Shutuma zote dhidi ya SAUT Mwanza ni za Uwongo mtupu mpeleke Mwanao huko akawe Genius na Thinker kwa Tanzania

Huna Akili acha kutupotezea muda na Kukichafua Chuo Kikuu changu pendwa cha SAUT sawa?
 
Kama kuna mahala kimeshutumiwa, Ni vyema ungekuja kitalaam kama msomi wa SAUT kuthibitisha kitalaam kwa kutumia tools za kitaalam kuonyesha hapo SAUT kweli wanasoma competent genius.

Zipo tools za kitalaam kupima ubora wa chuo, binafsi ni mhitimu wa lasaba B, naamini wasomi wanazijua hizo tools.

Ngoja sisi wachumia tumbo aka lasaba B tuendelee kufuatilia mpambano.
 
Chuo bovu lile wanaenda wenye division 3
Division three syo kigezo cha kuwa huna akili.
Ni wangapi wamefeli primary lakini sasa ni ma genius wa kufa mtu walipoenda private schools na baadae kwenda chuo wanawaburuza waliofaulu primary na kwenda goverment schools.

Wewe ni mmoja wa malofa msoma chuo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…