Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wengine mpaka tunafamilia tumepitia mengi mkuu acha tu vitabu haviandikiki🤣🤣🤣🤣
Wanapenda mademu sana hawawezi fauluPugu ilikuwa zamani kwa sasa hamna kitu wamedrop sana
Dah azajangwa ilikua hatar sana pisi za jangwan zikiingia azania hapo.Azajangwa🤣
JangwaniWale wenzangu na mimi wa Round about, hatuna shida.
Shule yangu hapo ilishaweka rekodi ya kufunga kitasa kitaifa..
Anyway iliniwakilisha vzr,
Mimi mwenyewe nishawahi funga kitasa kitaifa..
Nika trend, Sema tuu sitaki makuu.
Dar sec ilikuwa kipindi hicho , siku hizi hakuna kitu.Habari zenu wadau wa jukwaa la Elimu
Siku ya leo nimeona niwaletee Shule 3 bora za serikali katika mkoa wa Dar es salaam.
Kama ndugu au mtoto wako ikitokea amepangiwa shule ya kata na unataka kumuhamisha nashauri uwapeleke shule hizi
Shule hizi zinaongoza kwa kufanya vizuri katika mitihani mbali mbali ya kitaifa na isiyo ya kitaifa
Shule hizi zimebarikiwa kuwa na walimu bora sana na wazoefu pia na mazingira mazurii ya kujisomeas
shule hizo ni
1.Dar es salaam secondary school
Hii inapatikana mtaa wa sikukuu na Gerezani inapakana na uwanja wa Jakaya M. Kikwete youth park kidongo chekundu
Ni moja kati ya shule ambazo ziko underrated kitaifa lakini in reality ni moja kati ya shule nzuri sanaaa
Ina masomo yote ya sanaa,biashara na sayansi
Shule ni ya kutwa na ni O level peke yake na haiimbwi sana midomoni mwa watu lakini hizo shule kongwe zote za Dar hakuna inayoipata hiyo shule
Kitaaluma wako vizuri pia unaweza fuatilia matokeo yao ya NECTA
Hongera kwa uongozi wa shule husika hongera kwa walimu pia
View attachment 3056959
ChaiKwa Dar ndo shule za serikali nzuri kupita zote zilokuwepo
Mkuu Dar sec wanazidi kufanya vizuri siku hadi siku ni moja ya shule changa zisizo na majinaDar sec ilikuwa kipindi hicho , siku hizi hakuna kitu.
Si Dar sec ,sio Benja wala Azania.
Zinabebwa na ukongwe wao tu wa majina na ni miongoni mwa shule zinazofanya vibaya sana miaka hii.
Maneno bila ushahidi mbona huleti matokeo yao ya Necta tuoneMkuu Dar sec wanazidi kufanya vizuri siku hadi siku ni moja ya shule changa zisizo na majina
Pia sasa hivi wanaletewa watoto wenye average kuanzia B katika mtihani wa Taifa wa darasa la saba licha ya hivo shule inamaintain ufaulu wake
Fuatilia matokeo yao kwa kipindi hiki cha miaka mitano
Benjamin Mkapa sijaitaja
DSM Sec inapokea watoto waliofanya vizuri na Wala sio Average,average wanaenda shule za Kata,DSM Sec ni shule TeuleMkuu Dar sec wanazidi kufanya vizuri siku hadi siku ni moja ya shule changa zisizo na majina
Pia sasa hivi wanaletewa watoto wenye average kuanzia B katika mtihani wa Taifa wa darasa la saba licha ya hivo shule inamaintain ufaulu wake
Fuatilia matokeo yao kwa kipindi hiki cha miaka mitano
Benjamin Mkapa sijaitaja
Ni mpya, ni shule ya Bweni ya wasichana, ipo Opposite na St Joseph UniversityDar girls ndo nimeisikia leo
Kinachofanyika Dar es salaam sekondary ni kuwafukuza au kuwahamisha wanafunzi wanaofeli.Mkuu Dar sec wanazidi kufanya vizuri siku hadi siku ni moja ya shule changa zisizo na majina
Pia sasa hivi wanaletewa watoto wenye average kuanzia B katika mtihani wa Taifa wa darasa la saba licha ya hivo shule inamaintain ufaulu wake
Fuatilia matokeo yao kwa kipin hiki cha miaka mitano
Benjamin Mkapa sijaitaja