Si kila Mwanamke hapa duniani ni wa kuolewa na kuzaa, wengine wapo ili kukidhi haja za Mwanaume

Si kila Mwanamke hapa duniani ni wa kuolewa na kuzaa, wengine wapo ili kukidhi haja za Mwanaume

Bruce Jenner ni Step father wa Kim, siyo baba yake mzazi. Baba yake alifariki miaka mingi iliyopita.
I know,
Mama Kim alizaa na Robert Kardashian watoto wanne, Kourtney Kardashian,Kimberly (Kim) Kardashian,Khloé Kardashian,Robert (Rob) Kardashian Jr. Lakini pia ana watoto wawili na Bruce Jenner(Kendall Jenner na Kylie Jenner.
Nimefuatilia sana kwenye TV Series yao ya zamani Keeping Up with the Kardashians(2007-2021) na iliyofuatia The Kardashians(2022-2025)
 
Hii ni kwa pande zote, kuna vijana hawana uwezo wa kuwa na mke regardless mwanamke ana maadili ya kiwango gani.
 
Back
Top Bottom