Shule zilizoshika mkia matokeo ya Kidato cha Nne 2022

Sehem zote wanaishi dini mchanganyiko,na wasio na dini.Tumia maarifa
We nae acha kujifanya una akili sana. Hilo liko obvious. Kwan ukiambiwa nchi za kiislamu maana yake wote ni waislamu? Au unahisi wote walio vatican ni roman catholic? Acha ujinga. Stop pointing the obvious
 
Mbona sijaona aliponyesha udini? Kuna dini yoyote hapo imetajwa?
 
Niliwahi kwenda zenj, kule kila mtu anaamini bakhressa ni ndugu yake. Alafu hao watu wenyewe sasa hata kula tu tabu
 
Mbona umemsahau jiwe?
S
Hivi Kati ya Geita ambako mtoto wa miaka 15 unakuta kaolewa na Ana watoto 2 na Zanzibar ni wapi Kuna afadhali ya maisha? Au kule Mara mabinti wanafariki kwa kutokwa damu nyingi wakati wanapokeketwa ?
Au Longido wanapokunywa maji kwenye shimo moja na ng'ombe
Hebu kaangalie viwango vya umasikini Kila mkoa ujionee
 
Ukuta Hauna maana yoyote kwenye dini yangu

Ila wewe ibada ya jiwe ukiwa huna nguo za ndani ni muhimu na inamaana kubwa kwenye dini yako
Hata kitabu si kinatokea huko ule ndo ukristo ..wewe unafuata wazungu wanaomsapot ushoga😂
 
Hata kitabu si kinatokea huko ule ndo ukristo ..wewe unafuata wazungu wanaomsapot ushoga😂
Ukuta Hauna maana kwenye Imani

Nimekuuliza swali ukiwa kwenye ibada ya jiwe unavaaje ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…