Si kweli kuwa ATCL imefuta safari za Ndege kuelekea Chato Geita

KIWANJA CHA CHATTLE ni International na sio LOCAL airport kama za Iringa na Sumbawanga!!!We are highlighting misallocation of resources of astronomical proportions here!
Hiyo status ya International uliipa wewe?

Uwanja wa Chatto unajulikana officially kama Geita Airport (IATA Code: GIT). hiyo "International" imetoka wapi?

Mnaongea vitu kumbe kichwani weupe kabisa.
 
Hiyo ndio ilikuwa ATCL aliyoikuta Magufuli, kutoka kuwa na ndege mikweche; mpaka ndege 11 mpya na bado biashara inawashinda.

Watanzania mnamkosea sana Magufuli, lazima mungu atawaadhibu hawa watu kwa namna moja au nyingine.
Mshenzi yule alivutiwa tu na 10% aliyokuwa anapewa. Maana ununuzi wa ndege haukufuata business plan, Wala sheria ya manunuzi.

Hata aliyekwenda kupokea rushwa yake South Africa tunamjua ni Chamriho akiwa Katibu Mkuu wizara ya ujenzi/ mawasiliano
 
Mshenzi yule alivutiwa tu na 10% aliyokuwa anapewa. Maana ununuzi wa ndege haukufuata business plan, Wala sheria ya manunuzi.

Hata aliyekwenda kupokea rushwa yake South Africa tunamjua ni Chamriho akiwa Katibu Mkuu wizara ya ujenzi/ mawasiliano
Other than unjustified speculations, ndege zipo hilo ndio la muhimu.

Sio tupigwe na wahuni, ndege zenyewe zisiwepo na bado serikali ilipe mishahara ya almost 600 employees wanao amka asubuhi wanaenda kazini wakati ndege zenyewe hakuna, ilipe administration costs, gharama za kukodi majengo and so forth.

Haki ya mungu kuna watu walikuwa wanatu enjoy watanzania kabla ya Magufuli; ndio nyie mnaosherekea kifo chake leo.
 
Yasemekana abiria wa kutosha kupeleka ndege...
SSawa,Toka chato mpaka geita kilometa ngapi ?,kutoka mwanza mpaka geita kilometa ngapi?,kutoka bukoba mpaka chato kilometa ngapi,kutoka kigoma mpaka chato kilometa ngapi ?kibiashara kuna itayojifuta menyewe,subiri!
 
Mimi ni shahidi kwenye ufafanuzi ulioutoa, nimesafiri njia hiyo mara nne nikielekea Kibondo na mara zote ndege ilijaa. Nitashangaa sana kama Air Tanzania watasitisha huduma huko eti kwa kukosa abiria... Hili siyo kweli!.

Air Tanzania wataondoka kwenye biashara kwa uzembe wao wenyewe kwa kutokuwa makini kwenye mienendo ya kibiashara. Ushahidi ninao wa jinsi walivyoacha abiria watatu mwezi wa 12 mwaka jana eti kwa kuchelewa kucheck in.
 
Other than unjustified speculations, ndege zipo hilo ndio la muhimu...
Usitafute vijisababu ku justify makosa ya DIKTETA. Ndege za ATCL hazikuwapo kabla ya Magufuli, kwani tulikuwa hatusafiri?

Kwanza ilikuwa cheap kusafiri na Fast Jet kwa Tsh 90,000 Mwanza -Dar kuliko sasa ATCL kwa Tsh 300,000+

Ila Kilatha bado uko kwenye blanketi la Mwendazake maana hata CAG ameripoti kuwa ATCL ni loss making parastatal kwenye 2020/21 report
 
ATCL kupata hasara hiyo sio news, labda siku wakipata faida.

Sikuwahi kuwa shabiki wa manunuzi ya ndege mainly kwa sababu niliamini kulikuwa na investment nyingine zinaleta social utility zaidi.

Kwakuwa zipo na mali ya Tanzania busara ni kuona shirika linafanya vizuri, and I have always been a critic of their pricing strategies.

So sishangai shirika kupata hasara but that has nothing to do with Magufuli it’s purely a management issue.

Kosa la Magufuli lilikuwa kusikiliza makelele ya mitandaoni sijui Rwanda, Kenya, Uganda na nchi za africa zinatushinda wana ndege zao sisi hatuna tunakodi, ohoo biashara ya ndege inalipa, sijui national flag carrier inatangaza nchi etc with nonsense. Hizo ndio zilikuwa hoja za mitandaoni enzi za J.K.

Walau J.K wakati wake alikuwa mkweli kwenye hili la ndege hao jamaa tumeshajaribu kuwawezesha kwa kila namna hiyo biashara awaiwezi kuwanunulia ndege ni kutupa hela tu.

Magufuli yeye akasikiliza vilio vya mitandaoni ndio hayo; unawezaje tengeneza hasara kwenye ndege ambazo umepewa at low interest payment charges and you are pretty much a monopoly on the local market.

Wameshindwa ata kuingia strategic alliance na ndege za kimataifa zinazoishia Nairobi, kuleta abiria wanaokuja Tanzania. Matokeo yake abiria wote wa ndege hizo wanaokuja Tanzania wanaletwa na Kenya Airways na ni sehemu kubwa ya mapato yao.

Yaani Kenya wakileta fujo mpakani Tanzania ikisema Kenya Airways isitue KIA tu dakika moja wanaomba yaishe maana ndani ya miezi tunalitia shirika lao hasara kubwa sana. Sisi wenyewe hatuna muda wa kutafuta hizo strategic alliances.

Ni hivi kufeli kwa ATCL ni management problems sio Magufuli kuna makosa luluki ya kimkakati sasa kwanini tushangae kupata hasara.

Kwetu kumekucha šŸ‘‹
 
ATCL kupata hasara hiyo sio news, labda siku wakipata faida.

Sikuwahi kuwa shabiki wa manunuzi ya ndege mainly kwa sababu niliamini kulikuwa na investment nyingine zinaleta social utility zaidi...šŸ‘‹
Nashukuru Mkuu Kilatha, sasa tunaongea lugha moja. Well narrated
 
Wanaozusha watakuwa wametumwa na mabeberu, wanatuonea wivu sisi dona kantri [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wapumbavu wanapowajibu wanaowaita "Wapumbavu" je nani ni Mpumbavu?
 
Nimeongea na wataalamu wa aviation marketing wanasema route ya Dar Geita ni nzuri kwa maana ya kwamba ndege inajaa na huenda wataongeza idadi ya flights kwa wiki ziwe tano
 
Hiyo status ya International uliipa wewe?

Uwanja wa Chatto unajulikana officially kama Geita Airport (IATA Code: GIT). hiyo "International" imetoka wapi?

Mnaongea vitu kumbe kichwani weupe kabisa.
Situliambiwa direct flight chattle Bombay zitakuwemoo,au ulitudandanya Sangudi😜
 
Msemaji ya ATCL amekanusha na ametaka wanauzusha habari hizo wapuuzwe! Maana tayari wanaruka mara mbili kwa wiki alhamis na jumamosi na kutokana na ongezeko la abriria kuna maombi ya kuongeza route Hiyo!
 
Wanaenda kwa faida au wanaenda tu kushindana na wanaosema route ya chato ni hasara..
Kwanza nani anapanda ndege kwenda chato!!!
Ule ulikuwa uwanja wa ndege binafsi wa familia ya mwendazake....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…