Kweli mkuu hizo siku chache ambazo hatujaonana ni kama miezi miwili aisee.Mie sijambo kabisa sijui wewe. Hatujaonana siku mbili tatu hivi kulikoni.
Kwema huko?
Hahahaaa. Ndio nyumbani huko. [emoji85]Kumbe watoka yalikozaliwa mapenzi weye?
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] Tutabeba tu. Maana hakuna namnaNa makucha yake asiye na baby abebe jiwe
Hahahaaa. Eti kama miezi miwili lol.Kweli mkuu hizo siku chache ambazo hatujaonana ni kama miezi miwili aisee.
Mimi sijambo kabisa naomba hofu ikae mbali nawe mpendwa wangu.
Teh teh sasa mbona unaona aibu mamii?Hahahaaa. Ndio nyumbani huko. [emoji85]
Nafurahi kufahamu ya kuwa umzima bukheri wa afya.Hahahaaa. Eti kama miezi miwili lol.
Mie sijambo pia namshukuru Mwenyezi Mungu.
Kabisa yaani.Nafurahi kufahamu ya kuwa umzima bukheri wa afya.
Mungu aendelee kutulinda mkuu.
Michi yu tuu babe shemniko poa ile kinomaaaa...mich youuu balaa...hivi upo??
Salama mkuu, hakuna asievutiwa na kufurahishwa na harufu nzurii ya Waridi.Vipi mkuu, au umepokonywa tonge???
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jaman jaman kama umetokea kumkubali mdada fulani humu anza kumtumia muamala ulizia namba ya wakala wa mpesa jiran yake hapo alipo tuma kisha dondosha gazeti refu kama hili.
Haya genta jiongeze tuma hata vocha kwa shunie maana uzi unakimbia ila shosti angu MB zinamuishia bure bure wakati kuna mtu anamkubali na kuota ndoto kubwa kubwa.
siku hizi nimekuwa mtoro kwenye ule uzi wa kupeana likes kweli..wasalimie lakini[emoji22]Michi yu tuu babe shem
Nipo
[emoji4][emoji4][emoji4][emoji23] [emoji23] [emoji23] nakuona unaitendea haki hiyo dawa iitwayo Carbamazepine, u relieve my moods .
cc. Carbamazepine
Nitaomba mrejesho wa google mkuuMkuu, hivi kumbe Carbamazepine ni dawa? Tena ya ku-relieve moods? Nilikuwa sijui. Asante kwa kunifungua macho. Ngoja niende Google...[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️
Uje kututembelea bhana.siku hizi nimekuwa mtoro kwenye ule uzi wa kupeana likes kweli..wasalimie lakini[emoji22]
3 some.mara paaap kila m1 anataka kukutoa out the same time the same day
Mama d mimi napitaa tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka sana Genta kwa hiyo ule uzi uliokeshesha watu usiku wa manane ulikuwa unanihusu jaman shunie mm kupendwa na Genta [emoji4][emoji4] asante kwa kunipenda si unajua vile nilivyo shabiki wako toka sijawa member jf nafatilia thread zako na baadhi ya michango yako
Kupendwa na Genta jf na thread juu kukufungulia si jambo la mchezo mchezo [emoji7][emoji7] nakupenda pia sasa utakubali kuwa mume wa pili jaman[emoji39][emoji85][emoji85]