antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 47,274
- 126,778
Hao 'wanyonge' wanaambiwa tu kuwa inafaa wasome kwa Kiswahili kuanziaMatokeo yake wanasoma watoto wa kundi fulani na kuwaacha watoto wenye uwezo mkubwa kiakili wanaotoka familia zisizo na majina/wanyonge.
duh brother, M7 kafanya hivyo kumuenzi JP.
na c kama katoa msaada.
khaaa
Waganda mafala sanaShule hii illiyojengwa na Rais wa Uganda ni mingoni mwa shule chache za serikali zitakazotoa mafunzo yake kwa lugha ya Kiingereza sawa na shule za Olympio, Diamond, Oysterbay, nk. Shule hizi ni shule za kulipia ada ndogo kabisa kuliko shule za aina hii za watu binafsi na mashirika ya dini.
Wasiwasi wangu mkubwa ni namna watoto wa watanzania wa kawaida watakavyoweza kupata nafasi kwenye shule hiyo dhidi ya watoto wa viongozi wa Chama na serikali, walimu na wafanyabiashara wakubwa wenye uwezo wa kifesha na ushawishi.
Makundi haya ya wenye fedha na vyeo yataacha pia kupeleka watoto wao shule binafsi zenye ada kubwa na kwenda kujaza watoto wao kwenye shule hii.
Kamati ya shule lazima iwe fair kwenye selection ya watoto watakaojiunga na shule hii. Kigezo kiwe ufaulu wa mtoto kwenye mtihani wa kujiunga na shule, isiwe ni mtoto wa nani au ameletwa na nani. Kuna vi memo vingi na rushwa kubwa sana katika kupata nafasi kwenye hizi shule.
Watu wanapiga pesa ndefu kupatia watu nafasi kwa njia ya kujuana, cheo, na nafasi kwenye jamii. Matokeo yake wanasoma watoto wa kundi fulani na kuwaacha watoto wenye uwezo mkubwa kiakili wanaotoka familia zisizo na majina/wanyonge.
Hapo malengo ya Museven yatakuwa bure kabisa.
Mimi ni binadamu kama binadamu wengine. Sijawahi kuwa wa ajabu, na sitarajii niwe wa ajabu. Siku nitakapokuwa wa ajabu, sitaitwa mwanadamu.Nakuuliza wewe unatofauti gani na hawa watanzania wa kawaida kama chato? Au unamaisha mazuri kuzidi watu wote wa Chato? Mambo ya kuufanya kazi nje ya nchi sio tija kama huna maajabu utakuwa mtu wa kawaida tu! Hata sisi tuna ndugu wako nje ila hawana maajabu yeyote akirudi Tanzania anakimbizwa kama kawa!
Vitu na mali za dhuluma hazina Baraka ya mungu hii shule ni laana tu ya dhuluma za ndugu zetu wagandaShule hii illiyojengwa na Rais wa Uganda ni mingoni mwa shule chache za serikali zitakazotoa mafunzo yake kwa lugha ya Kiingereza sawa na shule za Olympio, Diamond, Oysterbay, nk. Shule hizi ni shule za kulipia ada ndogo kabisa kuliko shule za aina hii za watu binafsi na mashirika ya dini.
Wasiwasi wangu mkubwa ni namna watoto wa watanzania wa kawaida watakavyoweza kupata nafasi kwenye shule hiyo dhidi ya watoto wa viongozi wa Chama na serikali, walimu na wafanyabiashara wakubwa wenye uwezo wa kifesha na ushawishi.
Makundi haya ya wenye fedha na vyeo yataacha pia kupeleka watoto wao shule binafsi zenye ada kubwa na kwenda kujaza watoto wao kwenye shule hii.
Kamati ya shule lazima iwe fair kwenye selection ya watoto watakaojiunga na shule hii. Kigezo kiwe ufaulu wa mtoto kwenye mtihani wa kujiunga na shule, isiwe ni mtoto wa nani au ameletwa na nani. Kuna vi memo vingi na rushwa kubwa sana katika kupata nafasi kwenye hizi shule.
Watu wanapiga pesa ndefu kupatia watu nafasi kwa njia ya kujuana, cheo, na nafasi kwenye jamii. Matokeo yake wanasoma watoto wa kundi fulani na kuwaacha watoto wenye uwezo mkubwa kiakili wanaotoka familia zisizo na majina/wanyonge.
Hapo malengo ya Museven yatakuwa bure kabisa.
Hujawahi kusomesha kijana, shule nyingi zipo mbali na miji, mazingira tulivu ya kusoma hupatikana huko, tafuta shule za seminary za katoliki zilipo utakuja kufuta huo uchafu wako.
Watoto wa wakulima na wafugaji kutoka Nyabilezi, Katende, Nyamigogo, Ilyamchele, Kasozibakaya, Ichwankima na MkungoShule hii illiyojengwa na Rais wa Uganda ni mingoni mwa shule chache za serikali zitakazotoa mafunzo yake kwa lugha ya Kiingereza sawa na shule za Olympio, Diamond, Oysterbay, nk. Shule hizi ni shule za kulipia ada ndogo kabisa kuliko shule za aina hii za watu binafsi na mashirika ya dini.
Wasiwasi wangu mkubwa ni namna watoto wa watanzania wa kawaida watakavyoweza kupata nafasi kwenye shule hiyo dhidi ya watoto wa viongozi wa Chama na serikali, walimu na wafanyabiashara wakubwa wenye uwezo wa kifesha na ushawishi.
Makundi haya ya wenye fedha na vyeo yataacha pia kupeleka watoto wao shule binafsi zenye ada kubwa na kwenda kujaza watoto wao kwenye shule hii.
Kamati ya shule lazima iwe fair kwenye selection ya watoto watakaojiunga na shule hii. Kigezo kiwe ufaulu wa mtoto kwenye mtihani wa kujiunga na shule, isiwe ni mtoto wa nani au ameletwa na nani. Kuna vi memo vingi na rushwa kubwa sana katika kupata nafasi kwenye hizi shule.
Watu wanapiga pesa ndefu kupatia watu nafasi kwa njia ya kujuana, cheo, na nafasi kwenye jamii. Matokeo yake wanasoma watoto wa kundi fulani na kuwaacha watoto wenye uwezo mkubwa kiakili wanaotoka familia zisizo na majina/wanyonge.
Hapo malengo ya Museven yatakuwa bure kabisa.
Raw materials, sio law wala low unayoimaanisha…Yaani mzungu aache high materials huko kwao aje kuiba law materials zenu? Una akili kweli wewe
Shule hizi za hivi sio nyingi Tanzania. Utofauti wake na shule nyingine za msingi nchini ni kuwa shule hii ni ya serikali inayofundisha masomo yote kwa kiingereza isipokuwa SoMo la kiswahili tu. Mikoa michache sana Ina shule za serikali za aina hii. Mtoto anaemaliza darasa la saba kwenye shule hizi anakuwa na uwezo mkubwa wa kusoma, kuandika na kuongea kiingereza lugha inayotumika shule za sekondari na vyuoni kuliko watoto wenzao wanaomaliza darasa la Saba kwenye shule za Binti Juma primary school.Sina chuki na yeyote. Nawashangaa wanaona kama hiyo shule ni kitu cha ajabu wakati tumekuwa na shule nzuri hata zaidi ya hizo kwa miaka mingi. Wewe unaona ni news?
Shule niliyosoma mimi ilikuwa nzuri kuliko hiyo, halafu tunaona kama muujiza. It is something but not exceptional.
Mtoto wakitanzania atasomea humoShule hii illiyojengwa na Rais wa Uganda ni mingoni mwa shule chache za serikali zitakazotoa mafunzo yake kwa lugha ya Kiingereza sawa na shule za Olympio, Diamond, Oysterbay, nk. Shule hizi ni shule za kulipia ada ndogo kabisa kuliko shule za aina hii za watu binafsi na mashirika ya dini.
Wasiwasi wangu mkubwa ni namna watoto wa watanzania wa kawaida watakavyoweza kupata nafasi kwenye shule hiyo dhidi ya watoto wa viongozi wa Chama na serikali, walimu na wafanyabiashara wakubwa wenye uwezo wa kifesha na ushawishi.
Makundi haya ya wenye fedha na vyeo yataacha pia kupeleka watoto wao shule binafsi zenye ada kubwa na kwenda kujaza watoto wao kwenye shule hii.
Kamati ya shule lazima iwe fair kwenye selection ya watoto watakaojiunga na shule hii. Kigezo kiwe ufaulu wa mtoto kwenye mtihani wa kujiunga na shule, isiwe ni mtoto wa nani au ameletwa na nani. Kuna vi memo vingi na rushwa kubwa sana katika kupata nafasi kwenye hizi shule.
Watu wanapiga pesa ndefu kupatia watu nafasi kwa njia ya kujuana, cheo, na nafasi kwenye jamii. Matokeo yake wanasoma watoto wa kundi fulani na kuwaacha watoto wenye uwezo mkubwa kiakili wanaotoka familia zisizo na majina/wanyonge.
Hapo malengo ya Museven yatakuwa bure kabisa.
Ukisema watu wa aina fulani wa hapo Chato, yawezekana upo sahihi. Maana kama kuna ada, ni lazima wale wwazazi wenye uwezo wa kulipa ada ndio watoto wao watakaosoma hapo. Lakini pia itategemea itakuwa inaperform namna gani.Shule hizi za hivi sio nyingi Tanzania. Utofauti wake na shule nyingine za msingi nchini ni kuwa shule hii ni ya serikali inayofundisha masomo yote kwa kiingereza isipokuwa SoMo la kiswahili tu. Mikoa michache sana Ina shule za serikali za aina hii. Mtoto anaemaliza darasa la saba kwenye shule hizi anakuwa na uwezo mkubwa wa kusoma, kuandika na kuongea kiingereza lugha inayotumika shule za sekondari na vyuoni kuliko watoto wenzao wanaomaliza darasa la Saba kwenye shule za Binti Juma primary school.
Nina uhakika kuwa watoto watakaoingia kwenye hiyo shule ni watoto, wapwa, wajuu, ndugu wa madiwani, watendaji kata, wafanyakazi wa halmashauri ya Chato, watumishi, wafanyabiashara na watu wenye uwezo.
Kuna wavimba macho humu JF wanapoona shule kama hii imejengwa Chato wanakasiriiiiiiiiiika kweli. Kwao maendeleo ni kama ingejengwa Dar es Salaam au Kilimanjaro!!!Shule hii illiyojengwa na Rais wa Uganda ni mingoni mwa shule chache za serikali zitakazotoa mafunzo yake kwa lugha ya Kiingereza sawa na shule za Olympio, Diamond, Oysterbay, nk. Shule hizi ni shule za kulipia ada ndogo kabisa kuliko shule za aina hii za watu binafsi na mashirika ya dini.
Wasiwasi wangu mkubwa ni namna watoto wa watanzania wa kawaida watakavyoweza kupata nafasi kwenye shule hiyo dhidi ya watoto wa viongozi wa Chama na serikali, walimu na wafanyabiashara wakubwa wenye uwezo wa kifesha na ushawishi.
Makundi haya ya wenye fedha na vyeo yataacha pia kupeleka watoto wao shule binafsi zenye ada kubwa na kwenda kujaza watoto wao kwenye shule hii.
Kamati ya shule lazima iwe fair kwenye selection ya watoto watakaojiunga na shule hii. Kigezo kiwe ufaulu wa mtoto kwenye mtihani wa kujiunga na shule, isiwe ni mtoto wa nani au ameletwa na nani. Kuna vi memo vingi na rushwa kubwa sana katika kupata nafasi kwenye hizi shule.
Watu wanapiga pesa ndefu kupatia watu nafasi kwa njia ya kujuana, cheo, na nafasi kwenye jamii. Matokeo yake wanasoma watoto wa kundi fulani na kuwaacha watoto wenye uwezo mkubwa kiakili wanaotoka familia zisizo na majina/wanyonge.
Hapo malengo ya Museven yatakuwa bure kabisa.
Shida ilikuwa ni awamu isiyoeleweka kwa kila mtu. Mara unasema Tanzania ni tajiri, pesa ipo, itakuwa donor county, lakini hapo hapo tunaomba kila mtu anaetutenbelea Tanzania. Mara tujengee shule, mara msikiti mara uwanja wa mpira mara ikulu. Pesa ipo kivipi kama huwezi kujenga kashule kama hako?Namshanga sana huyu chawa wa Samia kazi kupinga kila kitu kinachofanyika Chatokwa akili yake yeye na familia yake ndo wasomi? Hajui kuwa Chato kuna watu wengi tu wamepiga shule tena vizuri!
utafiti gani? aliombwa ajenge pale, angefanya nini? Ana akili sana yule, ndiyo maana anashangaa kuona hatununui sukari yake. Duniani hakuna cha bure bro, ni give and take, ni hesabu tu. Ndiyo maana Prof mzima ameitwa nonsense kwa sukari ya uganda.Mseven hakufanya utafiti wa kitosha ni matumizi mabaya rasilimali fedha