Shule ya Maandamano ipo Mbeya, Haya ni maandamano yaliyowahi kutikisa vyombo vya ulinzi mpaka wakuu wa mikoa kukimbia.

Shule ya Maandamano ipo Mbeya, Haya ni maandamano yaliyowahi kutikisa vyombo vya ulinzi mpaka wakuu wa mikoa kukimbia.

G Tank

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2023
Posts
2,297
Reaction score
8,760
2011 kulikuwa na Maandamano ya Machinga, Askari wa FFU baadhi waliuawa na mabomu ya machozi yaliisha, Muda huo Kikwete yupo njiani kuelekea Mbeya, Ilibidi watumwe JWTZ kutuliza hali (hakukuwa na majibishano yoyote na JWTZ)

Kwenye maandamano mengine ya Machinga, hali ilikuwa mbaya, Mkuu wa mkoa wa enzi hizo Abas Kandoro alikimbilia uwanja wa ndege.

Huko Chunya enzi za Kikwete alienda kuhutubia, Wananchi wakamuuliza unaenda sana nchi za nje wakati huku kwetu hali mbaya inakuwaje hii, Tafrani ikazuka Rais akawahishwa kwenye gari, wananchi wakaziba njia na kuanza kuipiga gari mawe, Ni umahiri wa dereva ndio ulioweza kusaidia kuondoka kwenye eneo haraka
 
kwa Tanzania sehemu yenye asili ya watu jasiri hasa wanaume ni
1- mbeya.
2-moshi/arusha
3-mara.

waoga
1-pwani
2-tanga
3-mwanza. references ninayo
 
kwa Tanzania sehemu yenye asili ya watu jasiri hasa wanaume ni
1- mbeya.
2-moshi/arusha
3-mara.

waoga
1-pwani
2-tanga
3-mwanza. references ninayo
Arusha siku izi hamna Kitu wahamiaji watoto wa kirangi kibao ndo hao wametekwa na kondakta
 
Naona Arusha na Moshi sasa hivi hakuna kitu!
Imebaki Mbeya na Mara!
 
kwa Tanzania sehemu yenye asili ya watu jasiri hasa wanaume ni
1- mbeya.
2-moshi/arusha
3-mara.

waoga
1-pwani
2-tanga
3-mwanza. references ninayo
Mwanza wamebadilika now days
 
kwa Tanzania sehemu yenye asili ya watu jasiri hasa wanaume ni
1- mbeya.
2-moshi/arusha
3-mara.

waoga
1-pwani
2-tanga
3-mwanza. references ninayo
Tanga wana ujasiri sema labda baadhi ya jamii. Moshi waliandamana wapi mkuu na lini maana
 
2011 kulikuwa na Maandamano ya Machinga, Askari wa FFU baadhi waliuawa na mabomu ya machozi yaliisha, Muda huo Kikwete yupo njiani kuelekea Mbeya, Ilibidi watumwe JWTZ kutuliza hali, hakukuwa na majibishano yoyote na JWTZ, huo ni moto mwengine

Kwenye maandamano mengine ya Machinga, hali ilikuwa mbaya, Mkuu wa mkoa wa enzi hizo Abas Kandoro alikimbilia uwanja wa ndege.

Huko Chunya enzi za Kikwete alienda kuhutubia, Wananchi wakamuuliza unaenda sana nchi za nje wakati huku kwetu hali mbaya inakuwaje hii, Tafrani ikazuka Rais akawahishwa kwenye gari, wananchi wakaziba njia na kuanza kuipiga gari mawe, Ni umahiri wa dereva ndio ulioweza kumuokoa Kikwete
Ni kweli kabisa yaani ingawa hapo kwenye kuziba njia na umaahiri wa dereva umeongeza chumvi kidogo
 
kwa Tanzania sehemu yenye asili ya watu jasiri hasa wanaume ni
1- mbeya.
2-moshi/arusha
3-mara.

waoga
1-pwani
2-tanga
3-mwanza. references ninayo
Mwanza? Kwani Wenje alitangazwaje kua mbunge wa Nyamagana na yule mwenzake wa Ilemela? RPC wa wakati huo alikuaga the former IGP wa Magufuli. Rudisha kumbukumbu zako hadi uchaguzi mkuu wa 2010
 
JK alikuwa mtu poa sana. Enzi za JPM hakuna aliyethubutu iwe Mbeya au Mara. JPM ndo aliweka misingi kuwa Rais ni habari nyingine.... hata hiki kipindi cha Mama hakuna wajinga wa kuleta vurugu. Watu washaelewa Rais sio mtu ni taasisi.
 
2011 kulikuwa na Maandamano ya Machinga, Askari wa FFU baadhi waliuawa na mabomu ya machozi yaliisha, Muda huo Kikwete yupo njiani kuelekea Mbeya, Ilibidi watumwe JWTZ kutuliza hali, hakukuwa na majibishano yoyote na JWTZ, huo ni moto mwengine

Kwenye maandamano mengine ya Machinga, hali ilikuwa mbaya, Mkuu wa mkoa wa enzi hizo Abas Kandoro alikimbilia uwanja wa ndege.

Huko Chunya enzi za Kikwete alienda kuhutubia, Wananchi wakamuuliza unaenda sana nchi za nje wakati huku kwetu hali mbaya inakuwaje hii, Tafrani ikazuka Rais akawahishwa kwenye gari, wananchi wakaziba njia na kuanza kuipiga gari mawe, Ni umahiri wa dereva ndio ulioweza kusaidia kuondoka kwenye eneo haraka

Kwenye suala la kuwa na ujasiri wa kupigania haki
1- Mbeya
2- Moshi

sehemu yenye asili ya watu jasiri
1- Mara
2-Mbeya
3-Moshi
kuna member humu anahoji kwa nini lissu hana ushawishi anakotoka? Nimemjibu kanda ya kati haina upinzani kama kilimanjaro, mara na mbeya
 
Back
Top Bottom