Si kila Mwanamke hapa duniani ni wa kuolewa na kuzaa, wengine wapo ili kukidhi haja za Mwanaume

Si kila Mwanamke hapa duniani ni wa kuolewa na kuzaa, wengine wapo ili kukidhi haja za Mwanaume

Huku pia wanaume wakipungua kwa kasi ya mwanga...
Kuna wanaume wako kwa ajili ya kustarehesha wanaume wenzao, imekuwa hivyo toka enzi, Binafsi nikiwaona mashoga huwa nawahurumia sana sana na hasa wale ambao wameonewa, wale wa kujitakia hakuna kitu unaweza fanya wakabadilika.
 
hivi wasagaji wanasaganaje? Wanashikana kiharage, je kama msagwaji kakeketwa hana kiharage atasagwaje?
Wanakuwa viungo vya kiume bandia ili kufikia malengo yao, ni lazma mtwangio uingie kule kwenye kinu uwe mtwangio halisi au wa bandia, wao wanatumia mtwangio ya bandia
 
Penye miti mingi hapana wajenzi
You can't see what the mind doesn't know(si KILA mwenye macho anaona..Wana macho lakini hawaoni)

Ni KWELI wanawake wenye UPENDO WA KWELI na dhati bado wapo hawajakwisha na hawatakuja waishe hata in the future.

tumefika hapa (mfano NCHI ya THAILAND na NCHI nyingine wameshafika hapa)
Isa 4:1
Na siku hiyo wanawake saba watamshika mtu mume mmoja wakisema, Tutakula chakula chetu, na kuvaa nguo zetu wenyewe, lakini tuitwe tu kwa jina lako; utuondolee aibu yetu.
 
Anko T ana mtoto
Juma lokole ana mtoto
Baba yake Kim kardashian
Na wengine wengi..!!

Hao mapadri na matowashi ndo usiseme, wana watoto huku mitaani wa kutosha..!!

Hebu itetee hoja yako vizuri..!!
Mada: inasema si kila mwanamke wa kuoa au kuzaa wengine ni kwa matumizi tu, akaongeza akasema kwa mantiki hiyo ratio ya wanaume kwa wanawake itakuwa 1:4, nikasema wengine ni masista, wengine ni wasagaji, sasa uliposema na kwa wanaume? Nikasema wanaume wapo mashoga ambao wanajifanya wanawake, sasa pengine hao uliowataja wanafanya kwa kujificha kwenye jamii ndio maana wakapata watoto, lakini hawawezi kuwa na ule ubaba kwa watoto wao, kwakuwa hata wao huo ubaba hawana.

Hoja ya mapadri linafanyika kwa siri kwa hiyo hatuwezi kuwategemea kuwa Sehemu ya wanaume wenye kuendeleza uzao, maana hata huo uzao walio nao huko pembeni ukibainika kibarua chao kinaota nyasi, hata hivyo kuoa hawaoi ingekuwa wanaona basi ratio ingebadilika kwa sababu hawaoi, hivyo hoja ya wanaume kubaki wachache iko pale pale kitakwimu
 
Anko T ana mtoto
Juma lokole ana mtoto
Baba yake Kim kardashian
Na wengine wengi..!!

Hao mapadri na matowashi ndo usiseme, wana watoto huku mitaani wa kutosha..!!

Hebu itetee hoja yako vizuri..!!
Baba ya Kim aliniumiza moyo sana, yaani na mwanamke mzuri namna ile(Mama yake KIM) anamuacha na kwemda kuwalamba wanaume wenzie! Very sad.
 
Hawataki kuolewa ila watoto wanataka. Hawa mbona wapo wengi tu? Ni wasomi, wanamuziki, wajasiriamali/wafanyabiashara, wakandarasi, wachimba madini. Unakuta mama ana uchumi mzuri analea watoto bila baba, kila mtoto ana baba yake. Wanawake wengine walizaa na waume za watu au vijana wadogo ila hawataki kuolewa wao wanachotaka ni kuzaa watoto tu, hawataki kumilikiwa na mwanaume
Uliwahi kujiuliza ni kwa nini wameamua hivyo?
 
Anko T ana mtoto
Juma lokole ana mtoto
Baba yake Kim kardashian
Na wengine wengi..!!

Hao mapadri na matowashi ndo usiseme, wana watoto huku mitaani wa kutosha..!!

Hebu itetee hoja yako vizuri..!!
Sina hakika sana ila kwa hivi sasa wanaanza wakiwa wadogo sana kiasi kwamba unapofika umri wa kujenga familia hawajiwezi tena.
So sad😢
 
Back
Top Bottom