Shule zilizoshika mkia matokeo ya Kidato cha Nne 2022

Shule zilizoshika mkia matokeo ya Kidato cha Nne 2022

niquetamere

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2023
Posts
532
Reaction score
1,008
Hii ni list ya shule zilizoshika mkia kwenye matokeo ya kidato cha nne mwaka 2022.

Ukiangalia vizuri kuna kitu kiko very common😃

72F79510-6C06-4AE1-8A16-2E5119C47D8B.jpeg

List imetawaliwa na #TeamMnyaazi

Source: Malisa GJ instagram account
 
Hii ni list ya shule zilizoshika mkia kwenye matokeo ya kidato cha nne mwaka 2022.

Ukiangalia vizuri kuna kitu kiko very common😃


View attachment 2503295
List imetawaliwa na #TeamMnyaazi

Source: Malisa GJ instagram account
Wapemba na ndugu zenu watu wa Dar na Pwani, mnaona madhara ya kutopenda kusoma na kujikariria vitu visivyo na faida maishani mwenu?
 
Pwani, Dar na Zanzibar ndio wanao run hii nchi
Marais, mabilionea, wakubwa ndio wametokea hiyo mikoa

Uchumi wa nchi hii ungekuwa ICU kama sio marais na wafanyabishara kutoka mikoa ya Pwani
Kuanzia Mwinyi aliyefungua nchi iliyokuwa imekabwa na ujamaa wa Nyerere

Mkapa aliyefanya ubinafsishaji wa makampuni yaloyokuwa yanaitia hasara serikali na kuleta uwekezaji mkubwa nchini

Kikwete aliyezidi kuifungua nchi, kukuza uhuru uchumi na watanzania wengi kuwa na furaha

Samia ambaye hadi wapinzani wamekiri anaupiga mwingi

Usishau akina Bakhressa, Turky na top 50 yote ya matajiri wa Tanzania ni asili ya ukanda wa Pwani

Mnawacheka ila ukweli ndio huo, nyie fauluni kwenye mashule wao wanafaulu kwenye maisha
 
Back
Top Bottom