Shule ya Msingi ya Museveni, Chato: Watoto wa nani watasoma humo?

Matokeo yake wanasoma watoto wa kundi fulani na kuwaacha watoto wenye uwezo mkubwa kiakili wanaotoka familia zisizo na majina/wanyonge.
Hao 'wanyonge' wanaambiwa tu kuwa inafaa wasome kwa Kiswahili kuanzia
vi-dudu hadi chuo !
 
duh brother, M7 kafanya hivyo kumuenzi JP.
na c kama katoa msaada.
khaaa

..amefanya kuenzi mchango wa Tz ktk kuikomboa Uganda toka ktk makucha ya udikteta wa Iddi Amin.

..bila Tz kuingia kijeshi Uganda uwezekano mkubwa Iddi Amin angefia madarakani.
 
kavulata,

..watasoma watoto wa VIGOGO wa serikali watakaokwenda kuanzisha mkoa mpya wa Chato.
 
Shule hii illiyojengwa na Rais wa Uganda ni mingoni mwa shule chache za serikali zitakazotoa mafunzo yake kwa lugha ya Kiingereza sawa na shule za Olympio, Diamond, Oysterbay, nk. Shule hizi ni shule za kulipia ada ndogo kabisa kuliko shule za aina hii za watu binafsi na mashirika ya dini.

Wasiwasi wangu mkubwa ni namna watoto wa watanzania wa kawaida watakavyoweza kupata nafasi kwenye shule hiyo dhidi ya watoto wa viongozi wa Chama na serikali, walimu na wafanyabiashara wakubwa wenye uwezo wa kifesha na ushawishi.

Makundi haya ya wenye fedha na vyeo yataacha pia kupeleka watoto wao shule binafsi zenye ada kubwa na kwenda kujaza watoto wao kwenye shule hii.

Kamati ya shule lazima iwe fair kwenye selection ya watoto watakaojiunga na shule hii. Kigezo kiwe ufaulu wa mtoto kwenye mtihani wa kujiunga na shule, isiwe ni mtoto wa nani au ameletwa na nani. Kuna vi memo vingi na rushwa kubwa sana katika kupata nafasi kwenye hizi shule.

Watu wanapiga pesa ndefu kupatia watu nafasi kwa njia ya kujuana, cheo, na nafasi kwenye jamii. Matokeo yake wanasoma watoto wa kundi fulani na kuwaacha watoto wenye uwezo mkubwa kiakili wanaotoka familia zisizo na majina/wanyonge.

Hapo malengo ya Museven yatakuwa bure kabisa.

Waganda mafala sana
 
Nakuuliza wewe unatofauti gani na hawa watanzania wa kawaida kama chato? Au unamaisha mazuri kuzidi watu wote wa Chato? Mambo ya kuufanya kazi nje ya nchi sio tija kama huna maajabu utakuwa mtu wa kawaida tu! Hata sisi tuna ndugu wako nje ila hawana maajabu yeyote akirudi Tanzania anakimbizwa kama kawa!
Mimi ni binadamu kama binadamu wengine. Sijawahi kuwa wa ajabu, na sitarajii niwe wa ajabu. Siku nitakapokuwa wa ajabu, sitaitwa mwanadamu.

Ninachokisema ni kuwa hii shule siyo ya ajabu. Tumekuwa na shule kama hizo na hata nzuri zaidi ya hizo. Leo kwa nini tunaiona shule hiyo kuwa ya ajabu kiasi hata cha kuwa na hofu kuwa watoto wa wananchi wa kawaida hawatapata nafasi ya kusoma kwa sababu nafasi zitajazwa na watoto wa viongozi na matajiri?

Ni shule imetolewa msaada na Mseveni. Ni jambo jema. Ni sawa na mtu akikupa zawadi ya Tshirt, hata kama una suti na mashati, utaipokea ile Tshirt kutokana na dhamira njema ya yule aliyekupatia. Lakini haitamaanisha kuwa Tshirt zote, na mashati na suti ukizokuwa nazo vimekosa ubora kiasi kwamba kila siku utakuwa unapaparika kuivaa hiyo tshirt.

Shukrani kwa Mseveni kuwajengea shule wananchi wa Chato.

Gadafi aliwajengea msikiti na rest house waislam wa Butiama. Nami nilipoenda Butiama, Mwalimu akiwa hai nililala pale. Alichokifanya Mseveni ni kizuri lakini siyo cha pekee, siyo cha ajabu na wala haimaanishi hatukuwa na shule nzuri kama hiyo au nzuri zaidi kabla yake. Kwa Chato, yawezekana, hiyo ndiyo shule nzuri zaidi, sina uhakika. Lakini kwa baadhi ya maeneo ndani ya nchi yetu, hiyo shule ni ya kawaida.
 
Shule hii illiyojengwa na Rais wa Uganda ni mingoni mwa shule chache za serikali zitakazotoa mafunzo yake kwa lugha ya Kiingereza sawa na shule za Olympio, Diamond, Oysterbay, nk. Shule hizi ni shule za kulipia ada ndogo kabisa kuliko shule za aina hii za watu binafsi na mashirika ya dini.

Wasiwasi wangu mkubwa ni namna watoto wa watanzania wa kawaida watakavyoweza kupata nafasi kwenye shule hiyo dhidi ya watoto wa viongozi wa Chama na serikali, walimu na wafanyabiashara wakubwa wenye uwezo wa kifesha na ushawishi.

Makundi haya ya wenye fedha na vyeo yataacha pia kupeleka watoto wao shule binafsi zenye ada kubwa na kwenda kujaza watoto wao kwenye shule hii.

Kamati ya shule lazima iwe fair kwenye selection ya watoto watakaojiunga na shule hii. Kigezo kiwe ufaulu wa mtoto kwenye mtihani wa kujiunga na shule, isiwe ni mtoto wa nani au ameletwa na nani. Kuna vi memo vingi na rushwa kubwa sana katika kupata nafasi kwenye hizi shule.

Watu wanapiga pesa ndefu kupatia watu nafasi kwa njia ya kujuana, cheo, na nafasi kwenye jamii. Matokeo yake wanasoma watoto wa kundi fulani na kuwaacha watoto wenye uwezo mkubwa kiakili wanaotoka familia zisizo na majina/wanyonge.

Hapo malengo ya Museven yatakuwa bure kabisa.

Vitu na mali za dhuluma hazina Baraka ya mungu hii shule ni laana tu ya dhuluma za ndugu zetu waganda
 
Hujawahi kusomesha kijana, shule nyingi zipo mbali na miji, mazingira tulivu ya kusoma hupatikana huko, tafuta shule za seminary za katoliki zilipo utakuja kufuta huo uchafu wako.

Hizo unazoziita seminari za kanisa katoliki zipo nje ya mji kimkakati.
 
Shule hii illiyojengwa na Rais wa Uganda ni mingoni mwa shule chache za serikali zitakazotoa mafunzo yake kwa lugha ya Kiingereza sawa na shule za Olympio, Diamond, Oysterbay, nk. Shule hizi ni shule za kulipia ada ndogo kabisa kuliko shule za aina hii za watu binafsi na mashirika ya dini.

Wasiwasi wangu mkubwa ni namna watoto wa watanzania wa kawaida watakavyoweza kupata nafasi kwenye shule hiyo dhidi ya watoto wa viongozi wa Chama na serikali, walimu na wafanyabiashara wakubwa wenye uwezo wa kifesha na ushawishi.

Makundi haya ya wenye fedha na vyeo yataacha pia kupeleka watoto wao shule binafsi zenye ada kubwa na kwenda kujaza watoto wao kwenye shule hii.

Kamati ya shule lazima iwe fair kwenye selection ya watoto watakaojiunga na shule hii. Kigezo kiwe ufaulu wa mtoto kwenye mtihani wa kujiunga na shule, isiwe ni mtoto wa nani au ameletwa na nani. Kuna vi memo vingi na rushwa kubwa sana katika kupata nafasi kwenye hizi shule.

Watu wanapiga pesa ndefu kupatia watu nafasi kwa njia ya kujuana, cheo, na nafasi kwenye jamii. Matokeo yake wanasoma watoto wa kundi fulani na kuwaacha watoto wenye uwezo mkubwa kiakili wanaotoka familia zisizo na majina/wanyonge.

Hapo malengo ya Museven yatakuwa bure kabisa.

Watoto wa wakulima na wafugaji kutoka Nyabilezi, Katende, Nyamigogo, Ilyamchele, Kasozibakaya, Ichwankima na Mkungo

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Sina chuki na yeyote. Nawashangaa wanaona kama hiyo shule ni kitu cha ajabu wakati tumekuwa na shule nzuri hata zaidi ya hizo kwa miaka mingi. Wewe unaona ni news?

Shule niliyosoma mimi ilikuwa nzuri kuliko hiyo, halafu tunaona kama muujiza. It is something but not exceptional.
Shule hizi za hivi sio nyingi Tanzania. Utofauti wake na shule nyingine za msingi nchini ni kuwa shule hii ni ya serikali inayofundisha masomo yote kwa kiingereza isipokuwa SoMo la kiswahili tu. Mikoa michache sana Ina shule za serikali za aina hii. Mtoto anaemaliza darasa la saba kwenye shule hizi anakuwa na uwezo mkubwa wa kusoma, kuandika na kuongea kiingereza lugha inayotumika shule za sekondari na vyuoni kuliko watoto wenzao wanaomaliza darasa la Saba kwenye shule za Binti Juma primary school.

Nina uhakika kuwa watoto watakaoingia kwenye hiyo shule ni watoto, wapwa, wajuu, ndugu wa madiwani, watendaji kata, wafanyakazi wa halmashauri ya Chato, watumishi, wafanyabiashara na watu wenye uwezo.
 
Shule hii illiyojengwa na Rais wa Uganda ni mingoni mwa shule chache za serikali zitakazotoa mafunzo yake kwa lugha ya Kiingereza sawa na shule za Olympio, Diamond, Oysterbay, nk. Shule hizi ni shule za kulipia ada ndogo kabisa kuliko shule za aina hii za watu binafsi na mashirika ya dini.

Wasiwasi wangu mkubwa ni namna watoto wa watanzania wa kawaida watakavyoweza kupata nafasi kwenye shule hiyo dhidi ya watoto wa viongozi wa Chama na serikali, walimu na wafanyabiashara wakubwa wenye uwezo wa kifesha na ushawishi.

Makundi haya ya wenye fedha na vyeo yataacha pia kupeleka watoto wao shule binafsi zenye ada kubwa na kwenda kujaza watoto wao kwenye shule hii.

Kamati ya shule lazima iwe fair kwenye selection ya watoto watakaojiunga na shule hii. Kigezo kiwe ufaulu wa mtoto kwenye mtihani wa kujiunga na shule, isiwe ni mtoto wa nani au ameletwa na nani. Kuna vi memo vingi na rushwa kubwa sana katika kupata nafasi kwenye hizi shule.

Watu wanapiga pesa ndefu kupatia watu nafasi kwa njia ya kujuana, cheo, na nafasi kwenye jamii. Matokeo yake wanasoma watoto wa kundi fulani na kuwaacha watoto wenye uwezo mkubwa kiakili wanaotoka familia zisizo na majina/wanyonge.

Hapo malengo ya Museven yatakuwa bure kabisa.

Mtoto wakitanzania atasomea humo
 
Ukisema watu wa aina fulani wa hapo Chato, yawezekana upo sahihi. Maana kama kuna ada, ni lazima wale wwazazi wenye uwezo wa kulipa ada ndio watoto wao watakaosoma hapo. Lakini pia itategemea itakuwa inaperform namna gani.
 
Shule hii illiyojengwa na Rais wa Uganda ni mingoni mwa shule chache za serikali zitakazotoa mafunzo yake kwa lugha ya Kiingereza sawa na shule za Olympio, Diamond, Oysterbay, nk. Shule hizi ni shule za kulipia ada ndogo kabisa kuliko shule za aina hii za watu binafsi na mashirika ya dini.

Wasiwasi wangu mkubwa ni namna watoto wa watanzania wa kawaida watakavyoweza kupata nafasi kwenye shule hiyo dhidi ya watoto wa viongozi wa Chama na serikali, walimu na wafanyabiashara wakubwa wenye uwezo wa kifesha na ushawishi.

Makundi haya ya wenye fedha na vyeo yataacha pia kupeleka watoto wao shule binafsi zenye ada kubwa na kwenda kujaza watoto wao kwenye shule hii.

Kamati ya shule lazima iwe fair kwenye selection ya watoto watakaojiunga na shule hii. Kigezo kiwe ufaulu wa mtoto kwenye mtihani wa kujiunga na shule, isiwe ni mtoto wa nani au ameletwa na nani. Kuna vi memo vingi na rushwa kubwa sana katika kupata nafasi kwenye hizi shule.

Watu wanapiga pesa ndefu kupatia watu nafasi kwa njia ya kujuana, cheo, na nafasi kwenye jamii. Matokeo yake wanasoma watoto wa kundi fulani na kuwaacha watoto wenye uwezo mkubwa kiakili wanaotoka familia zisizo na majina/wanyonge.

Hapo malengo ya Museven yatakuwa bure kabisa.

Kuna wavimba macho humu JF wanapoona shule kama hii imejengwa Chato wanakasiriiiiiiiiiika kweli. Kwao maendeleo ni kama ingejengwa Dar es Salaam au Kilimanjaro!!!
 
Umeandika sana lakini uko nje ya key. Hakuna aliyesema kuwa watoto wa viongozi wakuu wa kitaifa kama Rais, mawaziri au majaji, spika watakuja kusoma hapo, hayo unayasema wewe. Mleta mada alikusudia viongozi wa Chama na serikali, na watumishi walioko kwenye Wilaya ya Chato na vitogoji vyake.

Usipotoshe pia mkuu wa mkoa wa Geita kasema shule za aina hiyo ziko 2 TU na Chato Iko moja tu ambayo ndiyo hii ya Museven. Hizo nyingi unazosema ziko wapi?

Chato ni kubwa nafahamu kuwa kila mbinu zitafanywa kuhakikisha kuwa watoto wa viongozi wilayani Chato wanasoma shule hii. Hii ni pamoja na kuanzisha mabweni karibu na shule, kupeleka watoto akaishi kwa shangazi, mjomba, babu, dada, ndugu na marafiki wanaoishi karibu na shule hii ili kuhudhuria masomo. Hapo litazuka balaa la watoto kuteswa na hata kubakwa na ndugu wa karibu.
 
Namshanga sana huyu chawa wa Samia kazi kupinga kila kitu kinachofanyika Chatokwa akili yake yeye na familia yake ndo wasomi? Hajui kuwa Chato kuna watu wengi tu wamepiga shule tena vizuri!
Shida ilikuwa ni awamu isiyoeleweka kwa kila mtu. Mara unasema Tanzania ni tajiri, pesa ipo, itakuwa donor county, lakini hapo hapo tunaomba kila mtu anaetutenbelea Tanzania. Mara tujengee shule, mara msikiti mara uwanja wa mpira mara ikulu. Pesa ipo kivipi kama huwezi kujenga kashule kama hako?
 
Mseven hakufanya utafiti wa kitosha ni matumizi mabaya rasilimali fedha
 
utafiti gani? aliombwa ajenge pale, angefanya nini? Ana akili sana yule, ndiyo maana anashangaa kuona hatununui sukari yake. Duniani hakuna cha bure bro, ni give and take, ni hesabu tu. Ndiyo maana Prof mzima ameitwa nonsense kwa sukari ya uganda.
 
Back
Top Bottom