Kishimbe wa Kishimbe
JF-Expert Member
- Jul 18, 2013
- 7,835
- 8,703
Ukiwa na hela utaambiwa mwaga humohumo leo siku yangu salama! ... NDOANO TAYARI!Kama tumeshaufahamu huu ukweli tuache kutengeneza single mothers kwenye jamii.
Watoto wapatikane tu ndani ya ndoa, huku nje tuendelee na starehe tu.
I know,Bruce Jenner ni Step father wa Kim, siyo baba yake mzazi. Baba yake alifariki miaka mingi iliyopita.
Acheni zenyuuuu!! Mambo ni Kuolewa na kuzaaa
Hahaha au basi...Acheni zenyuuuu!! Mambo ni Kuolewa na kuzaaa
Sema neno nafsi yangu ipone tasavaliHahaha au basi...
Bibi harusi au siyo... hahahaSema neno nafsi yangu ipone tasavali