Shunie kuanzia leo jiite rasmi Mrs. GENTAMYCINE kwani umeuteka moyo wangu kunakotukuka

Khaaaa mkuu wengine hawajui kuomba shauri yako we baki hivyo hivyo na mambo zako za mwaka 47 me mwenyewe siwezi kuomba hela mwanaume unatakiwa ujiongeze
Kwanza kuomba kipaji daah. Kwanini nikuombe wakati unajua we bwana angu. A
 
Nishatuma pm hujaona ina maana. We hubby bwana. Si unajua neno shemeji limenikaa sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…