The Monk
Platinum Member
- Oct 12, 2012
- 20,242
- 45,930
@Samaritan kumbe nafasi yako bado ipo shemeji.
Bora nipange foleni kwako.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
@Samaritan kumbe nafasi yako bado ipo shemeji.
Hata mi siyo miongoni mwaoAsantee mzee wa chura
Nafasi ipo yeye hataki huko kwako si atakufwa kabla ya siku zake@Samaritan kumbe nafasi yako bado ipo shemeji.
Mbona we upo unajitoa mwenyewe tu jaman na talaka juu ukanipaKwa hiyo na mimi nirudishe majeshi ama?
Huko utakufwa ana foleni mpaka kaisahauBora nipange foleni kwako.
Mpe hela yaan we mpe helaAsee kuna MTU nami natamani awe Wangu,nilijitahidi kumvuta karibu,ila dah nimechezea kibuti
kwangu kidume cha hajaKurudi wapi wewe
[emoji23] [emoji23] [emoji23] umeipenda (Carbamazepine- mood reliever) ?Usimtishe mkuu, kitu kiko murua kabisa hicho[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwanini nimuue wakati nitampenda. Halafu niko single wakunyumba utanikosesha mchumba bure wakati we umemuachaNafasi ipo yeye hataki huko kwako si atakufwa kabla ya siku zake
Mbali na kuipenda naijua pia kiundani[emoji23] [emoji23] [emoji23] umeipenda (Carbamazepine- mood reliever) ?
mara paaap kila m1 anataka kukutoa out the same time the same dayHakuna shida wakikubaliana tu napanga zamu
Huko utakufwa ana foleni mpaka kaisahau
Ni kweli mkuuPenzi ni kikohozi kulificha huwezii
We tafuta wa size yakokwangu kidume cha haja
Upo single na ile list yakoKwanini nimuue wakati nitampenda. Halafu niko single wakunyumba utanikosesha mchumba bure wakati we umemuacha
PambanaAsee kuna MTU nami natamani awe Wangu,nilijitahidi kumvuta karibu,ila dah nimechezea kibuti
Yaan genta akubali yeye kuwa huku kuna wenzie je anakubali kushareBora huku tupo watatu tu...acha nitafakari kwanza. Kwani umeshakubali ombi lakini?