ya kueleza bayana umbali anakotoka hivyo kuna gharama nyingi tu mpaka afike shuleni? Kwa uchumi gani wa MTz wa kawaida?
Kwamba ' kwa nini asingeomba uongozi wa shule, akamilishe Ada halafu ndio aende shule'. Wakati huo wenzake hawafundishwi wanamsubiri yeye ama?Umeelewa hata nilichoandika?
Waziri alishatoa maagizo kwamba isitokee mwanafunzi akakataliwa kupokelewa kisa hajamaliza michango.Sasa wewe ukitetewa huoni na Wazazi wengine watapuuzia suala la kukamilisha ada wakitegemea kutetewa? Shule itaendeshwaje?
Kwanini hukuomba ukamilishe ada na kununua vifaa ndio uende?
Hukuwa na mawasiliano ya Mkuu wa shule na makamu wake?
Haya ndiyo majibu ya grown up people. Siyo Yale majibu ya kitoto.Sasa kama hana hela si aombe msaada serikalini au kwingineko sio kulaumu shule haijapokea mwanae, shule ina haki ya kutopokea mwanafunzi ambaye hajakidhi vigezo
Unapata wapi mda wa kupiga siasa uchwara jukwaani wakati huna hela ya kulea Watoto wako mwenyewe?Habari Watanzania,
Nawasalimu kwa jina la muungano..
Nina kero yangu haswa kwa shule za advance wanaopokea kidato cha tano Walimu wakuu wanachukua maamuzi ya kukataa kumpokea Mtoto ikiwa tu hajamaliza michango na vifaa vingine kama vile vya usafi ukiangalia umbali uliotoka na Mtoto ni mbali sana.
Mfano mimi mwanangu kapangiwa Kibaigwa Girls iliyopo Dodoma, Mwalimu mkuu na makamo Mkuu wa shule wamenigomea kumpokea Mtoto kisa nimelipia nusu ya pesa za michango na sijakamilisha vifaa vya usafi ukizingatia nimetokea mkoa wa Mtwara
Sijui cha kufanya, naomba waziri husika kufuatilia hili jambo, wazazi tunashindwa kuwapeleka shule mapema watoto kutokana na hizi changamoti.
Naomba kuwasilisha
🤝
Advance Ina michango ipi mikubwa,yaani nguo za kushindia na Ndoo,jembe na panga ndio ushindwe mtu mzima anaweza kuandika Hadi jf ashindwe?Walimu wavae majoho ya wazazi. Watoto wao je
Hata Mimi namshangaaElimu ya TZ ni rahisi sana, yani unaambiwa fagio tu nalo hutaki kupeleka unalalamika.Tuache ujinga
Sasa Laki 4 ni hela ya kulalamika kweli? Tanzania Ina watu wazemne sana,basi akashitaki Chadema Ili wampost Twitter,stupid fatherMkuu sio fagio tu,kumpeleka mtoto advance ili apokelewe vitu walivyoorodhesha at least uwe na laki nne ndio pesa ya chini kabisa
Ada advance imeshafutwa Toka mwaka JanaMichango ya shule ya serikali inafika laki kweli? Najua ada ni elf 35 Kwa muhula!
Isije kua mleta mada kaenda chako ni chako(jokes)
Peleka michango,acha kulialia kwenye mambo ya msingi huku ukichangia sherehe bila kilio.Habari Watanzania,