Shule ya Msingi ya Museveni, Chato: Watoto wa nani watasoma humo?

Acha wivu wa kijinga wewe Chato ni mji sio kijiji!
 
Nimegundua watanzania wengi hawana akili pamoja na huyu aliyeandika huu ujinga.
 
Andiko lako limejaa chuki..punguza chuki na ubinafsi havitakusaidia...chuki na umasikini ni ugonjwa mbaya sana.

#MaendeleoHayanaChama
Sina chuki na yeyote. Nawashangaa wanaona kama hiyo shule ni kitu cha ajabu wakati tumekuwa na shule nzuri hata zaidi ya hizo kwa miaka mingi. Wewe unaona ni news?

Shule niliyosoma mimi ilikuwa nzuri kuliko hiyo, halafu tunaona kama muujiza. It is something but not exceptional.
 
Andiko lako limejaa chuki..punguza chuki na ubinafsi havitakusaidia...chuki na umasikini ni ugonjwa mbaya sana.

#MaendeleoHayanaChama
Mbona wengi tu huwatoa watoto mijini kwenda vijijini kupata elimu.
Namshangaa huyo member hakika.
 
Sasa una kipi ja ziada kwenye maisha? Unapuyanga hapa jamii forum kwakupewa uchawa na Jumong! Stupid!
 
Mbona wengi tu huwatoa watoto mijini kwenda vijijini kupata elimu.
Namshangaa huyo member hakika.
Namshanga sana huyu chawa wa Samia kazi kupinga kila kitu kinachofanyika Chatokwa akili yake yeye na familia yake ndo wasomi? Hajui kuwa Chato kuna watu wengi tu wamepiga shule tena vizuri!
 
Usijali mkuu. Tupende kuappreciate vitu hata Kama haviko upande wetu. Majivuno na dhihaka ni matunda ya shetani usiruhusu yakashamiri ndan yako.
 
Acha wivu wa kijinga wewe Chato ni mji sio kijiji!
Hivi Chato ina Halmashauri ya Wilaya au Halmashauri ya mji?

Kila mmoja na mtazamo wake. Nilipita hapo miaka miwili iliyopita, nisingeweza kuita ni mji.

Hivi kuna nini unachoweza kuwaonea wivu wananchi wa Chato? Maisha yao ni duni kama yalivyo maisha ya watanzania wengi. Baadhi ya vitu vilivyowekwa pale kama uwanja wa ndege, jengo la TRA, CRDB, hoteli ya TANAPA, kwao ni fahari ya macho. Afadhali hata hospitali, itawapa huduma za afya. Vingine vyote, haviwapunguzii ugumu wao wa maisha.
 
Ila akijenga mzungu aliyetuibia law materials zetu baada ya zake kuisha na mpaka leo anaiba mnasema ewaaa!!!
Yaani mzungu aache high materials huko kwao aje kuiba law materials zenu? Una akili kweli wewe
 
Sasa una kipi ja ziada kwenye maisha? Unapuyanga hapa jamii forum kwakupewa uchawa na Jumong! Stupid!
Unavyoandika tu, inaonekana ni mtu wa namna gani. You worth nothing in this universe.

Nashukuru mifumo iliyokuwepo, ndiyo iliyonipa msingi wa kuweza kufanya kazi mabara yote Duniani except Asia.

Mnapoteza muda kusifia tiny things. Hiyo shule ina nini cha pekee? Au kwa sababu imejengwa na Mseven? Apart from that, what's so special?
 
Usijali mkuu. Tupende kuappreciate vitu hata Kama haviko upande wetu. Majivuno na dhihaka ni matunda ya shetani usiruhusu yakashamiri ndan yako.
Mimi sijasema kuwa siyo kitu, wala sijasema kuwa Mseveni hajatutendea wema kama Taifa. Lakini kilichonishangaza ni kuleta taswira kama vile kabla ya hiyo shule hakuna shule iliyokuwepo ya kiwango hicho.

Mtu anasema kuwa eti watoto wa watu wa kawaida hawatapata nafasi kwa sababu watajaa watoto wa viongozi. Viongozi wakuu wapo Dodoma au Dar, ni nini cha ajabu kwenye hiyo shule kiasi cha viongozi labda wa kitaifa, wa mikoa, wilaya na matajiri, wote wakagombanie watoto wao kwenda kusoma kwenye hiyo shule ya Chato?

Wewe unaamini kuwa hiyo shule ni ya pekee kiasi cha Watamzania wote kupigania watoto wao waende wakasome Chato?

Nakubaliana nawe kuwa tunatakiwa ku-appreciate mafanikio lakini pia tusipende kukuza. Mafanikio kidogo tunayafanya kama muujiza.
 
Aisee.. Hivi Magu alikuwa na mpango gani na Chattle..!??

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Shule hii watasoma watoto wa Mtanzania yeyote ambaye amefaulu kwa viwango vinavyotakiwa. Suala la wewe kuuliza watasomama watoto gani na wakati unajua kabisa shule za serikali wanasoma watoto wote, ndio unaanza kuwafanya watu wafikiri ambavyo hata havikuwepo.
 
Nimekuelewavizuri kabisa
 
Nakuuliza wewe unatofauti gani na hawa watanzania wa kawaida kama chato? Au unamaisha mazuri kuzidi watu wote wa Chato? Mambo ya kuufanya kazi nje ya nchi sio tija kama huna maajabu utakuwa mtu wa kawaida tu! Hata sisi tuna ndugu wako nje ila hawana maajabu yeyote akirudi Tanzania anakimbizwa kama kawa!
 
... shule imejengwa Chato halafu medium of instruction ni English! Kumuenzi marehemu ifundishe kwa Kiswahili haraka sana otherwise ni zaidi ya matusi kwake. Alikipenda sana Kiswahili japo hakukiweza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…