Shunie kuanzia leo jiite rasmi Mrs. GENTAMYCINE kwani umeuteka moyo wangu kunakotukuka

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unataka upigwe za uso mkuu?
 
Anapenda MKURYA au anampenda GENTA.

WAKURYA wapo wengi yeye atangaze nia atawapata.
 
Mi nampendaga Victorie, kitu alichonijibu sina hamu
 
Ahaaa.....hv kuna mdada yoyote member wa jf ambaye yuko dodoma...mimi nimehamia dodoma natafuta mdada wa jf ili niweze kumla...maana dem wangu yuko dar...sasa nikiwa huku natafuta mtoto wa kumla
 
Hahaha haki ya Mungu nimejikuta nacheka peke yangu hadi machozi yamenitoka.
Sio kwa mtongozo huu.
 
Ahaaa.....hv kuna mdada yoyote member wa jf ambaye yuko dodoma...mimi nimehamia dodoma natafuta mdada wa jf ili niweze kumla...maana dem wangu yuko dar...sasa nikiwa huku natafuta mtoto wa kumla

Huu ni mchango wako katika huu uzi wangu au umeamua kuanzisha uzi ndani ya uzi kwakuwa labda umeona ukiuanzishia / ukiupitishia kwenye uzi wa Super Brand ID ya GENTAMYCINE utafanikiwa haraka kama siyo upesi?
 
We huwajui wa Tz kwa roho mbaya...hapo kakusudia amfukuze Shunie uonekane na ndo lengo lako.
Na huyu atakua muhaya kama mnyaturu.
 
Ila huenda asimpige. Sababu sie watu wa Tanga na vipigo tuko tofauti.

Na itabidi amfahamishe kwamba siku zote mwanamke hapigwi na fimbo. [emoji85]
Hupigwa kwa pindo la kanga au kitenge.[emoji324]
 
[emoji12] fanya hata kama unang'ata vidole bhasi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…