cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Inategemea na course lakini,Hata UDSM wanakwenda wenye division II pia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inategemea na course lakini,Hata UDSM wanakwenda wenye division II pia.
Ni kweli hicho chuo ni kibokoNinachojua tu ni kwamba Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustine ( SAUT Mwanza ) nilikosoma Mwanamume ukiwa.......
1. Mpumbavu wa Kurithishwa huwezi Kusoma
2. Ukiwa Mvivu na Lege Lege huwezi Kufaulu
3. Ukiwa huna bidii Kitakushinda na utakimbilia Mitandaoni 'Kupopomomika' tu Kutwa
4. Ukiwa Muhuni utaishia kuwa Mwendawazimu kwani pale 24/7 kuna Uwepo wa Mungu na Kristo
5. Ukiwa hujatokea katika Koo zenye Watu wenye Akili kamwe utakichukia tu
6. Ukiwa na Uswahili mwingi na Maisha yako ni ya hovvyo hovyo huwezi kuendana nacho
7. Ukiwa Mvuta Bangi au Mlevi au Mbwia Unga ni lazima hutokipenda tu
Tanzania nzima na nashukuru hata Wakenya, Waganda na Wanyarwanda bila kusahau Wazungu wanafurika SAUT Mwanza na wameshakiri kuwa ndiko sehemu pekee ya Kuwatoa Watu Mahiri na Werevu katika Tasnia zote.
Ukiona hadi GENTAMYCINE amesoma SAUT na anakisifia hivi jua ya kwamba najua ni Kitu gani nimekipata pale. Hakuna Chuo ambacho kama kweli Mtu au Mwanao akiwa anatafuta Taaluma ya Kweli na akiwa hataki tu kuishia kuwa Mweledi bali pia anataka kuwa Rational Thinker basi sehemu pekee ni SAUT Mwanza.
Sasa kama wengine tuna 'Degree' zetu, ila wenye 'Doctorates' zao achilia mbali Masters zao wanatuogopa kwa kujua Kufikiri na Kujenga Hoja kwanini msiamini kuwa SAUT Mwanza ndiyo Kiboko ya Mjini kwa sasa Kitaaluma? Nimeshaitwa sana Profesa na Dakta ( tena hapa hapa JamiiForums ) yote ni Matunda ya SAUT hayo.
Sisomagi Vyuo Vikuu vya Kipumbavu Kipumbavu na sikuanzia hapo SAUT Mwanza ( Genius based University in Tanzania ), bali nilianzia pia kusoma kidogo ( Kozi Moja hivi ) Chuo Kikuu cha Cape Town ( 2004 ) nchini Afrika Kusini ambacho nacho Kidunia kinasifika na kinajulikana ni miongoni mwa Vyuo Vikuu Bora na vinavyotoa 'Intellectuals' watupu tu.Ni kweli hicho chuo ni kiboko
Tulijenge jiji la Mungu.Ninachojua tu ni kwamba Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustine ( SAUT Mwanza ) nilikosoma Mwanamume ukiwa.......
1. Mpumbavu wa Kurithishwa huwezi Kusoma
2. Ukiwa Mvivu na Lege Lege huwezi Kufaulu
3. Ukiwa huna bidii Kitakushinda na utakimbilia Mitandaoni 'Kupopomomika' tu Kutwa
4. Ukiwa Muhuni utaishia kuwa Mwendawazimu kwani pale 24/7 kuna Uwepo wa Mungu na Kristo
5. Ukiwa hujatokea katika Koo zenye Watu wenye Akili kamwe utakichukia tu
6. Ukiwa na Uswahili mwingi na Maisha yako ni ya hovvyo hovyo huwezi kuendana nacho
7. Ukiwa Mvuta Bangi au Mlevi au Mbwia Unga ni lazima hutokipenda tu
Tanzania nzima na nashukuru hata Wakenya, Waganda na Wanyarwanda bila kusahau Wazungu wanafurika SAUT Mwanza na wameshakiri kuwa ndiko sehemu pekee ya Kuwatoa Watu Mahiri na Werevu katika Tasnia zote.
Ukiona hadi GENTAMYCINE amesoma SAUT na anakisifia hivi jua ya kwamba najua ni Kitu gani nimekipata pale. Hakuna Chuo ambacho kama kweli Mtu au Mwanao akiwa anatafuta Taaluma ya Kweli na akiwa hataki tu kuishia kuwa Mweledi bali pia anataka kuwa Rational Thinker basi sehemu pekee ni SAUT Mwanza.
Sasa kama wengine tuna 'Degree' zetu, ila wenye 'Doctorates' zao achilia mbali Masters zao wanatuogopa kwa kujua Kufikiri na Kujenga Hoja kwanini msiamini kuwa SAUT Mwanza ndiyo Kiboko ya Mjini kwa sasa Kitaaluma? Nimeshaitwa sana Profesa na Dakta ( tena hapa hapa JamiiForums ) yote ni Matunda ya SAUT hayo.
Aisee hiyo basic English nilishangaa sana pale tulipoambiwa tutasoma hiyo course mwaka mzima, ila leo hii nimegundua kwa nini Warumi waliweka hii course, walimu walikuwa vichwa kwelikweli.Ati matriculation ile mitihani ya mukriple choices?. Kiingereza cha darasa la saba. Haha hahaaaa!. Nenda SAUT ukutane na basic English course mwaka wa kwanza na French mwaka wa kwanza na pili ndio uje hapa ujiite mwanaume.
Yeah Chief. Mwanamume na mwana JamiiForums Maarufu na Kiboko ya Wapumbavu wote GENTAMYCINE nimesoma hapo na ninajivunia kupata Taaluma ya uhakika na iliyonijenga vyema Kiakili na Kifikra kutoka hapo SAUT Mwanza ( 2006 - 2009 ) nikiwa na Rafiki yangu mkubwa Marehemu Haonga Lutengano ( R.I.P ) TBC Senior Journalist.Tulijenge jiji la Mungu.
Kuna mdada nafanya nae kazi amesoma SAUT..ana vyeti vya olevel zaidi ya 3..na vyote div 4 mbovu...lakini ana bachelor kutoka SAUT ...ana uwezo mdogo Sana wa kufikiri..Ninachojua tu ni kwamba Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustine ( SAUT Mwanza ) nilikosoma Mwanamume ukiwa.......
1. Mpumbavu wa Kurithishwa huwezi Kusoma
2. Ukiwa Mvivu na Lege Lege huwezi Kufaulu
3. Ukiwa huna bidii Kitakushinda na utakimbilia Mitandaoni 'Kupopomomika' tu Kutwa
4. Ukiwa Muhuni utaishia kuwa Mwendawazimu kwani pale 24/7 kuna Uwepo wa Mungu na Kristo
5. Ukiwa hujatokea katika Koo zenye Watu wenye Akili kamwe utakichukia tu
6. Ukiwa na Uswahili mwingi na Maisha yako ni ya hovvyo hovyo huwezi kuendana nacho
7. Ukiwa Mvuta Bangi au Mlevi au Mbwia Unga ni lazima hutokipenda tu
Tanzania nzima na nashukuru hata Wakenya, Waganda na Wanyarwanda bila kusahau Wazungu wanafurika SAUT Mwanza na wameshakiri kuwa ndiko sehemu pekee ya Kuwatoa Watu Mahiri na Werevu katika Tasnia zote.
Ukiona hadi GENTAMYCINE amesoma SAUT na anakisifia hivi jua ya kwamba najua ni Kitu gani nimekipata pale. Hakuna Chuo ambacho kama kweli Mtu au Mwanao akiwa anatafuta Taaluma ya Kweli na akiwa hataki tu kuishia kuwa Mweledi bali pia anataka kuwa Rational Thinker basi sehemu pekee ni SAUT Mwanza.
Sasa kama wengine tuna 'Degree' zetu, ila wenye 'Doctorates' zao achilia mbali Masters zao wanatuogopa kwa kujua Kufikiri na Kujenga Hoja kwanini msiamini kuwa SAUT Mwanza ndiyo Kiboko ya Mjini kwa sasa Kitaaluma? Nimeshaitwa sana Profesa na Dakta ( tena hapa hapa JamiiForums ) yote ni Matunda ya SAUT hayo.
Kwa sasa nadhani kikubwa ni kupitia chuo chochote,kiwe cha kata au chochote basi elimu uliopata huko ikusaidie kuleta ugali mezani na kama ukipata nafasi basi uweze kusaidia taifa kwa nafasi yako.....2008 nilipata Multiple admission ya vyuo vikuu. SUA na hivyo vyuo vya kata vyenye wanafunzi wenye low iq na wakufunzi vilaza tena wengine tulisoma nao Nikaenda SUA kupiga BVM nikaacha UDOM, St. John University tena nilipata course za "medical" nikaona naenda jishusha uwezo wangu wa kufikiria.
Mtu mwenye akili timamu na kama amefaulu vizuri hawezi kwenda soma SAUT, St. John, MUM, sijui RUCU au Mkwawa au Tumaini wala UDOM. Huko ni kwa vilaza, vyuo Tanzania ni viwili tu UDSM na SUA.
Kwahiyo ww una ona ni Sifa kuchafua Chuo chako? Uki fuatiliwa hata Class huingiii. Kazi ni mademu tu.Mkuu hilo kwenye Uzi wangu ambao mleta mada amekuja kusema nasema uongo nimelisema hili kongole kwa kulisema pia.
Mkague vizuri Kasoma SAUTI au SAUT Mwanza niliyosoma Mimi Kiboko yao GENTAMYCINE sawa?Kuna mdada nafanya nae kazi amesoma SAUT..ana vyeti vya olevel zaidi ya 3..na vyote div 4 mbovu...lakini ana bachelor kutoka SAUT ...ana uwezo mdogo Sana wa kufikiri..
Sasa Huwa najiuliza maswali mengi Sana kuhusu SAUT..
Kwann serikali inakiachia kioperate wakati kinatoa incompetent candidate?
...nadhani nawengine humu jf mtatoa ushuhuda
Hiyo course ni imenijenga sana. Dah i miss mwalimu Katigula na KabalimuAisee hiyo basic English nilishangaa sana pale tulipoambiwa tutasoma hiyo course mwaka mzima, ila leo hii nimegundua kwa nini Warumi waliweka hii course, walimu walikuwa vichwa kwelikweli.
Wasikuchukulie poa mzee babaSisomagi Vyuo Vikuu vya Kipumbavu Kipumbavu na sikuanzia hapo SAUT Mwanza ( Genius based University in Tanzania ), bali nilianzia pia kusoma kidogo ( Kozi Moja hivi ) Chuo Kikuu cha Cape Town ( 2004 ) nchini Afrika Kusini ambacho nacho Kidunia kinasifika na kinajulikana ni miongoni mwa Vyuo Vikuu Bora na vinavyotoa 'Intellectuals' watupu tu.
Achana na huyo Mental Case Mkuu ana Chuki zake tu Genius based University SAUT Mwanza.Kwahiyo ww una ona ni Sifa kuchafua Chuo chako? Uki fuatiliwa hata Class huingiii. Kazi ni mademu tu.