Shule zangu 3 bora za serikali mkoa wa Dar es Salaam

I ingsaaidiaa sanaaa watoto wapale wana upwiruu balaaaa

Nakumbuka form five na six pugu wakaona hawa majamaa wanakufa na upwiruuuuuru wakatuleteaaa upilii jioni aisee tulipitaga naooo simchezoooo nakufaulu ukaongezekaa
 
Wanapenda mademu sana hawawezi faulu
vizazi vya kufaulu na mademu vilikuwa enzi zetu 1998 hawa ukiwakoroga kidogo mtihani wanaona picha za x
🤣🤣 kwahiyo enzi zenu mlikuwa mnatumia mbinu zipi?? Hadi mnamudu mademu na kufaulu
 
Wale wenzangu na mimi wa Round about, hatuna shida.
Shule yangu hapo ilishaweka rekodi ya kufunga kitasa kitaifa..
Anyway iliniwakilisha vzr,
Mimi mwenyewe nishawahi funga kitasa kitaifa..
Nika trend, Sema tuu sitaki makuu.
Jangwani
 
Dar sec ilikuwa kipindi hicho , siku hizi hakuna kitu.

Si Dar sec ,sio Benja wala Azania.

Zinabebwa na ukongwe wao tu wa majina na ni miongoni mwa shule zinazofanya vibaya sana miaka hii.
 
Dar sec ilikuwa kipindi hicho , siku hizi hakuna kitu.

Si Dar sec ,sio Benja wala Azania.

Zinabebwa na ukongwe wao tu wa majina na ni miongoni mwa shule zinazofanya vibaya sana miaka hii.
Mkuu Dar sec wanazidi kufanya vizuri siku hadi siku ni moja ya shule changa zisizo na majina
Pia sasa hivi wanaletewa watoto wenye average kuanzia B katika mtihani wa Taifa wa darasa la saba licha ya hivo shule inamaintain ufaulu wake

Fuatilia matokeo yao kwa kipindi hiki cha miaka mitano

Benjamin Mkapa sijaitaja
 
Maneno bila ushahidi mbona huleti matokeo yao ya Necta tuone
 
DSM Sec inapokea watoto waliofanya vizuri na Wala sio Average,average wanaenda shule za Kata,DSM Sec ni shule Teule
 
Kinachofanyika Dar es salaam sekondary ni kuwafukuza au kuwahamisha wanafunzi wanaofeli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…