GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
-
- #41
Shunie una mkosi gani huo? Unapendwa na jamaa zombi kama hili??
Lyrics matata sana hizi....unamfaa sana bwana Gent [emoji1][emoji1]Oceans are apart day after day
And I slowly go insane
I hear your voice on the line
But it doesn't stop the pain
If I see you next to never
how can we say forever...
Wherever you go
Whatever you do
I will be right here waiting for you
Wherever it takes
Or how my heart breaks
I will be right here waiting for youuuuuuuu[emoji1][emoji1]
Penzi ni kikohozi kulificha huweziiDuuu, mkuu umefanya siri leo umeona ufunguke hadharani[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] salute mkuu
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Unauliza matako Bafuni?
Hongera sana mkuu GENTAMYCINE.Nakupongeza kwa kufunguka na kuthubutu pia.Uwe labda umeshawahi sijui Kutongozwa humu au huko barabarani au hata kuwa na Mahusiano na Watu wenye Idadi kama Mabehewa yote ya Treni ya Bara au hata kama una mapungufu yako yoyote au hata kama Wewe ni mchawi / kigagula ila leo nikuambie tu rasmi kuwa katika Members wa JamiiForums ambao natamani sana siku moja Mimi na Yeye tusimame Madhabahuni tukiwa tunafunga Ndoa yetu ni Wewe uitwae Shunie.
Nina sifa moja kubwa kama pia si zawadi niliyopewa na Mwenyezi Mungu ya kujua sana kuchagua vitu vizuri, sahihi na makini na kamwe sijawahi kukosea hivyo nakuomba popote pale ulipo kuanzia sasa tena ikibidi ringa na tamba kabisa huku ukijiita Mrs. GENTAMYCINE kwani Moyo wangu Kwako umeshakufa Kitambo hivyo Kazi Kwako Wewe tu Kuuzika.
Bahati nzuri sijawahi Kumtongoza Mwanamke yoyote humu Jamvini tokea nijiunge rasmi hivyo asikutishe ' Kinyankera ' yoyote kuwa sijui nimeshawahi kumtokea au kumbandua / kumbaioloji ila Wewe ndiyo wa Kwanza hivyo jiamini huku ukitembea kifua mbele kuwa Wewe sasa ndiyo Mrs. Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer.
I love you so much Shunie mwaaaaaaaahhhhhhhhhh.....pokea rasmi hilo busu langu la thamani kubwa lililojaa ' mahaba ' ya Kimataifa.
Penzi ni Kikohozi na kulificha siwezi.
Nawasilisha.
Duu!! Maana ya hayo majina ni nini!?Mungu Awabariki Mpate Watoto Mapacha 2
Grory & Gradness
Hahahahahhaah wananuna kisa umependaTena wako wengi mno na najua hivi leo nilivyomtaja rasmi Shunie yaani wamenuna huku midomo yao wakiwa wameirefusha kutoka Tegeta Nyuki hadi Mbagala Kizuiani.
Huwezi kwenda huko without such stuff.Matako na bafu vinahusiana vipi??
Heshima kwa shemeji Shunie Hongera kwa kupata dume kutoka mara...Namkaribisha rasmi Mkoani Mara ( Musoma ), Lindi na Gisenyi nchini Rwanda. Na kuanzia leo nawaomba ' Poti ' zangu wote kutoka Mkoani Mara muwe mnamuheshimu Shemeji yenu Shunie na mumpe ushirikiano wenu wote mkiwa nae humu. Najipanga kufanya Sherehe kubwa kidogo ambayo inaweza ikatikisa si tu Tanzania na Rwanda bali hata na dunia nzima.
Na Harusi yangu au Mahusiano yangu na Shunie yasipofanikiwa hawa Watu watanikoma kwakweli kwani nawajua walivyo na husuda:
Leo Mwanamume nimesema ukweli japo najua watakaonuna ni lukuki / wengi.
- Wahaya ( Kagera )
- Waha ( Kigoma )
- Wanyiramba na Wanyaturu ( Singida )
- Warangi ( Dodoma )
chief habar yako nduguLyrics matata sana hizi....unamfaa sana bwana Gent [emoji1][emoji1]
Nimekumbuka sana BANJA, inatabia ya kuforce ukitaka uizuie isitoke inalazimisha kutoka kwa nguvu na kwa sauti kubwa mithili ya barutiPenzi ni kikohozi kulificha huwezii
Gladness not GradnessMungu Awabariki Mpate Watoto Mapacha 2
Grory & Gradness
Ushauri mzuri asee, naamini hana lengo hilo tofauti na bwana GuDume mzee wa totoz [emoji1][emoji1][emoji1][emoji125][emoji125][emoji125]Hongera sana mkuu GENTAMYCINE.Nakupongeza kwa kufunguka na kuthubutu pia.
Nakuombea ufanikiwe kwa dhamira ya kuingia madhabahuni na shemeji yetu mtarajiwa "SHUNIE" na siyo ku-sex tu(hapo sipo).
Big Up.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Shunie una mkosi gani huo? Unapendwa na jamaa zombi kama hili??