Shule ya Maandamano ipo Mbeya, Haya ni maandamano yaliyowahi kutikisa vyombo vya ulinzi mpaka wakuu wa mikoa kukimbia.

vurugu hazilipi kawaulize burund madhara yake bora waibe wakuachie amani
 
SIo kweli hata lipumba..? Au zitto kabwe..?
Vyama vya upinzani vingi, viongozi ni wa Moshi

Elewa neno "Vingi"

Halafu hio ACT bado kidogo sana, labda kwa upande wa Zanzibar
 
Sawa sawa zitto mzee wa ubwabwa lipumba nk huko moshi wapo wawili tu kwa sasa
 
Back
Top Bottom