Mnyakatari
JF-Expert Member
- Oct 25, 2010
- 2,073
- 1,862
Sijaelewa hilo zingatio lako kwamba wewe unatoka Mtwara!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amuone Diwani mheshimiwa Chande anaweza msaidia.Mleta uzi sikutetei ila huyo mkuu wa shule kama ni dada mmoja hivi mfupi na amehamia HAPO mwaka juzi basi inawezekana malalamiko yako yana ukweli maana ana kashfa ya upigaji hata huko alikotoka ngoja niishie hapa mamlaka zake zitafwatilia.
Vipaumbele, kipaumbele cha mwanafunzi ni kupata elimu Bora lakini shule za serikali walimu, vitabu sio kipaumbele wakati hivyo ni vitu vya misingi anavyotakiwa kupata mwanafunzi.Sawa,Sasa Hilo la ukosefu wa walimu na mafagio linaingilianaje ?
Tena hiyo laki 4 nimefanya kupunguza tu ila zaidi,kwa upande wa michango ya shule aizidi laki 1 kwenye mahitaji ya vitu atakavyotumia akiwa shule ndio gharama na kama mzazi utakiwi kuvikwepa kama wajibu ila pia na kipato wazazi awafanani piaMmmmh!! Laki nne ni vitu gani hivyo?
Sasa wewe mpumbavu mwanao unampelekaje shule bila vitabu si bora abaki nyumbani tu,seems hata nursery hujawahi kupeleka mtotoVitabu ni hiyari acha kudanganya watu hapa....pumbav
Kuna bwege huko juu anadai vitabu ni hiyari kama mzazi unampelekaje mwanao shule bila vitabu si bora abaki tu nyumbani!Vipaumbele, kipaumbele cha mwanafunzi ni kupata elimu Bora lakini shule za serikali walimu, vitabu sio kipaumbele wakati hivyo ni vitu vya misingi anavyotakiwa kupata mwanafunzi.
Unaiona laki 4 ndogo but on ground kuna watu wanalipwa mshahara hadi laki 2 kwa mwezi,hiyo hiyo asomeshe,anunulie chakula na alipe kodi,shida inakuja wenzetu wapenda siasa mkiwa na uwezo wa kushika mia 2 mia 3 basi mnaona kila kitu rahisi!Sasa Laki 4 ni hela ya kulalamika kweli? Tanzania Ina watu wazemne sana,basi akashitaki Chadema Ili wampost Twitter,stupid father
NakaziaElimu ya TZ ni rahisi sana, yani unaambiwa fagio tu nalo hutaki kupeleka unalalamika.Tuache ujinga
Mzazi acha malalamikoHabari Watanzania,
Nawasalimu kwa jina la muungano..
Nina kero yangu haswa kwa shule za advance wanaopokea kidato cha tano Walimu wakuu wanachukua maamuzi ya kukataa kumpokea Mtoto ikiwa tu hajamaliza michango na vifaa vingine kama vile vya usafi ukiangalia umbali uliotoka na Mtoto ni mbali sana.
Mfano mimi mwanangu kapangiwa Kibaigwa Girls iliyopo Dodoma, Mwalimu mkuu na makamo Mkuu wa shule wamenigomea kumpokea Mtoto kisa nimelipia nusu ya pesa za michango na sijakamilisha vifaa vya usafi ukizingatia nimetokea mkoa wa Mtwara
Sijui cha kufanya, naomba waziri husika kufuatilia hili jambo, wazazi tunashindwa kuwapeleka shule mapema watoto kutokana na hizi changamoti.
Naomba kuwasilisha
🤝
Sasa sijui alitaka nani amfanyie shopping mwanaeJumla ya michango inayotakiwa kulipwa Bank na upeleke pay slip ni elfu 80.
Vifaa unapeleka ukiwa nacho mkononi kama Jembe, Kwanja, Ufagio wa Nje, Mopper, reki, Rimu, ndoo, Godoro, Neti n.k
Then inafuatia Shopping ndio inakula hela ndefu, kumbuka ni watoto wa kike.
Ninachokiona kwa huyu mleta mada ni kuwa, hii huenda ni mara ya kwanza kwake kuepeleka mwanafunzi shule ya bweni.Sasa sijui alitaka nani amfanyie shopping mwanae
Kwa nini wasiongeze kipato? Harafu mtoto kufaulu sio kama msiba kwamba unakuja ghaflaUnaiona laki 4 ndogo but on ground kuna watu wanalipwa mshahara hadi laki 2 kwa mwezi,hiyo hiyo asomeshe,anunulie chakula na alipe kodi,shida inakuja wenzetu wapenda siasa mkiwa na uwezo wa kushika mia 2 mia 3 basi mnaona kila kitu rahisi!
Sawa kipaumbele ni elimu Bora,Je mazingira wanayoishi Ili kupata hiyo elimu Bora hayatakiwi kuwa masafi?Vipaumbele, kipaumbele cha mwanafunzi ni kupata elimu Bora lakini shule za serikali walimu, vitabu sio kipaumbele wakati hivyo ni vitu vya misingi anavyotakiwa kupata mwanafunzi.
Usafi ni muhimu lakini mengine yanawezwa kuingizwa kwenye Ada wakajua kuyachanganua hukohukoSawa kipaumbele ni elimu Bora,Je mazingira wanayoishi Ili kupata hiyo elimu Bora hayatakiwi kuwa masafi?
Tatizo wananchi wanataka elimu bure.Ushawahi sikia private school wameagizwa mifagio?Elimu bure ni lazima kuwa na michango midogomidogo kama hiyoUsafi ni muhimu lakini mengine yanawezwa kuingizwa kwenye Ada wakajua kuyachanganua hukohuko
Elimu ni gharama. Mjipange.Tena hiyo laki 4 nimefanya kupunguza tu ila zaidi,kwa upande wa michango ya shule aizidi laki 1 kwenye mahitaji ya vitu atakavyotumia akiwa shule ndio gharama na kama mzazi utakiwi kuvikwepa kama wajibu ila pia na kipato wazazi awafanani pia