Anachokifanya Makonda ndicho haswa alichoteuliwa kukifanya.
Makonda ni mithili ya udongo, unamfinyanga vile unataka awe.
Makonda ni mouthpiece ya waliomteua ili aongee yale wasioweza kuyaongea kwa wanaotakiwa kufikishiwa ujumbe.
ukimuona nyanii mjini jua kuna mwenye nae...!!Umemaliza kila kitu mkuu!! Bila shaka mhusika anajua fika kuwa nyuma ya Makonda kuna nguvu kubwa ambayo hawezi kuthubutu kuhojiana nayo!! Sana sana anaweza kukaa kimya tu!! Mwulize Warioba alivyofanyiwa na Makonda kwenye mchakato wa katiba mpya!! We unafikiri Makonda alikuwa na ubavu gani wa kufanya hayo aliyoyafanya? Hata wakati wa JPM, Makonda alikuwa ni "mouthpiece"/kinywa cha kigogo wa juu kabisa!! Mwulize aliyekuwa waziri wa habari na michezo wakati ule(Moses Nauye) akuambie yaliyompata alipojaribu kupambana na Makonda!! Mama saa hizi roho kwatu na atalala usingizi mwanana maana amempata mwarobaini wa waliokuwa wasumbufu kwake!!. Tatizo tarajiwa kwa Makonda ni moja tu: nini hatima yake mama akitoka hapo? Je atakayemrithi mama ataendelea kumlinda Makonda kama yeye alivyoendelea kumlinda baada ya JPM kuondoka? maana lazima kuna siku mama atatoka hapo!! Mama kamlinda sana Makonda (kimya kimya) vinginevyo saa hii habari ingekuwa nyingine kabisa.
Na huu ndio ukomo wa fikra zako kushindwa kuelewa kilichoandikwa na kukimbilia matusi/dhihaka, sina sababu ya kukujibu kwa tusi maana hapo hakutokuwa na tofauti yeyote baina yetu.we kenge kasome
Kwenye hivyo vikao vilivyotoa hayo maagizo waziri mkuu si mjumbe? Ina maana hakusikia au hayo ndiyo sarakasi za kuonyasha kuwa chama kina wenyewe?Chama kimempa maagizo waziri mkuu hadharani,sio Makonda,imeisha hiyo, endeleeni kujitekenya na hizo tafsiri zenu butu
Mimi nilishangaa au siku hizi hawafanyi vikao? Ni kichekesho kinacho sikitisha.... ndiyo hivyo Mama alitegemea Makonda mzima? Acha kuchezea damu ya watu,jamaa ndiyo kaisha Chisinau hivyo.Waungwana wa JF nawasalimu,
Nimesoma, nimesikia na kuona kuwa Katibu wa Halmashauri ya Taifa Itikadi na Uenezi wa CCM Paul Makonda akitoa maagizo kwa Waziri Mkuu Mhe. Majaliwa Kassim Majaliwa na kumapa miezi sita kuyatekeleza. Makonda alitoa maagizo hayo aliyoyasema kuwa ni ya chama (CCM) huko Dodoma.
Pamoja na nguvu kubwa ya chama tawala (CCM) juu ya Serikali ambayo huundwa na chama hicho, si sawa kumpa maagizo Waziri Mkuu hadharani. Hata Rais ambaye ni Mwenyekiti wa CCM Taifa huepuka kumpa maagizo Waziri Mkuu hadharani. Vivyohivyo kwa Makamu wa Rais.
Waziri Mkuu, kichama, ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Taifa ya CCM; Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM na Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM. Kwa nafasi yake, ni sehemu ya ndani kabisa ya chama. Waziri Mkuu, kiserikali, ni mtendaji mkuu wa serikali na mkuu wa shughuli za Serikali Bungeni. Hushauriana na Rais hata kwenye teuzi mbalimbali, zikiwamo za Mawaziri.
Kulingana na nafasi ya Waziri Mkuu ndani ya CCM na Serikali, si sawa wala busara kumuagiza hadharani kufanya hili au lile. Pamoja na kuwa mwanachama wa CCM katika nafasi nilizozitaja, ni kiongozi wetu kitaifa. Tunamheshimu na anapaswa kulindiwa heshima yake. Kumuagiza kwa kumtaja hadharani kunaweza kutafsirika kama kumtweza na kumbagaza.
Waziri Mkuu ana majukumu makubwa na mengi. Anafanya kazi kubwa na nyingi. Anafanya kazi za chama chake-CCM na Serikali yetu. Tumheshimu Waziri Mkuu wetu....asitwezwe kwa mgongo wa chama na maagizo ya chama.
Hii ni kweli kabisa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hakuna waziri Muongo,Tapeli,Mnafiki na Anajifanya mstaarabu kama Majaliwa!
Bashite inapaswa akaze hapo hapo!
Inawezekana kabisa...Anachokifanya Makonda ndicho haswa alichoteuliwa kukifanya.
Makonda ni mithili ya udongo, unamfinyanga vile unataka awe.
Makonda ni mouthpiece ya waliomteua ili aongee yale wasioweza kuyaongea kwa wanaotakiwa kufikishiwa ujumbe.
Umemaliza kila kitu mkuu!! Bila shaka mhusika anajua fika kuwa nyuma ya Makonda kuna nguvu kubwa ambayo hawezi kuthubutu kuhojiana nayo!! Sana sana anaweza kukaa kimya tu!! Mwulize Warioba alivyofanyiwa na Makonda kwenye mchakato wa katiba mpya!! We unafikiri Makonda alikuwa na ubavu gani wa kufanya hayo aliyoyafanya? Hata wakati wa JPM, Makonda alikuwa ni "mouthpiece"/kinywa cha kigogo wa juu kabisa!! Mwulize aliyekuwa waziri wa habari na michezo wakati ule(Moses Nauye) akuambie yaliyompata alipojaribu kupambana na Makonda!! Mama saa hizi roho kwatu na atalala usingizi mwanana maana amempata mwarobaini wa waliokuwa wasumbufu kwake!!. Tatizo tarajiwa kwa Makonda ni moja tu: nini hatima yake mama akitoka hapo? Je atakayemrithi mama ataendelea kumlinda Makonda kama yeye alivyoendelea kumlinda baada ya JPM kuondoka? maana lazima kuna siku mama atatoka hapo!! Mama kamlinda sana Makonda (kimya kimya) vinginevyo saa hii habari ingekuwa nyingine kabisa.
"mtoto pendwa" wa SHUJAA karudishwa kundini baada ya kutengwa na kondoo zingine, sasa kapanda juu ya meza na kujamba mbele ya wageni!Waungwana wa JF nawasalimu,
Nimesoma, nimesikia na kuona kuwa Katibu wa Halmashauri ya Taifa Itikadi na Uenezi wa CCM Paul Makonda akitoa maagizo kwa Waziri Mkuu Mhe. Majaliwa Kassim Majaliwa na kumapa miezi sita kuyatekeleza. Makonda alitoa maagizo hayo aliyoyasema kuwa ni ya chama (CCM) huko Dodoma.
Pamoja na nguvu kubwa ya chama tawala (CCM) juu ya Serikali ambayo huundwa na chama hicho, si sawa kumpa maagizo Waziri Mkuu hadharani. Hata Rais ambaye ni Mwenyekiti wa CCM Taifa huepuka kumpa maagizo Waziri Mkuu hadharani. Vivyohivyo kwa Makamu wa Rais.
Waziri Mkuu, kichama, ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Taifa ya CCM; Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM na Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM. Kwa nafasi yake, ni sehemu ya ndani kabisa ya chama. Waziri Mkuu, kiserikali, ni mtendaji mkuu wa serikali na mkuu wa shughuli za Serikali Bungeni. Hushauriana na Rais hata kwenye teuzi mbalimbali, zikiwamo za Mawaziri.
Kulingana na nafasi ya Waziri Mkuu ndani ya CCM na Serikali, si sawa wala busara kumuagiza hadharani kufanya hili au lile. Pamoja na kuwa mwanachama wa CCM katika nafasi nilizozitaja, ni kiongozi wetu kitaifa. Tunamheshimu na anapaswa kulindiwa heshima yake. Kumuagiza kwa kumtaja hadharani kunaweza kutafsirika kama kumtweza na kumbagaza.
Waziri Mkuu ana majukumu makubwa na mengi. Anafanya kazi kubwa na nyingi. Anafanya kazi za chama chake-CCM na Serikali yetu. Tumheshimu Waziri Mkuu wetu....asitwezwe kwa mgongo wa chama na maagizo ya chama.
Hajasoma tu ramana[Naibu ]asihusishwe kwenye hili.Waziri mkuu analazimishwa kujiuzulu Ila hataki kuchana na hil anata ccm wamfukuze wenyeww
Huko Uzunguni huitwa wakina "Junia",..huwa ni shida!"mtoto pendwa" wa SHUJAA karudishwa kundini baada ya kutengwa na kondoo zingine, sasa kapanda juu ya meza na kujamba mbele ya wageni!