Shutuma zote dhidi ya SAUT Mwanza ni za Uwongo mtupu mpeleke Mwanao huko akawe Genius na Thinker kwa Tanzania

Ni kweli hicho chuo ni kiboko
 
Ni kweli hicho chuo ni kiboko
Sisomagi Vyuo Vikuu vya Kipumbavu Kipumbavu na sikuanzia hapo SAUT Mwanza ( Genius based University in Tanzania ), bali nilianzia pia kusoma kidogo ( Kozi Moja hivi ) Chuo Kikuu cha Cape Town ( 2004 ) nchini Afrika Kusini ambacho nacho Kidunia kinasifika na kinajulikana ni miongoni mwa Vyuo Vikuu Bora na vinavyotoa 'Intellectuals' watupu tu.
 
Pale hakuna chuo hiyo hela waliokupa kwa ajili ya promo warudishie
 
Tulijenge jiji la Mungu.
 
Ati matriculation ile mitihani ya mukriple choices?. Kiingereza cha darasa la saba. Haha hahaaaa!. Nenda SAUT ukutane na basic English course mwaka wa kwanza na French mwaka wa kwanza na pili ndio uje hapa ujiite mwanaume.
Aisee hiyo basic English nilishangaa sana pale tulipoambiwa tutasoma hiyo course mwaka mzima, ila leo hii nimegundua kwa nini Warumi waliweka hii course, walimu walikuwa vichwa kwelikweli.
 
Tulijenge jiji la Mungu.
Yeah Chief. Mwanamume na mwana JamiiForums Maarufu na Kiboko ya Wapumbavu wote GENTAMYCINE nimesoma hapo na ninajivunia kupata Taaluma ya uhakika na iliyonijenga vyema Kiakili na Kifikra kutoka hapo SAUT Mwanza ( 2006 - 2009 ) nikiwa na Rafiki yangu mkubwa Marehemu Haonga Lutengano ( R.I.P ) TBC Senior Journalist.
 
Kuna mdada nafanya nae kazi amesoma SAUT..ana vyeti vya olevel zaidi ya 3..na vyote div 4 mbovu...lakini ana bachelor kutoka SAUT ...ana uwezo mdogo Sana wa kufikiri..
Sasa Huwa najiuliza maswali mengi Sana kuhusu SAUT..
Kwann serikali inakiachia kioperate wakati kinatoa incompetent candidate?
...nadhani nawengine humu jf mtatoa ushuhuda
 
Magu alikiamini sana chuo cha Saut,kuna sana usalama wengi sana alikua nao kutoka Saut,hata yule jamaa alikua anasimama pembeni yake ni zao la Saut,pia kuna staff wengi sana serikalini ni zao la Saut

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Kwa sasa nadhani kikubwa ni kupitia chuo chochote,kiwe cha kata au chochote basi elimu uliopata huko ikusaidie kuleta ugali mezani na kama ukipata nafasi basi uweze kusaidia taifa kwa nafasi yako.....
 
Kila chuo ni kizuri kwenye baadhi ya kozi Mfano sheria chuo fulani, ualimu chuo fulani,hakuna chuo ambacho sio bora maana vyuo ambavyo sio bora viloshagafungiwa ! Lakini kubishana ubora wa chuo ni dhahiri kwamba Elimu yetu bado haijatukomaza kuleta mabadiliko chanya kwani hakuna ukweli kwamba kusema kwamba SAUT ni chuo bora ina maana kila.product ya pale itakua bora! mtu anaweza kusoma Jordan akawa bora kushinda aliyesoma Udsm.Infact kila chuo ni bora hakuna chuo sijui cha kata wala sijui.chuo cha mageniuse !

Sent from my TECNO BD4j using JamiiForums mobile app
 
Vijana wa sasa ni tatizo mkuu. Sikatai kuwa kuna mapungufu kidogo ya kimfumo hapo lakini matatizo ya kitaaluma na kinidhamu vijana ndio wa kulaumiwa sana.
Nimepita hapo ila inafikia wakati una tatizo wakitaka kukusaidia husaidiki. Mtu unakuta hana taarifa za kila siku, hapitii notice board, doja, hafuatilii issue za kichuo kwa watu husika. Nilikuwa na matatizo fulani lakini kutokana na mwenendo wangu mzuri niligraduate vizur.
Sup nilipata sababu ya uzembe wangu mwenyewe.
Tatizo pale kubwa ni IT.
 
Kuna mtu alidisco kisa uzembe mwaka jana. Huyo mtu alikuwa na tatizo na lecture alituma taarifa kwa viongozi, isitoshe kila akija class akawa anamtafuta "jamani nitafutieni Rhoda yuko wapi, Rhoda kama uko huku sioni maksi zako za course work" mtu hatokei. Nakumbuka tuko m13 siku ya kipindi cha mwisho kufunga semester ya mwaka wa mwisho lecture huyu akiwa ndio anaanza kipindi alisikitika sana akasema huyu niliemtafuta ndio mwanafunzi wa kwanza wa somo langu kudisco.

Huo ni mfano tu.
Sikatai kila chuo kuna rushwa za ngono, uonevu lakini sio kila mwalimu atakuonea. Unakuta mtu mmoja ana kosa linlofanana kwa kila mwalimu. Huyu mtu anasaidiakaje.
Wanachuo wengi tunakosa time management kabisa. Mfani mimi nilipata sup kisa nilichelewa darasani vipindi viwili so nikakosa quiz za maksi 10. Hapo nilikuwa second year.
SAUT waboreshe mazingira na hali za walimu watafundisha vyema.
 
Mkague vizuri Kasoma SAUTI au SAUT Mwanza niliyosoma Mimi Kiboko yao GENTAMYCINE sawa?
 
Aisee hiyo basic English nilishangaa sana pale tulipoambiwa tutasoma hiyo course mwaka mzima, ila leo hii nimegundua kwa nini Warumi waliweka hii course, walimu walikuwa vichwa kwelikweli.
Hiyo course ni imenijenga sana. Dah i miss mwalimu Katigula na Kabalimu
 
Wasikuchukulie poa mzee baba

Hahaha

Hebu waweke cv yako uwakate ubishi

Naona wapinzani unao wengi humu

Ova
 
Kwahiyo ww una ona ni Sifa kuchafua Chuo chako? Uki fuatiliwa hata Class huingiii. Kazi ni mademu tu.
Achana na huyo Mental Case Mkuu ana Chuki zake tu Genius based University SAUT Mwanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…