ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Wanataka vya Bure na Kodi hawalipi,iwe Ili vya Bure lipeni Kodi harafu Serikali itenge Bajeti za kuendeshea shule Ili zinunue hayo mahitaji.Huko wananchi wake wanafanya kazi na kulipa kodi, Tz hata kodi hawataki kulipa wanadai ni wanyonge
Haya majamaa ndio yanadanganywa na Machadema huko yanajua labda siku Chadema ikishika Dola kutakuwa na Bure 😁😁