Shule zilizoshika mkia matokeo ya Kidato cha Nne 2022

Hili sio Jambo la kulifumbia macho.
Wizara ya elimu kaeni na Tamisemi, takukuruu, viongozi wa dini na walimu.
Somebody katika hayo makundi Kuna kitu anajua Ila anaona aibu kusema hadharani.
 
Pwani, Dar na Zanzibar ndio tunao run hii nchi
Marais, mabilionea, wakubwa ndio wametokea hiyo mikoa

Mtatucheka ila ukweli ndio huo, nyie fauluni kwenye mashule sisi tunafaulu kwenye maisha
Umesahau mnajua na kuchambia maji yani kuosha matako kwa maji hili ni la muhimu na la kujivunia sana katika yote kuwazidi watu wa bara,πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Pwani, Dar na Zanzibar ndio tunao run hii nchi
Marais, mabilionea, wakubwa ndio wametokea hiyo mikoa

Mtatucheka ila ukweli ndio huo, nyie fauluni kwenye mashule sisi tunafaulu kwenye maisha
Ukweli mtupu
 
Hata mabasi ya Usafiri Bara na Visiwani 90% yanamilikiwa na Waarabu wa Pemba na Pwani
 
Dar es salaam
sehemu yenye kila kitu ila watoto vilaza.🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…