DOKEZO Shule za Diamond na Olympio zipo Juu ya Sheria?

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Watoto wasome kupunzika ni baadae ukiona unalalamika ujue unataka mtoto wako awe panyaroodi kusoma si lazima basi mitaala ni ileile asome karibi na nyumbani
 
Teacher jaribu kuuza hata ubuyu. Wiki 3 si nyingi utatoboa tu. Acha ngonjera za kipuuzi kuhalalisha upuuzi.

Being irresponsible is expecting your child to be a studying machine that requires no rest.

There comes a point in every human's life that they require a halt from their normal routines just to be able to reset their brains and start a fresh. Kwa wanfunzi likizo ndio huo wakati.

Msitake kufidia failure zenu za maisha kwa watoto wenu, mkidhani akisoma mwaka mzima bila mapumziko ndio atatoboa kimaisha. Ubongo wa binadamu can only take so much kabla kuanza kutema nje vya ziada.
 
Unajitekenya na kucheka mwenyewe. Sidhani unajua hata unachobishania. Kwaheri
 
Nenda kamuhamishe mwanao hukuomba ushauri ulivyompeleka
 
Kama hutaki mtoto wako asome likizo mpeleke Burundi akasome huko. Huku bongo ni kitabu mwanzo mwisho mpaka kieleweke.

Hakuna cha likizo, likizo ni kaburini tu.
 
Nenda kamuhamishe mwanao hukuomba ushauri ulivyompeleka
BABA MISSION TOWN, MAMA MDANGAJI.

LAZIMA MCHUKIE LIKIZO. MTOTO ATAANGALIWA NA NANI AKIWA LIKIZO🤣
 
Wee jamaa una matatizo sana,vp hujawahi kuona wala kusikia watoto wakienda tuition au kuona tuition center ikijaza wanafunzi kipindi cha likizo?

Unasomesha? Pengine tangu mwaka gani?
Uliwahi kwenda pale Mchikichini kipindi cha likizo ukakutana uso kwa uso na akina Mud physics kipindi cha likizo?

Yaani mnataka kufanya watu wahisi haya mambo yameanza hawamu hii,ni mapya kweli?
Au kwenye tuition center yako hakuna wanafunzi ndiyo maana makasiliko mengi?

Siungi mkono watoto kuwa shule hasa bwenini kipindi cha likizo,lkn siyo kusoma kipindi cha likizo.
Mfano,mimi ni mwl,vp nikiwa nina wafundisha watoto wangu nyumbani,ni dhambi?

Km jibu siyo dhambi,kuna ubaya gani mtoto wangu kwenda shule japo kwa nusu siku km mazingira ni rafiki? ACHENI KUWADANGANYA WATANZANIA MASIKINI HUKU WATOTO WA WATOA MATAMKO WAKILETEWA WALIMU NYUMBANI KWA GARI LINALO PEPERUSHA BENDERA.

SERIKALI NI KITU KIKUBWA SANA KIASI KWAMBA KUZUHIA NA KUDHUBITI USHOGA INAWEZA KWA KUSHIRIKIANA NA SISI RAIA.
JIULIZE,WALE WALIOSEMEKANA KUWA KWENYE SEMINA YA USHOGA KULE SAME ULISHAAMBIWA ALIYEKUWA MRATIBU WA HIYO SEMINA YUKO WAPI NA NI NANI?

TUWALINDE WATOTO WETU SISI WENYEWE,HIYO SERIKALI NA WANASIASA USIWAPE DHAMANA.

JIULIZE NI KWA NINI TAMISEMI NDIO HUPENDEKEZA AFISA ELIMU WILAYA NA SIYO WIZARA YA ELIMU HALAFU UJE NA MAJIBU HAPA.
 
Hiki hasa ndio kiini cha haya mambo yote.
Hakuna wito ama ari aliyokuwa nayo mwalimu zaidi ya kujipatia kipato cha ziada.

Usiruhusu afya ya akili ya mwanao kufanywa mtaji.

Ikiwa mashine tu inapumzishwa, sembuse binadamu?
Mwanao anasoma shule gani? Ufaulu wake upoje? Kipindi cha likizo huwa unamwacha asisome chochote?
 
Umewaza vizuri lakini huwezi amini watoto wanajifunza na kufanya madudu mengi sana ikiwemo huo ushoga wakati wa likizo! Wazazi wengi tupo busy kutafuta shilingi! Mara nyingi hatuna muda na watoto! Baadhi yetu tunawaacha watoto mikononi mwa ma'house' girl na ma'house' boy! Na hapo ndipo wananajisiwa!

Wakati mwingine, wanasema, "an empty mind is the workshop of the devil'. Ukimuacha mtoto free pasipokuwa na kitu cha kufanya lazima ataitumia huo muda kufanya ya kwake! Na ninakuhakikishia hayatakuwa mazuri!
 
Nimefanya kazi kampuni binafsi ila ilipokua inafika muda wa likizo mwajiiri alikua ananibakiza kazini na kunilipa zaidi ya nilichokua kua napokea siku zingine. Shule zilizobakiza watoto kuendelea kujisomea asa madarasa ya mitihani nawapongeza sana.
 
Watoto wasome kupunzika ni baadae ukiona unalalamika ujue unataka mtoto wako awe panyaroodi kusoma si lazima basi mitaala ni ileile asome karibi na nyumbani
Wewe ni mpumbavu.
Wanafunzi wanapaswa soma kwa siku 194/365.
Waliotunga ratiba na mitaala hawajakosea
 
Hakika mkuu!
 
M mwanangu hatosoma likizo,labda tuition,ni bora afeli mtihani wa taifa nitaelewa kuliko kufaulu kwa kusoma shule mwaka mzima bila kupumzika,elimu siyo adhabu,kwanza sototaka kumuwekea targets kubwa div 2 au 3 intosha kwnda mbele!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…