G G Tank JF-Expert Member Joined Feb 9, 2023 Posts 2,297 Reaction score 8,760 Jan 9, 2025 Thread starter #21 Mashamba Makubwa Nalima said: wa Tanga mnatuchukulia poa sana?!? Click to expand... Shusha nondo sasa, Tanga imefanya kipi tujue
Mashamba Makubwa Nalima said: wa Tanga mnatuchukulia poa sana?!? Click to expand... Shusha nondo sasa, Tanga imefanya kipi tujue
Mashamba Makubwa Nalima JF-Expert Member Joined Mar 19, 2024 Posts 4,978 Reaction score 2,411 Jan 9, 2025 #22 MWANDENDEULE said: Uchawi ni Lindi na Mtwara rejea kukimbizwa kwa kiongozi wa nchi kwa nguvu ya moshi. Click to expand... Hawa washkaji mara nyingi ukiwazingue kwenye korosho lazima wakiwashe.
MWANDENDEULE said: Uchawi ni Lindi na Mtwara rejea kukimbizwa kwa kiongozi wa nchi kwa nguvu ya moshi. Click to expand... Hawa washkaji mara nyingi ukiwazingue kwenye korosho lazima wakiwashe.
G G Tank JF-Expert Member Joined Feb 9, 2023 Posts 2,297 Reaction score 8,760 Jan 9, 2025 Thread starter #23 BIG DOGG said: Tanga wana ujasiri sema labda baadhi ya jamii. Moshi waliandamana wapi mkuu na lini maana Click to expand... Vyama vya upinzani vingi, viongozi ni wa Moshi
BIG DOGG said: Tanga wana ujasiri sema labda baadhi ya jamii. Moshi waliandamana wapi mkuu na lini maana Click to expand... Vyama vya upinzani vingi, viongozi ni wa Moshi
G G Tank JF-Expert Member Joined Feb 9, 2023 Posts 2,297 Reaction score 8,760 Jan 9, 2025 Thread starter #24 Mashamba Makubwa Nalima said: Hawa washkaji mara nyingi ukiwazingue kwenye korosho lazima wakiwashe. Click to expand...
Mashamba Makubwa Nalima said: Hawa washkaji mara nyingi ukiwazingue kwenye korosho lazima wakiwashe. Click to expand...
wasumu JF-Expert Member Joined Oct 28, 2015 Posts 2,271 Reaction score 2,065 Jan 9, 2025 #25 vurugu hazilipi kawaulize burund madhara yake bora waibe wakuachie amani
BIG DOGG JF-Expert Member Joined Sep 15, 2024 Posts 1,869 Reaction score 2,707 Jan 9, 2025 #26 G Tank said: Vyama vya upinzani vingi, viongozi ni wa Moshi Click to expand... SIo kweli hata lipumba..? Au zitto kabwe..?
G Tank said: Vyama vya upinzani vingi, viongozi ni wa Moshi Click to expand... SIo kweli hata lipumba..? Au zitto kabwe..?
G G Tank JF-Expert Member Joined Feb 9, 2023 Posts 2,297 Reaction score 8,760 Jan 9, 2025 Thread starter #27 BIG DOGG said: SIo kweli hata lipumba..? Au zitto kabwe..? Click to expand... Vyama vya upinzani vingi, viongozi ni wa Moshi Elewa neno "Vingi" Halafu hio ACT bado kidogo sana, labda kwa upande wa Zanzibar
BIG DOGG said: SIo kweli hata lipumba..? Au zitto kabwe..? Click to expand... Vyama vya upinzani vingi, viongozi ni wa Moshi Elewa neno "Vingi" Halafu hio ACT bado kidogo sana, labda kwa upande wa Zanzibar
BIG DOGG JF-Expert Member Joined Sep 15, 2024 Posts 1,869 Reaction score 2,707 Jan 9, 2025 #28 G Tank said: Vyama vya upinzani vingi, viongozi ni wa Moshi Elewa neno "Vingi" Halafu hio ACT bado kidogo sana, labda kwa upande wa Zanzibar Click to expand... Sawa sawa zitto mzee wa ubwabwa lipumba nk huko moshi wapo wawili tu kwa sasa
G Tank said: Vyama vya upinzani vingi, viongozi ni wa Moshi Elewa neno "Vingi" Halafu hio ACT bado kidogo sana, labda kwa upande wa Zanzibar Click to expand... Sawa sawa zitto mzee wa ubwabwa lipumba nk huko moshi wapo wawili tu kwa sasa