Nguruvi3
Platinum Member
- Jun 21, 2010
- 15,773
- 32,431
Tanganyika haihitaji Zanzibar! kuna athari gani Tanganyika ikiwa Zanzibar wataondoka katika muungano!Hivi leo hii kati ya Tanzania bara na visiwani, nani ana mhitaji nani? Labda tuanzie hapo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tanganyika haihitaji Zanzibar! kuna athari gani Tanganyika ikiwa Zanzibar wataondoka katika muungano!Hivi leo hii kati ya Tanzania bara na visiwani, nani ana mhitaji nani? Labda tuanzie hapo
Kuwe serikali tatu...Suluhisho ni muungano wa serikali 3.
Mimi nafikiri wa kulaumiwa ni nyerere aliyewaponza zanzibar kwa kuwaamulia kujiunga na tanganyika na pia kuwaamulia Tanganyika kuungana na zanzibar kwa mihemko na maslahi ya zanzibar zaidi kuliko tanganyika,Anakasirika kusikia tu tunasema maamuzi kama ya bandari kwa DP World, kuchimba madini ndani ya Serengeti, Samia asiyafanye kwa sasa, bali yaje yafanywe na raisi kutoka bara kwa sababu impact yake iko zaidi upande wa bara, na kama ni makosa isije ikasemwa mtu wa Zanzibar alituponza. Huyo lazima ana wajomba kule uarabuni.
Linatekelezeka kwa kuirudisha nchi ya Tanganyika.Mkuu hoja yako ya Serikali tatu ama moja ni mzuri, lakini ni ngumu kutekelezeka; maana mshirika mmoja wa huo Muungano bado ana Nchi yake yenye hadhi ya kuwa NCHI na wakati huo huo mshiriki mwingine hana Nchi, alishaigawa kwa sababu ali iona ni kubwa mno.
Hakuna jambo wazanzibari wanalisubiria kwa hamu kama kutoka ndani ya muungano, tatizo tu ni kwamba kwanini watanganyika tunalazimisha? Hapo tu ndio shida, kama ni hasara tanganyika inapata sana ila sisi ndio tunalazimisha muungano, kwanini lakini?Tanganyika haihitaji Zanzibar! kuna athari gani Tanganyika ikiwa Zanzibar wataondoka katika muungano!
Nadhani Tanganyika inalazimisha huu muungano, ila zanzibar hata leo wanataka kutoka, sijui tunawang'ang'ania wa nini?Hivi leo hii kati ya Tanzania bara na visiwani, nani ana mhitaji nani? Labda tuanzie hapo
Ni wasanii haswa, Zanzibar wanautaka muungano 100% sababu hawezi kupata nchi nyingine ya wajinga kama bara, huku wapo huru kwa lolote kufanya, nenda wewe sasa ukaonyeshwe kazi.Nadhani Tanganyika inalazimisha huu muungano, ila zanzibar hata leo wanataka kutoka, sijui tunawang'ang'ania wa nini?
Mmeisha anza kusaga kunguni baada ya kina marope kusafishwa?Najua kwamba Rais Samia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania, lakini ni jambo lililo wazi kwamba yeye kama Rais wa Tanzania, maamuzi yake kwa zaidi ya 98% yanahusu upande wa Tanzania bara peke yake, kwa sababu upande wa Zanzibar wana raisi wao na serikali yao.
Katika hali kama hii, na ukizingatia kwamba Rais Samia anatokea upande wa Zanzibar, ningeshauri sana kwamba Rais Samia ajiepushe kufanya maamuzi makubwa ambayo ni ya muda mrefu (yana lock-in effect ya muda mrefu) upande wa bara peke yake. Kumekuwa na hisia zinazozidi kukua kwamba Rais Samia anafanya maamuzi ambayo baadaye yatakuwa na athari mbaya upande wa Tanzania bara, wakati yeye amemaliza muda wake na kurudi Zanzibar, na kuwaacha Watanzania bara wakisumbuliwa na matokeo ya maamuzi yake.
Mifano ya maamuzi ambayo Rais Samia anachukua juu ya mambo yanayohusu bara peke yake ni kama suala la mkataba wa bandari kwa DP Word ya Dubai, na hili la kuchimba madini ndani ya mbuga ya Serengeti na nyinginezo, ambapo, TANAPA, chombo cha utalii Tanzania bara, kilishalikataza sana.
Ingekuwa busara sana kama Rais Samia angeonyesha subira na kuacha maamuzi juu ya mambo makubwa kama hayo, yenye long term lock-in effect, yafanywe wakati Rais wa Tanzania ni mtu kutoka upande wa bara. Hii itasaidia kutokuza chuki na kutoa hofu upande wa bara kwamba Raisi Samia hafanyi mambo kwa manufaa ya watu wa bara, na labda ana ajenda ya siri.
Hapa ni tuvunje tu muungano kwa hiyari au kwa lazimaNi wasanii haswa, Zanzibar wanautaka muungano 100% sababu hawezi kupata nchi nyingine ya wajinga kama bara, huku wapo huru kwa lolote kufanya, nenda wewe sasa ukaonyeshwe kazi.
Hakuna jambo wazanzibari wanalisubiria kwa hamu kama kutoka ndani ya muungano, tatizo tu ni kwamba kwanini watanganyika tunalazimisha? Hapo tu ndio shida, kama ni hasara tanganyika inapata sana ila sisi ndio tunalazimisha muungano, kwanini lakini?
Ukitaka kujua Zanzibar ni watu wa aina gani, subiri awamu ya Samia iishe, utaona kelele za kero za muungano na tuvunje muungano zitakavyoongezeka!Ni wasanii haswa, Zanzibar wanautaka muungano 100% sababu hawezi kupata nchi nyingine ya wajinga kama bara, huku wapo huru kwa lolote kufanya, nenda wewe sasa ukaonyeshwe kazi.
Mi siutaki hata kidogoHapa ni tuvunje tu muungano kwa hiyari au kwa lazima
Siyo Watanganyika ni CCM na Wabunge wa CCM pamoja na VIongozi wa Serikali wasioijali mama Tanganyika.Hakuna jambo wazanzibari wanalisubiria kwa hamu kama kutoka ndani ya muungano, tatizo tu ni kwamba kwanini watanganyika tunalazimisha? Hapo tu ndio shida, kama ni hasara tanganyika inapata sana ila sisi ndio tunalazimisha muungano, kwanini lakini?
Sahivi wamejaa kila kona bara mpaka VEOsUkitaka kujua Zanzibar ni watu wa aina gani, subiri awamu ya Samia iishe, utaona kelele za kero za muungano na tuvunje muungano zitakavyoongezeka!
Tangu lini?..jina sahihi ni TANGANYIKA.
Hapana. MOJA tu, basi...Suluhisho ni muungano wa serikali 3.
Kwanini hutaki kukubali ukweli kwamba watanganyika ndio wanafosi muungano?..sasa hivi wanaolazimisha ni Wazanzibari.
..Wazanzibari ndio wameshika hatamu za Uraisi wa muungano, na Uraisi wa Zanzibar, kwa hiyo wana fursa ya kipekee kurekebisha au kuvunja muungano.
..Tatizo Mama Abduli amevutiwa mno na mali anazovuna toka Tanganyika.
Wazenji hawautaki muungano ila hawajui wanauvunjeje?Siyo Watanganyika ni CCM na Wabunge wa CCM pamoja na VIongozi wa Serikali wasioijali mama Tanganyika.
Nakuhakikishia kama kuna kitu kinawatia hofu Wazanzibar ni kuvunjika Muungano.
Usiwasikilize akina '' wa Oman koko'
Wana uwezo wa kuvunja muungano, hawana hawana uthubutu au ubavu wala pumzi