Uchaguzi 2020 Si Magufuli, si Humphrey Polepole waliojaribu hata ku-tweet kushukuru wapiga kura au kusherehekea ushindi mpaka sasa

Uchaguzi 2020 Si Magufuli, si Humphrey Polepole waliojaribu hata ku-tweet kushukuru wapiga kura au kusherehekea ushindi mpaka sasa

Mkuu hebu take time utulie kabisa kwenye maisha ninaimani umeshawahi kushindwa vitu vingi accept defeat then make strategies for the coming General election 2025.

Pole sana I can feel the way you feel but learn how to accept difficult moments unavyoendelea hivyo usishangae ukapata stroke.

Penicillin injection najua huwa inauma sana ila ivumilie upone, CCM ni chama kikongwe na kinaijua siasa kuliko siasa inavyojijua hapa TANZANIA.

Hongera Magufuli, Hongera Mwinyi ,Hongera CCM
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA.
 
Umeshindwa kujibu hoja yangu anaingia kwenye matusi.
Ndugu yangu ,nimepitia uzi zako. Nadhani unahitaji msaada maalum wa kiafya. Jaribu kuwatembelea wataalam wa kisaikolojia mapema uwezavyo.

Nafikiri unahitaji utaalam wao haraka kabla mambo hayajaharibika zaidi..

Tafadhali usipuuze ushauri huu.
 
Mimi nalia na Jaji Mugasha et all na hukumu ya MADED, walaaniwe na wafe kibudu
 
Magu mwenyewe vipi?Kumbuka naongelea hao individuals ,hilo la chama tunalitarajia kwahiyo sio ajabu.
jibu ni rahisi, Chama ni kikubwa kuliko individuals katika jambo kubwa la kitaifa. Wewe hauoni, Ndugu Camilius alivyopotea kisiasa!?
 
Kama nilivyosema katika uzi wangu wa asubuhi ya leo,mpaka muda huu viongozi hawa wako kimya kabisa licha ya Magufuli kutangazwa mshindi wa kitu cha urais.

Inawezekana chama kinajiandaa kutoa tamko rasmi wakati wowote ule, ila bado nilitarajia kutokana na furaha ya ushindi, mmoja wa viongozi hawa angeshasema lolote kupitia mitandao na hasa mtandao wa Twitter kuhusu ushindi huu wa asilimia zaidi ya 80 ila cha ajabu wako kimya kabisa.

Ni vijana wao wa mitandaoni tu wakiwemo kina Pascal Mayalla ndio wanaojikakamua kusherekea na kusifu na kukejeli wapinzani ila wenye chama mpaka sasa kimya utadhani wao ndio wametangazwa kushindwa.

Anyway,labda nao wao hawana access na internet ndio maana wako kimya.

All in all, hii ni dalili kuwa hata wenyewe hawana raha na matokeo haya na huenda hawakutarajia mambo yangeenda yalivyoenda.

Tunawasubiri mjikaze kutoa taarifa ya ushindi na kupongezana.Nasubiri tweet ya Mwenyekiti (Mgombea)na Polepole.
Wao hawaongozi wa mitandano, wasubiri wakavyowasiliana na wananchi wao kwa njia ambazo ni relevant kjwa watanzania wengi.
 
Wajishukuru wenyewe kwa kuingiza kura feki na kujitangaza
 
Kwa hili nadhani wapo sahihi kabisa na ni busara wakiendelea kukaa kimya
Kauli yoyote inatonyesha vidonda vibichi vinavyovyuja damu, vidonda vya chuki na aibu

Salary Slip waache watulie , usiwaite wakaja kucheza ngoma katika huzuni!

JokaKuu Pascal Mayalla (kada) , Mag3
Nimeona jinsi Hussein Bashe alivyoshambuliwa twitter jioni hii.Hakika kuna chuki kubwa sana imejengeka.
 
Hongera Rais mteule Magufuli kwa ushindi wa kishindo.
 
Mkuu ukweli wa walichokifanya ili kupora uchaguzi wanakijua sana ndiyo sababu wamepiga kimya wahuni hawa.

Back
Top Bottom