johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
PweintiView attachment 2503370
Namba 5184 S4047 wanashindanishwa sambamba na wanaosikia
By the way hilo jina ni kama linaakisi vitu kwanini lisitafutwe jina jingine lenye kuwafariji hao wanafunzi,
Fikiria shule inaitwa Buguruni Moto Chini unategemea niniDar es salaam
sehemu yenye kila kitu ila watoto vilaza.🤣🤣
Inakula kwao sasaWabishi sana jamaa. Hawasikii
Hii ya Kibuyuni, wanafunzi na wenyewe wanakuwa vibuyu tu,Fikiria shule inaitwa Buguruni Moto Chini unategemea nini
Nyingine inaitwa Kibuyuni
😂🤣Hii ya Kibuyuni, wanafunzi na wenyewe wanakuwa vibuyu tu,
Tatizo kubwa litakuwa ni wazazi kwani Pemba utakuta mzazi anamlazimisha mtoto akariri kiarab ila amuhimizi kusoma vitu vya shuleniMitoto yote ya Dar mipanya road huko pemba ndio mivivu wao wape tu kitabu cha kiarabu wakariri aya wasizozielewa.
Na LindiPwani, pemba, Daslam
Naona Tanga na Mtwara angalau wamejikaza
😂😂😂😂😂TeamMnyaazi ndio nani?
😂😂😂😂Mkuu huwafahamu😂?
Pwani, Dar na Zanzibar ndio tunao run hii nchi
Marais, mabilionea, wakubwa ndio wametokea hiyo mikoa
Uchumi wa nchi hii ungekuwa ICU kama sio marais na wafanyabishara kutoka mikoa ya Pwani
Kuanzia Mwinyi aliyefungua nchi iliyokuwa imekabwa na ujamaa wa Nyerere
Mkapa aliyefanya ubinafsishaji wa makampuni yaloyokuwa yanaitia hasara serikali na kuleta uwekezaji mkubwa nchini
Kikwete aliyezidi kuifungua nchi, kukuza uhuru uchumi na watanzania wengi kuwa na furaha
Samia ambaye hadi wapinzani wamekiri anaupiga mwingi
Usishau akina Bakhressa, Turky na top 50 yote ya matajiri wa Tanzania ni asili ya ukanda wa Pwani
Mtatucheka ila ukweli ndio huo, nyie fauluni kwenye mashule sisi tunafaulu kwenye maisha
Huyu sio wa Pwani?Mkapa aliyefanya ubinafsishaji wa makampuni yaloyokuwa yanaitia hasara serikali na kuleta uwekezaji mkubwa nchini
Pemba huwa tuna "shughuli" zetu nyingine, mambo ya shule sio sana...Pwani, pemba, Daslam
Naona Tanga na Mtwara angalau wamejikaza
Mtwara ni Pwani, Pwani ya Kusini, Tanga ni Pwani ya KaskaziniHuyu sio wa Pwani?
Wameshika mkia lakiniDini ya haki
Kucrame ‘kitabu cha mnyaazi’Pemba huwa tuna "shughuli" zetu nyingine, mambo ya shule sio sana...
Wewe ni mfia dini? Ndio maana huna akiliPwani, Dar na Zanzibar ndio tunao run hii nchi
Marais, mabilionea, wakubwa ndio wametokea hiyo mikoa
Uchumi wa nchi hii ungekuwa ICU kama sio marais na wafanyabishara kutoka mikoa ya Pwani
Kuanzia Mwinyi aliyefungua nchi iliyokuwa imekabwa na ujamaa wa Nyerere
Mkapa aliyefanya ubinafsishaji wa makampuni yaloyokuwa yanaitia hasara serikali na kuleta uwekezaji mkubwa nchini
Kikwete aliyezidi kuifungua nchi, kukuza uhuru uchumi na watanzania wengi kuwa na furaha
Samia ambaye hadi wapinzani wamekiri anaupiga mwingi
Usishau akina Bakhressa, Turky na top 50 yote ya matajiri wa Tanzania ni asili ya ukanda wa Pwani
Mtatucheka ila ukweli ndio huo, nyie fauluni kwenye mashule sisi tunafaulu kwenye maisha
Ukienda Arusha huko,walimu wa SoMo moja wamezidi idadi inayohitajika,pwani walimu hakunaUio Jambo la kulifumbia macho.k
Wizara ya elimu kaeni na Tamisemi, takukuruu, viongozi wa dini na walimu.
Somebody katika hayo makundi Kuna kitu anajua Ila anaona aibu kusema hadharani.
Ahueni Tanga hatupo.Hii ni list ya shule zilizoshika mkia kwenye matokeo ya kidato cha nne mwaka 2022.
Ukiangalia vizuri kuna kitu kiko very common😃
View attachment 2503295
List imetawaliwa na #TeamMnyaazi
Source: Malisa GJ instagram account