Leo hii siku ya kufungua shule, Shule ya Olympio Upanga, Dar zaidi ya nusu ya wanafunzi wamerudishwa majumbani kwa kutokwenda na ada.
Wameambiwa lazima waende na angalau laki mbili ndiyo wataruhusiwa kusoma.
Je hii si shule ya Serikali, au?
Darasa moja watoto 500? Inawezekana vipi? Ni darasa au misa hio?Ada laki 300,000 watoto hadi 500 darasa moja
Darasa moja watoto 500? Inawezekana vipi? Ni darasa au misa hio?
😂😂Darasa moja watoto 500? Inawezekana vipi? Ni darasa au misa hio?
Sema mikondo ila its not practical darasa moja wakae watoto 500, mkondo waweza kuwa A mpaka G labda!Std7 wanamaliza 400 hadi 500 sijui wana mikondo mingapi
hata oysterbay mpelekeHio shule ntampeleka mwanangu hapo angalau government inayojielewa😅 sitaki nimsomeshe mtoto kwa mamilion ila nataka asome shule standard tu.
Hapo kwa mikondo sawa mkuu hata wakiwa mpaka na F sio swala mradi mtoto amalize kingereza anajua na hesabu anaziweza achaguliwe kwenda secondary school!😂😂
Hapo kama nimekuelewa vizuri hajamaanisha chumba kimoja cha darasa, bali mikondo yote ya darasa...
Na hapa mza wametuanzia ama wameamua kutufungulia shule moja Kama hizo za kwenu dar.ile nyanza primary imebadilishwa ni mtaala wa English..Ada ni laki sita mkuuMkuu ada ni bei gani kwa mwaka hapo?
Sio swala yani!Na hapa mza wametuanzia ama wameamua kutufungulia shule moja Kama hizo za kwenu dar.ile nyanza primary imebadilishwa ni mtaala wa English..Ada ni laki sita mkuu
Hapo kwa mikondo sawa mkuu hata wakiwa mpaka na F sio swala mradi mtoto amalize kingereza anajua na hesabu anaziweza achaguliwe kwenda secondary school!
Ziwee tano tano mkuu.Sio swala yani! Nafikiri ni wakati wa shule nyingi kuwa converted to English mediums na kupewa facility nzuri walau kila zone iwe na shule hata 3 za hivyo.
Hahahahaha hawa private hela wanataka nyingi mno!Ziwee tano tano mkuu.
Ila navyojua like 100yrs to come itakuwa ni full English.
Mie nilipenda hata apitie hizi kayumba sema Sasa naona akijua English Kuna maarifa mengi Sana anaweza akawa anajifunza even komputa iko full english.yaani ukijua English afu una uwezo wa kusoma unajifunza Mambo mengi Sana..so napenda English Ila sio kuwa nazikubali private. Ni Bora niajili mwalimu anakuja nyumbani anamfundisha mwanangu namlipa hata laki 2.
Kuliko hiyo hela kuipeleka private. Mana mie nitakuwa namuendesha huyo mwalimu.afu mwanangu jina lipo kayumba Nampa headteacher like 50k anakuwa haendi shule ilimradi anaenda kuifanya mitihani basi.
Ama hata private namiliki jina Ila kusoma anasomea nyumbani.shule anaenda kimachame Sana
Oysterbay shule gani ipo huko?hata oysterbay mpeleke
Acha kulia lia kama boya, lipa ada hiyo mtoto asome.Leo hii siku ya kufungua shule, Shule ya Olympio Upanga, Dar zaidi ya nusu ya wanafunzi wamerudishwa majumbani kwa kutokwenda na ada.
Wameambiwa lazima waende na angalau laki mbili ndiyo wataruhusiwa kusoma.
Je hii si shule ya Serikali, au?
Muhamishie kwa Mpalange Primary schoolLeo hii siku ya kufungua shule, Shule ya Olympio Upanga, Dar zaidi ya nusu ya wanafunzi wamerudishwa majumbani kwa kutokwenda na ada.
Wameambiwa lazima waende na angalau laki mbili ndiyo wataruhusiwa kusoma.
Je hii si shule ya Serikali, au?
oysterbay pale pale nw ni english mediumOysterbay shule gani ipo huko?
Bei gani inalipwaoysterbay pale pale nw ni english medium
Wewe, tumia akili. Hiyo hela ina malengo yaliyowekwa kufanikisha malengo hayo. Kama shule inafungua na kazi zinatakiwa ziendelee, halafu hela ibaki nyumbani mtoto shuleni. Tutafikiaje malengo hayo?Leo hii siku ya kufungua shule, Shule ya Olympio Upanga, Dar zaidi ya nusu ya wanafunzi wamerudishwa majumbani kwa kutokwenda na ada.
Wameambiwa lazima waende na angalau laki mbili ndiyo wataruhusiwa kusoma.
Je hii si shule ya Serikali, au?